Afrika Mashariki inarudi nyuma kidemokrasia

Afrika Mashariki inarudi nyuma kidemokrasia

Askari hawaoni tabu kumuua Raia mwenzao ambae hana silaha mwenye mawazo tofauti na watawala. Hiyo imegeuka kuwa fasheni yetu sasa Afrika Mashariki..

Democrasia ni nini? Kwa nchi yako Tanzania demokrasia ni kitu gani?

Kipi kinatangulia, kushibadala ? halafu kwenda haja ?

Facts: Haki ya kuchagua inakuwepo tuu inapotokea kuna vingi. Kwa Maskini demokrasia yake ni kupata chakula, malazi, matibabu, elimu, baadae furaha ( Furaha equals democracy )

Bado muda wa kupata demokrasia sahihi. Iliyopo inatutosha, na hata kumtumia vizuri bado hatuja weza.
 
Kenya pekee ndiyo ina utawala bora
Kenya ina shida mbili tu hapa Afrika mashariki; kwanza ni ukabila, pili ni wao kujiona wako karibu zaidi na Marekani na Uingereza kuliko nchi za east Africa. Inapigana kufa na kupona iwe karibu na wakubwa hao kuzipiku nchi nyingine za EAC. Inataka ipate zaidi misaada na uwekezaji kutoka kwa wazungu kuliko wengine
 
kama hio ndo low thinking capacity but makes me enjoy life then i am proud of it, lets see what you can achieve with your intelligent brain
Ok,you just keep on enjoying your life. But never forget that at end of your enjoyment, you are going to be a maggots food like your ancestors. It's only a matter of time.
 
Ok,you just keep on enjoying your life. But never forget that at end of your enjoyment, you are going to be a maggots food like your ancestors. It's only a matter of time.

so do you? sasa huoni ni vema kufurahia maisha ilihali unajua kuna sku utaondoka
 
Tunamtanguliza MUNGU kwa maneno lakini ukweli tumemwacha MUNGU kwa vitendo vyetu
 
Huu kutokua na mfumo wa siasa unaoendana pamoja na tabia za ajabu ajabu za Tz,Ug na Burundi ndizo zilipelekea Kenya tujitoe EA Zama zile naona mmeanza tena kwa Kasi.
Kwanini tusiende sambamba ikiwa.ni kidemokrasia,kimkakati,lugha,elimu,miundo mbinu n.k
Si juzi tu huyo wa Chamwino hapo kakataa kujumuika mkutano wa mtandaoni kuhusu Covid,Kisha kibri tu.Kaiba uchaguzi kweupe na kuwamiminia wapinzani risasi na kuwapelekea kuikimbia nchi kabisa.
Kachoma Moto kabisaa vifaranga na kuwakataa wateuliwa wa Voda pamoja na Coca-Cola kisa tu eti Wana uraia wa Kenya.
M7 wa Uganda naye babuu kawakamata waganda Karne na Karne amemkamata mpinzani na kuwaua waganda.
Burundi nako ndio usiseme,pumba tupu pamoja na huyo mtutsi wa Chigali.....aaargh!
Tunaijenga tukiibomoa,upuzi mtupu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom