Stabilaiza
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 1,843
- 1,143
Utafiti unapingwa na utafiti, period
Naunga mkono hojaUtafiti wa Twaweza siyo credible kwa sababu hawajafanya validation ya findings zao. Ukweli ni kuwa wakitakiwa wasituke kabla hata ya kutoa matokeo kwa sababu reality kwenye majukwaa haiendani na walichotangaza. Hapa ndipo umuhimu wa validation unapotakiwa. Hawakufanya hicho, kwa hiyo matokeo yao na invalid. Tofauti na kampeni za CCM, watu wanasombwa na malori wakati wale wa UKAWA wanatumia resources zao. Mtu hawezi ku-volunteer na kutoa resources kama hakuungi mkono.
Hawa Twaweza wamedhalilisha tasnia ya utafiti
lakini haizuii kuukosoaUtafiti unapingwa na utafiti, period
Nanyie fanyeni utafiti wenu jamani...mtabaki kuwa watu wa kupinga tu....hata hapa inaonesha hivyo...
no data no right to speach...sasa fanyeni utafiti halafu mtoe povu....
otherwise Magufuli is our president.
Utafiti wa Twaweza siyo credible kwa sababu hawajafanya validation ya findings zao. Ukweli ni kuwa wakitakiwa wasituke kabla hata ya kutoa matokeo kwa sababu reality kwenye majukwaa haiendani na walichotangaza. Hapa ndipo umuhimu wa validation unapotakiwa. Hawakufanya hicho, kwa hiyo matokeo yao na invalid. Tofauti na kampeni za CCM, watu wanasombwa na malori wakati wale wa UKAWA wanatumia resources zao. Mtu hawezi ku-volunteer na kutoa resources kama hakuungi mkono.
Utafiti unapingwa na utafiti, period
Nanyie fanyeni utafiti wenu jamani...mtabaki kuwa watu wa kupinga tu....hata hapa inaonesha hivyo...
no data no right to speach...sasa fanyeni utafiti halafu mtoe povu....
otherwise Magufuli is our president.
Sasa mkuu wewe watu wanaishia kufanya mapenzi maofisini unategemewa hata huo muda wa kwenda kufanya tafiti wataupata.