... Agency...hazina Ubunifu..? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

... Agency...hazina Ubunifu..?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mtu chake, Jul 3, 2012.

 1. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,061
  Likes Received: 1,198
  Trophy Points: 280
  ...Advertising Agency...
  zimekosa Ubunifu..katika matangazo yao hasa hizi Kampuni Za Simu
  matangazo yao mengi siku hizi yanafanana kama si kuigana

  .1..Tigo ..walikuja na wimbo wa Dully sykes..bongofleva
  .2..Airtel..wana wimbo wa Dushelele. Ali kiba...na sasa wana Facebook wa Dj clueo
  .3..Voda..wako na wimbo wa Diamond...Nimpende nani
  .4..Zantel..wao na wimbo wa king kiki..kitoto cha anza tambaa

  Kampeni zao
  ...Airtel.....SUPA 5
  ...Voda.....MJANJA
  ...Zantel...EPIQ NATION
  ...Tigo....

  makosa ni mengi ila kama mtu ambaye nina Dili na Matangazo hasa ya Biashara..naona kama wamekosa UBUNIFU

  huo ni wangu mtazamo..
  nimeamua kuweka katika JUKWAA hili nikiamini humu ndiko nina MARAFIKI wengi tunaweza kujadili japo kidogo
   
 2. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  bt c wanaigana kwa kutafuta soko tatzo wabongo 2kpenda k2 kmoja 2naking'ang'ania hkohko wao pia itabd waangalia wabongo wanafl nin ndio na wao wakifanye hchohcho hata kama mwngne kakfanya hawajal! Bt wao nao wavivu wa kuchanganua mibongo yao na kucreate somthng new
   
 3. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Na wote wanafanya road shows... Mkuu we unashauri lipi kwani? Watumie nyimbo tofauti kwa kutumia hao watu maarufu ama.. Miziki inayohit ni mizuri kwa advertising,ama wasanii pendwa ni wazuri kuuza kitu chako..Sioni tatizo kiukweli.. Mtu chake
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  umesahau voda walikuja na kwaito, saiv wana wimbo wa juma nature - cujui unaimbwaje ila ktk tangazo unaimbwa - wajanja wote standup wajanja standup!
   
 5. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,061
  Likes Received: 1,198
  Trophy Points: 280
  ...sawa unaweza usione tatizo kama mtazamaji..ila ukaona tattizo kama mtu unaye jua matangazo na wazo la tangazo
  ..kampuni zote hizo zimekuja na hiyo kampeni/promosheni..ina walenga vijana..ni sawa vijana wanapenda muziki..lkn ni vijana wote?...je hakuna angle nyingine ya kumgusa kijana..?

  ...sawa sawa@charminglady....lakini watu kama voda ambao wana hazina ya event kama Miss tanzania..ligi kuu tanzania bara amabyo inapendwa na vijana na watu wengi tu tz..kwanini wasitoe tangazo la aina hiyoo..
  kuna vingi vya kuangalia kupata tangazo bora ..ila kwa hayo yanayoruka redioni hapana hawajanigusa...

  nikiwa na muda nitakuja na makosa wanayofanya katika kurusha matangazo katika redio na Tv..hapa nitawagusa watu wanaoitwa Media planning and buyer..huko juu nimewagusa wale macopywriter na macreative director. Erickb52. gambachovu...
   
Loading...