Agano/Maagano

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,846
730,321
e1f0777238773ce074bc2ba8792f4cce.jpg
 
Mshana umeniacha kwa kweli
Sijaelewa hilo agano linahusu nini
Naomba ufafanuzi
 
Mshana Jr, naomba ufafanue zaidi. Kwasababu nikirejea thread ulizoweka hapa kuhusu maagano sijajua hii inakuwaje.
 
Illuminati wanaamini in moon, sun, earth, air, fire and sea as driving forces kwenye imani yao
 
mshana jr;
Umekuwa ukitujuza mengi sana ya huko gizani ila leo. Naona ka ulitutwaa ukatutupa kati ya msitu na kutuacha huko tujitafutie wenyewe.
Hii kitu kufanywaje?
Hufanywa na nani?
Muda gani na wapi?
And what are the lost here? Yu need to define man. Not everything that was lost can be recovered. Ndo maana mswahili akasema :Kikipotea sahau".
 
Bob alisema ''life is like a big road with alot of signs, so when you ride thru don't complecate your mind''
 
mshana jr hili nàona kama fumbo LA imani.
Je ni nini hasara za agano hili?
Je hili ni agano kati ya mtu na nani?
Pia najua kwenye agano kuna sadaka, sadaka gani hulewa kwenye agano hili?
Hasara ya agano hili Bujibuji ni kwamba halina baraka za kimungu
Hili ni agano la mtu aliyepoteza kitu na nguvu nyingine nje ya Mungu
Hapa si lazima sadaka bali kuna maapizi
 
Back
Top Bottom