Afufuka Baada ya Siku Saba!

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
clip_image002.jpg


Emmanuel Tuwagirairmana lived as a Christian in Rwanda but was not faithful in his walk with God. During the Rwanda genocide of 1994, he was seriously injured and, together with ten other people, hid in a school. The wounds on his body grew worse and one morning his friends realized he had died. They could not bury him as it was very dangerous to move out of the school. They hid in Kabwai School in Gitarama town, about 45km from the capital Kigali. They wrapped his body in a bed cover and by now his body was smelling and fluids were coming out of it. This situation lasted for seven days!

Emmanuel had a near-death experience and was taken to heaven. He says he did not know how he got out of his body; but, suddenly he just saw a man at a gate. The man told him that he was an angel and that they were standing at the gate to heaven.

He realized he was putting on a heavenly body which was far more beautiful than the earthly body. He was then taken through a beautiful and sweet-smelling flower garden. There, he met Christ who presented himself to Emmanuel in two forms: first, with a body of scars, and second, with a perfect body.

Jesus brought Emmanuel back to Rwanda in the very house where his dead body was. They stood up in the room and no one could see them. Jesus showed Emmanuel his dead body. It looked terrible. Jesus told him that one day after his visit in heaven, he will go back in that body.

Emmanuel could hear the conversation of people in the room where his body was. They were saying, "Oh, the saved man has died!"

Jesus took Emmanuel back to heaven and showed him a beautiful city. Emmanuel said this was a very beautiful city with houses he has never seen anywhere in the world. There was a lake there and he was told he could not go across it.

He was surprised to see, across the lake, some of his friends who had died in Rwanda including a Muslim. Emmanuel was surprised he did not see some devout Christians with whom he had been serving God with. He asked Christ how a Muslim could be in heaven. Jesus told him that as this Muslim was dying, he called upon the name of Jesus, and Jesus saved him from hell. Then Emmanuel asked him why a certain devout Christian lady who had served God with him in Rwanda was not in heaven. Jesus replied it was because of her refusal to forgive those who had refused to visit her in the hospital when she was sick. Emmanuel mentioned another name and Jesus told him that the reason that person was not in heaven was that he stole money which Christians had contributed to assist the sick.

Emmanuel then saw a very brilliant light across the lake. Jesus told Emmanuel he could not approach the throne of God since his time to leave the earth had not yet come.

Emmanuel was then shown hell which he said was very filthy. Those in hell are made to work like slaves all the time.

Jesus then gave Emmanuel something which looked like a big tablet of chocolate and told him to eat it. It tasted like chocolate! After he had eaten it, Jesus told him that he had eaten the whole Bible and that when he return to earth, he would be able to memorize all the verses without opening the Bible. A friend of Emmanuel testifies that this is true. The man has all scriptures in his head.

After seven days since his death on earth, Jesus told Emmanuel it was time for him to return to his body on earth. Jesus assigned him to go and testify to what he had seen and to ask people to repent and turn away from sin. Jesus gave him three guardian angels to protect him always.

Emmanuel felt like refusing to leave heaven, but Jesus just touched him with a fingertip. Emmanuel then found himself entering his earthly body which was full of maggots. He says he used his hand to get maggots out of his mouth.

His friends could not believe their eyes when they saw Emmanuel's rotten body shaking and the straps getting loose. Although most of the other ten were very sick, they crawled and ran out of the school room shouting they had seen a ghost. They returned after hearing Emmanuel's voice pleading for them to return.

One of Emmanuel's arms had a part that had been eaten a lot by maggots which was causing the arm to almost fall off. He was then taken to a hospital in Kigali. God told Emmanuel not to worry and not to accept the doctors proposed surgery whereby his arm would be cut off.



In God's supernatural working ways, God appeared in a vision to a doctor in Australia. God instructed the doctor to go to Rwanda to look for Emmanuel and to take all the necessary tools which would enable the doctor to perform an operation to Emmanuel's arm still attached to his body. God gave the doctor all the details about Emmanuel including the hospital in Kigali including his photo! This doctor flew to Rwanda and located Emmanuel.

After healing, Emmanuel started his ministry of testifying to what he saw in heaven. Everywhere Emmanuel goes, there are miracles. For example, in Rwanda he prayed and a very powerful witch, feared all over Rwanda, lost all of his powers! In Tanzania, Emmanuel was imprisoned for preaching to and converting Muslims. While in prison, he prayed and a powerful wind destroyed the prison. Prison officials set him free the following morning! Right now, Emmanuel ministers in Kenya and South Africa. He travels to different countries to share his testimony with others.

Emmanuel Tuwagaimana currently resides in Nairobi, Kenya.



 
Last edited by a moderator:
Mm ngumu kumeza,,,no one returned frm there after death...!! This is Act Of Faith(Fumbo la imani-if nt mistaken).
 
