Against Twaweza opinion poll - No validation (Pingamizi la utafiti wa Twaweza)

Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
1,143
Utafiti wa Twaweza siyo credible kwa sababu hawajafanya validation ya findings zao.

Ukweli ni kuwa wakitakiwa wasituke kabla hata ya kutoa matokeo kwa sababu reality kwenye majukwaa haiendani na walichotangaza. Hapa ndipo umuhimu wa validation unapotakiwa.

Hawakufanya hicho, kwa hiyo matokeo yao na invalid. Tofauti na kampeni za CCM, watu wanasombwa na malori wakati wale wa UKAWA wanatumia resources zao.

Mtu hawezi ku-volunteer na kutoa resources kama hakuungi mkono.
 
stabilaiza ccm ni sawa na mtu anayekufa kwa njaa anaokota na kula kila kilichokaribu yake. utafiti wenyewe una mapungufu mengi tu mbali na validation
hivyo Twaweza nao kwa sasa naona hawana moral authority ya kuwatetea watanzania kwenye masuala mengine wanafanya kama mmiliki wa kuku ukitaka kuchinja unampa mahindi umkamate vizuri.
wanajifanya watetezi wa watoto wetu mafichoni wanashiriki kutuangamiza !! serious?
 
Zile picha ziko wapi wale watu wa twaweza wakiongea na yule waziri few minutes bfr matokeo yao
 
Nanyie fanyeni utafiti wenu jamani...mtabaki kuwa watu wa kupinga tu....hata hapa inaonesha hivyo...

no data no right to speach...sasa fanyeni utafiti halafu mtoe povu....

otherwise Magufuli is our president.
 
Utafiti wa Twaweza siyo credible kwa sababu hawajafanya validation ya findings zao. Ukweli ni kuwa wakitakiwa wasituke kabla hata ya kutoa matokeo kwa sababu reality kwenye majukwaa haiendani na walichotangaza. Hapa ndipo umuhimu wa validation unapotakiwa. Hawakufanya hicho, kwa hiyo matokeo yao na invalid. Tofauti na kampeni za CCM, watu wanasombwa na malori wakati wale wa UKAWA wanatumia resources zao. Mtu hawezi ku-volunteer na kutoa resources kama hakuungi mkono.
Naunga mkono hoja
 
Subiri oct 25 ndio tunafanya wetu
 
Utafiti wa Twaweza siyo credible kwa sababu hawajafanya validation ya findings zao. Ukweli ni kuwa wakitakiwa wasituke kabla hata ya kutoa matokeo kwa sababu reality kwenye majukwaa haiendani na walichotangaza. Hapa ndipo umuhimu wa validation unapotakiwa. Hawakufanya hicho, kwa hiyo matokeo yao na invalid. Tofauti na kampeni za CCM, watu wanasombwa na malori wakati wale wa UKAWA wanatumia resources zao. Mtu hawezi ku-volunteer na kutoa resources kama hakuungi mkono.

Kudai validation ni kutoka barabarani. Nadhani the concern was supposed to be imekuwaje wakafikia hapo? Kwa manufaa ya nani? Kwa nini wanadanganya umma?
 
Nanyie fanyeni utafiti wenu jamani...mtabaki kuwa watu wa kupinga tu....hata hapa inaonesha hivyo...

no data no right to speach...sasa fanyeni utafiti halafu mtoe povu....

otherwise Magufuli is our president.

Wa kwetu ni Octoba 25
 
Ukijumlisha unapata 102%. Hata kudanyia kwa hesabu za kujumlisha kumewashinda.
 
Makamba hajasoma hesabu ndio maana percent zimezidi na yeye hakulijua hilo. Me namsamehe
 
Sasa mkuu wewe watu wanaishia kufanya mapenzi maofisini unategemewa hata huo muda wa kwenda kufanya tafiti wataupata.

Eeee Makubwa!!
Kumbe hao jamaa wanatafitiana wenyewe kwa wenyewe..??
NGOs zingine laana tu...
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom