Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,177
Wakuu I said it before na ntarudia tena. Hao tunaowaita wanakijiji na wenye ufahamu mdogo kuhusu mabadiliko ni baba zetu, mama zetu, dada zetu wajomba zetu nk. Hawa ndio washabiki wakuu wa CCM na ndio hasa ngome ya chama tawala.
Lakini wait a minute!!!!! hawa jamaa wakipata matatizo kama kuumwa, kukosa ada za watoto, njaa n.k of which ni CCM ndio root cause hawaendi kwa mwenyekiti wa chama wa kiji, au Makamba watakutafuta wewe and with the telecom advancement they will reach you wherever you are in the world.
Sasa basi kwa nini tusitumie nafasi hii kutoa elimu ya uraia, I mean msaada with strings attached, sounds funny lakini hata mafisadi wanatoa rushwa ili wachaguliwe sasa kwa nini mimi nikimsaidia mjomba wangu nisimuelimishe kwamba chanzo cha matatizo yake ni CCM? and therefore they should not vote for it?
Kama serikali zetu zinawekwa under pressure ili zifuate democrtaic values of which zisipofuta zinanyimwa misaada. Why not applying the same principle on individuals to achieve what we believe is right.
I can assure you this will have a positive impact and will bring the change we need as closer as possible.
SAIDIA NDUGU ZAKO, TOA ELIMU YA URAIA WAELEZE BAYANA BILA KUMUNG'UNYA MANENO KWAMBA CHANZO CHA MATATIZO WALIYONAYO NI CCM.