Emanuel Twagirimana- nimewahi ku-attend kwenye mahubiri yake na alivua shati kuonesha makovu yake. Alieleza story yake kama ilivo hapo juu.
 
ngumu kuimeza, ngumu kwelikweli. akha.. ngoja tusubirie tuone labda tutapata mafunuo mapya,,lakini haimezeki
 
Ndiyo yaleyale ya akina kibwetere. Huwa nashindwa kuelewa hawa wahubiri ! Hivi mpaka waseme uongo ndo watu watawaanini ? Story za kutungatunga hizo. ! Yesu hakufanya hayo jamani tubadilike.
 
imani inaweza fanya makuu ambayo katika akili za ubinadamu wetu tunaweza kushinda kuyameza. lakini kama unaamini katika uwepo wa mungu basi yote yanawezekana katika yeye. binafsi sishangai kwa yaliyomtokea emmanuel hata kama sijawahi kumsikia. siwezi kuwa na uwezo wa kusikia maajabu yote yafanywayo na Mungu katika ubinadamu wangu huu
 
Mbona story hiyo hiyo anaitumia Mwingira kwenye mahubiri yake kuwa ilimtokea naye alifufuka. Pia alionyeshwa mwili wake akaona ulivyo mbaya na hakupenda kuurudia tena. Au mazingira hayohayo yamewatokea wengi walio wateule wake?
 
eRRy, headline yako hii ya "Afufuka Baada ya Siku Saba Amefariki!" ni tungo tata!,
Ina maanisha, 1. Mtu amefufuka baada ya siku saba, sasa amefariki,
2. mtu aliyefufuka, amefariki baada ya siku saba baada ya kufufuka.
Baada ya kuisoma, nikagundua ulimaanisha "Afufuka, baada ya kufariki kwa siku 7!".
 
Ni kweli kabisa hakuna jambo gumu lisilowezekana kwa Mungu. Hata hivyo Mungu hajawahi kutenda jambo lolote lililo kinyume na neno lake. Ukifuatalia ushuhuda wa imanuel, sijui niite alipokufa ama alipozirai ni kwamba alipewa kitu ale kwa maana ya neno(biblia). Kama ni hivyo basi, picha yake inaonyesha akiwa madhabahuni na mwanamke alievalia suruali na naamini atakuwa yupo mbele ya wanaume akiwahutubia. Kwanza neno alilokula linasema kwamba mwanamke kuvaa mavazi yampasayo mwanamume ni chukizo mbele za Mungu. Halafu pia biblia hiyo hiyo inamkataza mwanamke kumfundisha ama kumtawala mwanamume ni hili ni katika mambo yahusuyo ufalme maana inalenga kanisa kama kusanyiko na wala hana ruhusa ya kuuliza hata swali humo, kwani akiwa na swali anapaswa kumuuliza mmewe nyumbani. Pia biblia hiyo hiyo inasisitiza kwamba wanaume peke yao ndio wasalishe sehemu zote kwa sharti la kunyoosha mikono iliyotakaswa. Sasa Imanueli ni biblia ipi alipewa kuimeza? Halafu anazungumza habari za Yesu akiwa mmoja na baba mwingine hii ni kumaanisha kila mmoja ni nafsi tofauti, na hapa bado hajatoa habari za nafsi nyingine ya tatu ilikuwa wapi wakati wa ono lake kulingana na itikadi za kimadhehebu. Ila hakuna biblia iliyowahi kumfundisha Mungu wa NAFSI tatu tofauti. Sasa ono hili la mpendwa imanueli likipimwa katika mtizamo wa kioo cha biblia halitokani na Mungu wa biblia.
Anachotakiwa ni kutubu na kurudi katika fundisho sahihi la Mungu wa biblia, ama kuendelea na upotoshaji wake kwa hasara yake mwenyewe.
.
 
Nakwambia hivi: nimehudhuria mahubiri yake, hii siyo ya kufikirika, alivua shati kuonesha makovu ubavuni na kwenye mkono. Hii ni phyisical evidence.
HATA JAMBAZI LAWEZA KUWA NA MAKOVU, Hivyo makovu yasiwe kigezo cha uongo huo kuwa ukweli.
 
Ni kweli kabisa hakuna jambo gumu lisilowezekana kwa Mungu. Hata hivyo Mungu hajawahi kutenda jambo lolote lililo kinyume na neno lake. Ukifuatalia ushuhuda wa imanuel, sijui niite alipokufa ama alipozirai ni kwamba alipewa kitu ale kwa maana ya neno(biblia). Kama ni hivyo basi, picha yake inaonyesha akiwa madhabahuni na mwanamke alievalia suruali na naamini atakuwa yupo mbele ya wanaume akiwahutubia. Kwanza neno alilokula linasema kwamba mwanamke kuvaa mavazi yampasayo mwanamume ni chukizo mbele za Mungu. Halafu pia biblia hiyo hiyo inamkataza mwanamke kumfundisha ama kumtawala mwanamume ni hili ni katika mambo yahusuyo ufalme maana inalenga kanisa kama kusanyiko na wala hana ruhusa ya kuuliza hata swali humo, kwani akiwa na swali anapaswa kumuuliza mmewe nyumbani. Pia biblia hiyo hiyo inasisitiza kwamba wanaume peke yao ndio wasalishe sehemu zote kwa sharti la kunyoosha mikono iliyotakaswa. Sasa Imanueli ni biblia ipi alipewa kuimeza? Halafu anazungumza habari za Yesu akiwa mmoja na baba mwingine hii ni kumaanisha kila mmoja ni nafsi tofauti, na hapa bado hajatoa habari za nafsi nyingine ya tatu ilikuwa wapi wakati wa ono lake kulingana na itikadi za kimadhehebu. Ila hakuna biblia iliyowahi kumfundisha Mungu wa NAFSI tatu tofauti. Sasa ono hili la mpendwa imanueli likipimwa katika mtizamo wa kioo cha biblia halitokani na Mungu wa biblia.
Anachotakiwa ni kutubu na kurudi katika fundisho sahihi la Mungu wa biblia, ama kuendelea na upotoshaji wake kwa hasara yake mwenyewe.
.

ukipewa hiyo suruali unayosema amevaa wewe utaivaa? nijuavyo mimi kuna suruali za kiume ambazo mwanamke hatakiwi kuzivaa na pia kuna za kike ambazo huvaliwa na mwanamke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom