Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,601
[h=3]ALIYEDHANIWA AMEKUFA KWENYE AJALI ILIYOTOKEA USIKU WA KUAMKIA JUMAMOSI AFUNGA NDOA HAKIKA MUNGU NI MKUU[/h]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Bwana harusi Emmanuel Mwangosi akiwa na mkewe Magreth Mtebe mara tu baada ya kufunga pingu za maisha jana katika kanisa la Agape jakaranda jijini mbeya[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TD="class: tr-caption"]Hii ndiyo ajali aliyopata bwana harusi emmanueli aligongwa na gari aina ya Toyota GX 100 Emmanuel yeye alikuwa anaendesha pikipiki usiku wa kuamkia jumamosi mida ya saa sita nanusu usiku alikuwa anaenda kwenye mkesha kanisani ndiyo ajali hiyo ikatokea maeneo ya mafiati mbeya wengi wa mashuhuda hao walijua mwendesha pikipiki hiyo amekufa papo hapo [/TD]

[TD="class: tr-caption"]Hii ndiyo hali halisi iliyotokea siku hiyo ya ajali mbeya yetu tulifika usiku huo eneo la tukio na kukuta tayari majeruhi wametolewa na kupelekwa katika hospitali ya rufaa Mbeya ndipo jana tukaamua kufuatilia majeruhi hao na kukuta kuwa Emmanueli ameruhusiwa kwa muda akafunge ndoa kwani jana ilikuwa siku ya yeye kuoa ndipo tukaenda kufuatilia harusi hiyo katika kanisa la agape [/TD]

[TD="class: tr-caption"]Bwana harusi Emmanueli na mpambe wake Frank wakiingia kanisani[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Hakika ni furaha hapa bwana harusi anamtambua mkewe kwa kumfunua shela kabla ya ndoa kufungwa[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Sasa bana na bibi harusi wanaingia kanisani tayari kwa ibada ya ndoa[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Mchungaji Emmanuel Mwasota toka E.A.G.T toka DSM ndiyo aliyofungisha ndoa hiyo[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Hapa bwana harusi akimvisha mkewe pete huku bibi harusi akiwa katika furaha kubwa na kumshukuru mungu kwa kumuepusha mumewe katika ajali iliyotokea[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Hapa wakipata mibaraka ya ndoa kutoka kwa wachungaji mbalimbali wa kanisa hilo la AGAPE[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Sasa tu mwili mmoja kitakachotutenganisha ni kifo tu jina la bwana libarikiwe[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Bwana harusi akipokea cheti cha ndoa toka kwa mchungaji Mwasota[/TD]

[TD="class: tr-caption"][/TD]

[TD="class: tr-caption"]Wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Maharusi wakiwa na familia na wazazi wao[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Sherehe fupi ya kuwapongeza maharusi ilifanyika katika bustani ya ccm jijini mbeya[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Ndugu jamaa na marafiki walihudhuria sherehe hiyo ingawa maharusi hawakuweza fika kwenye sherehe hiyo kutokana hali yake haikuwa nzuri alihitaji kupumzika na kurejea tena hospitali kuendelea na matibabu[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"][TR]
[TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]