Agano/Maagano

Agano/Maagano

Mshana Jr hii elimu ni ya kichawi
, ndio maana Mungu aliwarithisha Waisrael nchi ya Kanani ili waondoshe miungu ya kigeni!!
Huo ni uchawi, utabiri, kuangalia nyota, yote hiyo ni mbaya kwa Mungu Baba!!
Okoka mpe Bwn Yesu maisha upate elimu safi ya kiroho!!
 
Aaaamen Mtumishi Wetu ila tayari nina wokovu ndio maana nayaandika haya bila hofu
 
nimerudi cc mshana jr
1461916732153.jpg
hili jambo si la kimungu bali ni nguvu zinazopingina na uwepo wa Mungu na zinazokinzana na nguvu zake...je umepata mwanga kidogo hapo?
Na ukishakubali basi tayari unakuwa umeingia kwenye maagano ambayo yana masharti magumu
 
ok sawa nimekuelewa lakini sijakubali!
Hakuna shida kabisa kuelewa ni kitu cha kwanza na kukubali au kukataa ni kitu kingine kabisa..hivi huwezi kuvichanganya pamoja, kwakuwa huwezi tu ukakurupuka kukubali bila kuelewa lakini unaweza ukaelewa na kukubali au ukaelewa na kutokubaliana
 
kweli kabisa...
 
Ndugu mshana icho kiapo kinaapwa wakati gani mchana au usiku
 
Kwa mungu hamna masharti ya kijinga,mungu ndo mkuu wa falme zote.
 
Back
Top Bottom