Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
.Hivi pesa inapiga kura?
Hivi kura si siri ya mpiga kura?
Tatizo siyo watu wenye pesa tatizo ni "wananchi" ambao hawajui maana na umuhimu wa kura"
Kuna tatizo gani kuchukua fedha kwa X tajiri asiyefaa kuongoza supposinly amehonga na kumpigia kura Y ambaye ni kiongozi bora?
Tumain, njaa ni kitu kibaya, usisikie, mtu anauza uhuru wake kwa shibe ya siku moja tuu! si unaona tuu jinsi fulana na kufia zinavyonunua wanachama, itakuwa fedha?. Wee acha tuu, ila bora hai independent candidate waje.
Tatizo tena 2010 might be too late, unless political will imwingie JK afanye fast tracking kwa sababu kuna kesi ya katiba baada ya mahakama kuruhusu na kumuamuru kifungu hicho kiwe scraped off, serikali, imekata rufaa, sio kupinga uamuzi wa mahama kuruhusu independent candidate, bali kupinga legality na jurisdiction ya mahakama kuscrap kifungu cha katiba, ikidai haina mamlaka hiyo.