Aggrey Mwanri

Pole Mwanri propaganda ulizojifunza eastern block huu sio wakati wake! Now action speak louder than word. Try it or copy from J Pombe Mgfli!
 
Kwba ajiuzulu haina mantiki.
Kwa sera ya uwakibikaji Mwanri ni mdogo kati ya wote.

Namfahamu huyu jamaa ni mchapa kazi, tatizo ni mfumo wote hauganyi kazi.
Hata hivyo nimeguswa na jinsi anavyochukia unadjirifu, apewe meno.
Thanks Buddy, hapo haswa tatizo ni la kimfumo hata aje mchapakazi vipi kama system ni mbovu hakuna mabadiliko yoyote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom