:shock:Aisee!!! Taratibu eheeee salamu yatosha keki tutakuletea....:eyebrows:
hahahahaahahahah
Kuhusu muda Tf alioenda kulala au muda alioamka
mi nimekataa kuingilia kwa kweli hahahahahahaha
Ni ngumu kusema alilala na ni ngumu kusema alikesha
kwa hiyo sijui kitu kabisa hahahahahhah..
samahani sana lawyer wangu TF ambadilika
kweli siku hizi ....
Hope your well tho.
umepotea kweli siku hizi..
mmmmhhhhhhh
nahisi kuna maneno yamekosekana kwenye hiyo sentensi yako :A S embarassed:
Captain
bana ohhhhh
uminiingia kwa kweli
asante sana dear ...
:A S 465:
BAK Togwa umenikumbusha mbali kweli aiseehahahahahah lol! Rubani mie sitii neno 🙂🙂 sasa kwa wanywaji wengine huwa tunapenda kuzimua kwa Togwa 🙂🙂 hivyo usisahau kuweka Togwa. Mie nitazuka mitaa hiyo nikishamaliza majukumu yangu ya siku ya leo 🙂🙂
HAPPY BIRTHDAY AD
BAK Togwa umenikumbusha mbali kweli aisee
hivi Afro.....unajua tunamtumikia mkoloni saa hizi.......
Jioni tunaenda kuwinda Swala kwa ajli ya Barberque njoo na upinde na mishale ya kutoshaTF nimechelewa nilikuwa ktk mishe mishe since morning, hebu nipe ratiba imekaaje nijipange
Kipindi fulani wakati bado nasoma shule wakati tunafanya community service kuna mitaa tulipita tukakuta wanapika Togwa muda mrefu kweli umepitaKumbe nawe ni mpenzi? lol! Basi ngoja nimuagize Rubani aweke ya kutosha 🙂🙂...Togwa imekukumbusha wapi TF!?
...Nadhani nije na GOBOLE tu ili tusipoteze muda mwingiii,Jioni tunaenda kuwinda Swala kwa ajli ya Barberque njoo na upinde na mishale ya kutosha
:lol::lol: Afro D atakuwa wa kwanza huyo anapetiwa na mwenzake
You must have looked like one of these brats somtime ago!!!!:lol::lol: