AG Werema na DPP Feleshi wanamwogopa Rostam?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Naangalia kama hawa wasimamizi wa sheria zetu wanajua ni sheria ngapi Rostam amezivunja hadharani hivi karibuni katika suala hili la majadiliano ya Richmond. Najizuia kuanza kuzichambua nikiamini kuwa yawezekana wakuu hawa wanafikiria jinsi gani ya "kumwingia" RA. Vinginevyo, isije kuwa katika shamba hili "wanyama wote wana haki, ila wengine wana haki zaidi"!
 
Uliza kilichotokea kwenye yadi ya Dowans baada ya kufungiwa kufuli wale majembe auction mart walilowa jasho na kurudi fast kufungua makufuli yao
usicheze na king maker
 
Kuna usemi unaosema every dog has his day. Tusijisahau sana na kujipa hata mambo ambayo hatuna. Dunia hadaa!!! Charles Taylor anaweza nisaidia kuhusu hili, au Savimbi kama angelifufuka.
Kuvunja vunja sheria kuliko pitiliza ni kuandaa matatizo yasiyo na ulazima. Ila hiari yashinda utumwa...king maker hiyo ni hiari yake na ajue kuna mwisho wake pia.Time will tell....
 
Kuwahoji Wabunge wetu kwenye lile sakata la posho mbili watendaji wa TAKUKURU wanakosea. RA naye anaonekana anaingilia mambo kinyume na sheria. Ni sisi tu humu ndani ndio tunaoyaona makosa haya.
 
Amefikia mahali analidharau bunge na kuamua hatima ya richmond kwa kuchagua majaji ambao inawezekana atawapendekeza yeye. Yes it is all about brotherhood...maana zimwi likujualo bwana, haliwezi kula ukakwisha
 
Mwanakijiji, usisumbue sana ubongo wako. Actually RA ndiye President de facto hapa bongo. Mkwere ni de jure ingawa kimwonekano Mkwere ni de facto. Angalia TRA walivyofungua makofuli yao fasta pale Dowans - Ubungo. Bungeni anataka ripoti mpya ya Richmond ifanyiwe uchunguzi na Majaji na sio ripoti feki ya Mwakiembe et al. Where does this kind of arrogance comes from? Definately he is holding the three cards. Mind you he holds a number of passports from different countries (Iran inclusive).
 
Naomba nielimishwe jamani: kwenye Ripoti ya Mwakyembe RA hakuhojiwa na Kamati Teule kwa kuwa alikuwa nje ya nchi na fact zinaonyesha kuwa mmiliki wa Richmond ni Mohamed Gire! Je, mmililiki wa Dowans kisheria ni RA au nani? Na kama RA sio mmiliki kisheria wa Richmond au Dowans, kosa lake ni lipi hasa ambalo Eliezer Feleshi anatakiwa alishughulikie?
 
Ni wazi wanawaogopa si Pinda alikiri kuwa jamaa wana nguvu ya pesa ambapo serikali haina ubavu wa kukabiliana nao hawa jamaa ambao wapo juu ya sheria kwa hiyo wanatumbua tu labda kiingie chama cha upinzani madarakani lakini si CCM hii tuliyo nayo.
 
Uliza kilichotokea kwenye yadi ya Dowans baada ya kufungiwa kufuli wale majembe auction mart walilowa jasho na kurudi fast kufungua makufuli yao
usicheze na king maker

Hahaha ilikuwa kama mchezo wa kuigiza! Yaani waziwazi watanzania tudanganyika
 
Naangalia kama hawa wasimamizi wa sheria zetu wanajua ni sheria ngapi Rostam amezivunja hadharani hivi karibuni katika suala hili la majadiliano ya Richmond. Najizuia kuanza kuzichambua nikiamini kuwa yawezekana wakuu hawa wanafikiria jinsi gani ya "kumwingia" RA. Vinginevyo, isije kuwa katika shamba hili "wanyama wote wana haki, ila wengine wana haki zaidi"!

Mkuu Who is Mkereme did you mean AG Werema? Naomba mwongozo!
 
Uliza kilichotokea kwenye yadi ya Dowans baada ya kufungiwa kufuli wale majembe auction mart walilowa jasho na kurudi fast kufungua makufuli yao
usicheze na king maker
Ipo siku nayo yaja haki kutawala na ustawi wa taifa kwa wote kupatikanaa..

Ni jukumu letu sote kuipigania siku hiyoo ili hayoo yatimie.

RA ni lobbyist tuu wa power kwa kutumia kikundi kidogo cha watu kutunyonya rasilimali zetu..

Tumefanikiwa tayari kuwatingisha na sasa Tuwaangusheee..
 
Naangalia kama hawa wasimamizi wa sheria zetu wanajua ni sheria ngapi Rostam amezivunja hadharani hivi karibuni katika suala hili la majadiliano ya Richmond. Najizuia kuanza kuzichambua nikiamini kuwa yawezekana wakuu hawa wanafikiria jinsi gani ya "kumwingia" RA. Vinginevyo, isije kuwa katika shamba hili "wanyama wote wana haki, ila wengine wana haki zaidi"!

Mkuu Who is Mkereme did you mean AG Werema? Naomba mwongozo!
 
Mwanakijiji, usisumbue sana ubongo wako. Actually RA ndiye President de facto hapa bongo. Mkwere ni de jure ingawa kimwonekano Mkwere ni de facto. Angalia TRA walivyofungua makofuli yao fasta pale Dowans - Ubungo. Bungeni anataka ripoti mpya ya Richmond ifanyiwe uchunguzi na Majaji na sio ripoti feki ya Mwakiembe et al. Where does this kind of arrogance comes from? Definately he is holding the three cards. Mind you he holds a number of passports from different countries (Iran inclusive).

Hapa mkuu umemaliza kila kitu.No doubts
 
de facto[/B] hapa bongo. Mkwere ni de jure ingawa kimwonekano Mkwere ni de facto.]

Wasp it from the above remarks that i salut you. JK mwenyewe anamuogopa RA, actually he knows what RA and Eddy can harm him asipocheza mziki wao. Ila iwe mchiriku, taarab, qaswida, R n B au Bongo Flava there is always a solution. Time will come
 
Mimi nafikiri mfanyabiashara haibi ila "anafanya negotiations" anayeiba ni anayeuza mali yake? nani alimpa tender RA?(kampuni yake) kwanini alikuwa weak kupata maslahi yake (nchi)??? alipata maslahi gani binafsi?? hayo ndiyo maswali yanayofaa kuwauliza technorat wetu hapo wizara ya madini na nishati???
 
Back
Top Bottom