Afrika Mashariki inarudi nyuma kidemokrasia

Afrika Mashariki inarudi nyuma kidemokrasia

Mkuu naona baada ya Uchaguzi umekuwa mtu wa kuhangaika sana.
Tayari Leo umekuwa Mkenya baada ya juzi na Jana kumaliza kuwa mtu wa ulaya "EU"
Pole Sana mkuu Najua unapitia kipindi kigumu Sana

wavumilie, pole pole heshima itarudi:

Mawazo yapi ambayo wananchi tunaweza sema hawa wanastahili nchi? kufukuza mwanachama kisa anataka kua mwenyekiti? faragha? mikopo? mawazo gan sasa upinzani wanayo zaidi ya kurudisha hawa ngozi white africa?

- Kama ni kuua thats very normal, Tanzania na uganda zilipigana vita kwan waliuliwa wazungu ama waafrika?
Shit hole countries (Trump, 2018)...+
 
Askari hawaoni tabu kumuua Raia mwenzao ambae hana silaha mwenye mawazo tofauti na watawala. Hiyo imegeuka kuwa fasheni yetu sasa Afrika Mashariki.

Viongozi wetu ni kama vile wanatafuta Uhuru upya. Wanapambana na yeyote anayewapinga sawasawa na walivyofanya makaburu na wakoloni kwa watu weusi.

Wanatumia kila fursa hata covid 19 kujinufaisha kisiasa. Wanatumia wabunge waliopitishwa kwa njia za gizani kutunga sheria zenye upogo ili kujibakisha madarakani milele.

Nchi zao nilazima ziongozwe na wao wengine hawawezi wataharibu. Kila anaesema hivyo sivyo anatumiwa na mabeberu.
Bora wakoloni weupe waje kututawala tena aisee maana wataleta maendeleo sana kuliko hawa "makaburu weusi".
 
Mkuu naona baada ya Uchaguzi umekuwa mtu wa kuhangaika sana.
Tayari Leo umekuwa Mkenya baada ya juzi na Jana kumaliza kuwa mtu wa ulaya "EU"
Pole Sana mkuu Najua unapitia kipindi kigumu Sana
Hivi kumbe bongo nako ulifanyika uchaguzi !
 
Mkuu naona baada ya Uchaguzi umekuwa mtu wa kuhangaika sana.
Tayari Leo umekuwa Mkenya baada ya juzi na Jana kumaliza kuwa mtu wa ulaya "EU"
Pole Sana mkuu Najua unapitia kipindi kigumu Sana
Yani nguvu anayotumia kupiga propaganda zisizo na mashiko hapa jukwaani angeitumia kukimobilize chama ili kijigroup na kauanza maandalizi ya 2024 uchaguzi wa serikali za mitaa ingekuwa bora sana.
 
Mawazo yapi ambayo wananchi tunaweza sema hawa wanastahili nchi? kufukuza mwanachama kisa anataka kua mwenyekiti? faragha? mikopo? mawazo gan sasa upinzani wanayo zaidi ya kurudisha hawa ngozi white africa?

- Kama ni kuua thats very normal, Tanzania na uganda zilipigana vita kwan waliuliwa wazungu ama waafrika?
Unapojustify extrajudicial killings huwezi kukwepa lawama.
 
Na Tanzania kwa sasa ndiyo mfano wa kuigwa![emoji1782]
109098765.jpg
 
Nothing will be wonderful. When you will meet God in your grave, He won't ask you about CCM but what you have done for him. Nothing more nothing less.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona sasa hio ndo wondeful, au unataka nishindwe kujitetea kwamba kuna Wabunge walienda kutetea wananchi kipindi cha Corona nikawafukuza kisa mimi ni mwenyekiti
 
Mawazo yapi ambayo wananchi tunaweza sema hawa wanastahili nchi? kufukuza mwanachama kisa anataka kua mwenyekiti? faragha? mikopo? mawazo gan sasa upinzani wanayo zaidi ya kurudisha hawa ngozi white africa?

- Kama ni kuua thats very normal, Tanzania na uganda zilipigana vita kwan waliuliwa wazungu ama waafrika?
Kama wapinzani hawana hoja tuwaachie uhuru wananchi wawahukumu wenyewe. Uwanja wa kuchezea siasa usiinamishwe.
 
is Tanzania the first to conduct killings? vp kuhusu black americans?
Koho! Koh!.....kwamba kwasababu fulani kafanya na mimi nafanya? huu ni utetezi wa kipuuzi kabisa ndugu yangu.
Wale wanaouwa black Americans huchukuliwa hatua, hawalindwi kama kwetu.
 
Nashauri Kenya ijiondoe kwenye jumuiya ya Africa Mashariki
Kenya pia inatafunwa na ukabila, Rais lazima awe Mkikuyu. Lakini kama watapita hicho kizingiti cha ukabila, kenya itasogea mbele sana kwenye nyanja zote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom