Huyu ni Mlokole tayari...haya huwa anayatupia tu.Mshana Jr hii elimu ni ya kichawi
, ndio maana Mungu aliwarithisha Waisrael nchi ya Kanani ili waondoshe miungu ya kigeni!!
Huo ni uchawi, utabiri, kuangalia nyota, yote hiyo ni mbaya kwa Mungu Baba!!
Okoka mpe Bwn Yesu maisha upate elimu safi ya kiroho!!