Serikali imekuwa mstari wa mbele kuhamasisha wananchi wawe na vyoo bora, lakini wao kwenye ofisi zao binafsi ni chafu, sink limefubaa hata mhudumiwa anastaajabu.
Lakini leo, hiki ni choo cha Ofisi ya Kata Mshangano. Tazama picha hapa ndani, chooni na ofisi ipo pembeni. Serikali chukueni hatua.