Waafrika bado tupo nyuma kimaendeleo kwasababu hatuna foundation. Nani aliyesababisha? ukisoma history utajua tatizo tulikuwa watumwa wa wazungu. Wazungu hawakujenga shule nyingi wakati walipokuwa Afrika. Hawakujenga barabara au hospitali, hii yote ilisababishwa na wao wazungu hawakujali maisha ya mtu maskini wa Afrika. Wamejenga barabara nzuri nchi zao za ulaya, na wamechukua mali zote za Afrika gold, diamond, gas nk. Sasa hivi wanaikejeli Afrika kuwa ni maskini sana. Itachukua miaka mingi kwa Afrika kujiendeleza yenyewe. Tunahitaji better education, building our own manufactures and agriculture.