Afya za mastaa wa bongo fleva!

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Mimi binafsi ni shabiki mkubwa sana wa muziki wa kizazi kipya, hongereni vijana mnajitahidi. Ila ninawasiwasi sana na huko mnakoelekea kiafya, tuige mfano wa wenzetu wa nje, HAMFANYI PHYISICAL EXERCISE mfano JUZI TU AY ulimi nje nyimbo 2 oale dimond jubilee aliishiwa punzi kwa waliokuwa wanafwatilia.

Ifwaatayo ni list ya walionenepa kupita maelezo kwa kipindi kifupi tu walipoa toa single 1/2

1. Prof J
2.Matonya
3. AY
4.Joycelene
5.Keisha
6.......
7........

Hongera Zola D. wewe unapaswa kuwa mfano wa kuigwa.
 
Mpwa sikujua kama na kwenye engo hii umo pia. Lol!

Mkuu inaniuma kuona wewe ni atheletic unawaachia hawa vijana wanafura kama maputo wachukuwe ukawapandishe vilima vya goba na salasala sa 12 asubuhi waache ndumu na tusker
 
Inabidi wapunguze kujiachia wanakunywa sana Bia na minyama nyama tena wanakula ovyo ovyo ndo maana wanaishiwa pumnzi alafu hata Bange nazo wapunguze.
 
Mpwa! hawana conf. ya kuperform bila ya cha ZIMBABWE/ARUSHA matokeo yake wanakuwa midebwedo. Kuna kabinti kaliperform kwenye bongo star search kanaitwa sijui SHAA? kanavibrate vizuri kama simu ya NOKIA
 
hivi kunenepa ni kukosa afya kwa mila za wapi?mbona wasani wetu wa kule tabora kama mzee mwinamila, binti mpera walikuwa wanene tu na burudani wanashusha ya ukwe?
 
kunenepa si kukosa afya bali wanatakiwa wafanye mazoezi wawe wepezi na kuweza kulimudu jukwaaa
 
Kunenepa maana yake ni kuongezeka uzito, kuongezeka uzito madhara yake ni uzembe na magonjwa kama kisukari na shinikizo la damu. Kuna watu waliozaliwa hivyo naturaly wana mifupa mipana na unene tangia wazaliwe hata wakifanya mazoezi hawapungui kihivyo ila wanakuwa flexible na pumzi nyingi.

Ila Afya nyingi za wabongo ni mbaya (obesity) tunakula nyama na mibia tuu no mboga no matunda.
 
Mkuu inaniuma kuona wewe ni atheletic unawaachia hawa vijana wanafura kama maputo wachukuwe ukawapandishe vilima vya goba na salasala sa 12 asubuhi waache ndumu na tusker

Vilima vya salasala hawaviwezi wavuta bangi. Hahaha
 
Hapo.
 
Attachments

  • matonya01bc.jpg
    matonya01bc.jpg
    11 KB · Views: 64
Mimi binafsi ni shabiki mkubwa sana wa muziki wa kizazi kipya, hongereni vijana mnajitahidi. Ila ninawasiwasi sana na huko mnakoelekea kiafya, tuige mfano wa wenzetu wa nje, HAMFANYI PHYISICAL EXERCISE mfano JUZI TU AY ulimi nje nyimbo 2 oale dimond jubilee aliishiwa punzi kwa waliokuwa wanafwatilia.

Ifwaatayo ni list ya walionenepa kupita maelezo kwa kipindi kifupi tu walipoa toa single 1/2

1. Prof J
2.Matonya
3. AY
4.Joycelene
5.Keisha
6.umemsahau kassim......
7........

Hongera Zola D. wewe unapaswa kuwa mfano wa kuigwa.

umemsahau kassim
 
wengine kwenye shooting wanalembua kama wanawake, kassim Pasha, wanaboa sana kama vip wawe wanaimba wamevaa sketi tu.
 
Big up kwa Mustafa Hassanaali

mkuu huyu jamaa amevunja rekodi ya kupunguza uzito bongo, natamani nijue siri yake halafu nafungua weight clinic/health club maeneo ya mikocheni au nitaongea na zadok anipangishe kwenye hayo magara yake ya dar village niwabane mademu wa kibongo maana wengi nao wapo obsessed na uzito.
 
Prof na AY
 
Attachments

  • ay-tz.jpg
    ay-tz.jpg
    11.6 KB · Views: 65
  • prof-2.jpg
    prof-2.jpg
    86.5 KB · Views: 57
mkuu huyu jamaa amevunja rekodi ya kupunguza uzito bongo, natamani nijue siri yake halafu nafungua weight clinic/health club maeneo ya mikocheni au nitaongea na zadok anipangishe kwenye hayo magara yake ya dar village niwabane mademu wa kibongo maana wengi nao wapo obsessed na uzito.
Mkuu BURN embu tutafutie picha ya huyo jamaa
 
mkuu huyu jamaa amevunja rekodi ya kupunguza uzito bongo, natamani nijue siri yake halafu nafungua weight clinic/health club maeneo ya mikocheni au nitaongea na zadok anipangishe kwenye hayo magara yake ya dar village niwabane mademu wa kibongo maana wengi nao wapo obsessed na uzito.

from 105 mpaka 65 ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom