Afunga ndoa akiwa na MANUNDU NA NGEO KIBAO

Afunga ndoa akiwa na MANUNDU NA NGEO KIBAO

Ingawa ni siku ya furaha lakini inatia huzuni.

"Hallelujah,one nation under god"
 
Yote ni mapenzi ya mungu ya kwako utafungaje weyeee....?
 
Hizi picha zimenisikitisha sana. Mungu awatangulia na kuwasimamia ili pendo lao lidumu. Nimeshasikia habari za "grooms to be" wakipata ajali siku/wiki chache kabla ya harusi (wengi wao wakiwa wanaendesha magari)... inawezekana ni stress za maandalizi ya harusi et al.
 
hakuna imposible chin i ya hili jua aisee, usikute yalikua majaribu tu ya kuipoteza hiyo ndoa
 
Ni kiungo kimoja tu cha huyo mwanaume kama kingepata mushkeli nadhani ndoa hiyo ingekuwa kitendawili.
 
Ni kiungo kimoja tu cha huyo mwanaume kama kingepata mushkeli nadhani ndoa hiyo ingekuwa kitendawili.

ila harusi za home kama hii zinanogaga balaa! sio siku izi ukumbi mkubwa kila mtu bize na bibiemu sijui babuemu.......smartphone hazipigi vigelegele!!! tena vya kinyaki weee......................
 
Tunawatakia kila heri katika ndoa yao na namuombea bwana harusi apone kwa haraka afurahie ndoa yake na kuendelea na ujenzi wa taifa hili la viongozi wake waliopteza uzalendo.
Mungu awabariki sana
 
jina la mungu lihimidiwe!hongera pia kwa mkewe,angekuwa mwingine angesepa!ila walienda honey moon kweli?
 
Shetani ameshindwa na mbinu zake, alitaka usioe sasa umeoa, Mwangosi ukimwacha Mungu utaipata fresh
 
Daaa what a sad and at the same time a hapy moment...

Mungu ashukuriwe kwa kumponyesha Bw. Harusi.


But I'm just thinking kwani wangeahirisha harusi hata for a week Bw.harusi apate unafuu ingekuwaje?? Uwiiiii..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom