eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,803
- 16,475
Kenya Askari wanauwa pia wakipata kichaa sema Uhuru ni smart, Matured, civilized na educated utumia akili kuliko nguvu
Yule nchi imemshinda. 😁😀😄
Kenya Askari wanauwa pia wakipata kichaa sema Uhuru ni smart, Matured, civilized na educated utumia akili kuliko nguvu
Kama yanayotokea America yangetokea kwa mtawala wa Afrika Mashariki mwenyeti wa Tume ya Uchaguzi angekwisha kufa na fatiha yake ingeshamalizika na maelfu wa watu wangeshakuwa mahabusu na kufa.Hata USA inarudi nyuma kidemokrasia!
Angalau anuki Sana damu za waafrikaYule nchi imemshinda. 😁😀😄
Angalau hanuki damu za watu tofauti na Hawa huuwa Hadi kwa mikono yao wenyeweYule nchi imemshinda. [emoji16][emoji3][emoji1]
Ma- white watarudi maana watu wameanza kulinganisha utawala wa wazungu na utawala wa weusi, na kuonekana hakuna tofauti. Wengine wanasema tena ni afadhali kidogo wazungu.Mawazo yapi ambayo wananchi tunaweza sema hawa wanastahili nchi? kufukuza mwanachama kisa anataka kua mwenyekiti? faragha? mikopo? mawazo gan sasa upinzani wanayo zaidi ya kurudisha hawa ngozi white africa?
- Kama ni kuua thats very normal, Tanzania na uganda zilipigana vita kwan waliuliwa wazungu ama waafrika?
RMbna sasa hio ndo wondeful, au unataka nishindwe kujitetea kwamba kuna wabunge walienda kutetea wananchi kipindi cha corona nkawafukuza kisa mm ni mwenyekiti
Mkuu umesahau comment yako Miguna alipokuwa anasukumwa apande pipa?Nashauri Kenya ijiondoe kwenye jumuiya ya Africa Mashariki
Kwani haya si yaliisha baada ya kushikana mkono ?Mkuu umesahau comment yako Miguna alipokuwa anasukumwa apande pipa?....
"nitakuwa waziri mkuu ndani ya Masaa 72 Yajayo" Mr Faru John.Hivi kumbe bongo nako ulifanyika uchaguzi !
Laiti ungejua watakuja kushikana mkono.Kwani haya sivyaliisha baada ya kushikana mkono ?
kama bado unadhani Tanzania ulifanyika uchaguzi basi unapaswa kupimwa akili ."nitakuwa waziri mkuu ndani ya Masaa 72 Yajayo" Mr Faru John.
Basi haina budi kuhitimisha kuwa Kama Tanzania hapakuwa na Uchaguzi Basi huyo jamaa aliyesema hayo maneno alikuwa anaota ndoto mbaya Sana.
Nimemsikia Prof. Kabudi akiwabwekea wafadhili, eti wasiingilie mambo ya ndani ya nchi. Anasahau kuwa hata kutoa msaada au kuchangia bajeti yetu ni kuingilia mambo yetu ya ndani ya nchi. Hatuwezi kufurahia pesa zao za covid halafu tuchukie wakiingilia mambo yetu ya ndani. Kama unakataa basi kataa vyote tangu mwanzo.Tatizo sio dikteta tatizo ni chawa, wapambe, kupe wanufaika hili ni kundi lililonyuma ya dikteta ambao kula yao shibe yao utegemea uwepo wa dikteta so uhofia wakimuondoa ataingia mwingine atakuja na system yake hivyo watakosa jinsi ya kwenda chooni hili genge huwa ni invisible haliangalii maslai ya Jamii hata Kama Jamii inakufa kwa utapiamlo, au kuuliwa maadamu wao wapo jikoni awapigi kelele maadamu wanashida. Tofauti ya blacks na white hakuna mwafrika anaeweza acha maslai yake binafsi kwa faida ya jamii thus ni nadra Sana kwa mwafrika kujiuzuru ( kuacha shibe) tofauti na wenzetu wao Jamii kwanza thus wako radhi kuacha maslai binafsi kwa ajili ya Jamii. Mswahili anaponufaika katu hawezi piga kelele. Thus huwezi sikia kina kange, musiba, Bashite, nkamia, nk baada shibe yao kutoweka huwezi wasikia wakiendelea hata kutoa tu clip clip twa kusifu na kuabudu sababu si wanufaika Hadi watakapokumbukwa utasikia wakishindana kuimba nyimbo za tenzi za rohoni. Aliyemroga mwafrika alishakufa
Lugha kama hizi za afadhali ya mkoloni zilisikika pia kule Libya, Iraq, Bolivia, Sudan, Zimbabwe, Syria, na kwengineko ambako wazungu walitumia wananchi wenye maoni kama hayo kujipenyeza ndani ya nchi hizo.Ma- white watarudi maana watu wameanza kulinganisha utawala wa wazungu na utawala wa weusi, na kuonekana hakuna tofauti. Wengine wanasema tena ni afadhali kidogo wazungu.
Hili linawapa urahisi wazungu kurudi kuzitawala tena nchi za Afrika.
Wakati Kenya ndo hovyooo kabisaa. Siku Kenya ikijitoa EAC aliyehusika kama ni Rais au Waziri Wakenya watamtandika fimbo maana kwa EAC nchi yenye njaa kubwa ni Kenya kutokana na umiliki wa ardhi kumilikiwa na makabaila/Mabwenyenye na Wananchi wa kawaida hawana maeneo.Nashauri Kenya ijiondoe kwenye jumuiya ya Africa Mashariki
Unaongelea hawa peasantsWakati Kenya ndo hovyooo kabisaa. Siku Kenya ikijitoa EAC aliyehusika kama ni Rais au Waziri Wakenya watamtandika fimbo maana kwa EAC nchi yenye njaa kubwa ni Kenya kutokana na umiliki wa ardhi kumilikiwa na makabaila/Mabwenyenye na Wananchi wa kawaida hawana maeneo. Kimbilio lao ni Tanzania.
Tanzania ni Mlezi wa Watoto wote wa Afrika Mashariki na kati because it's blessed land
una umri gani?Wakati Kenya ndo hovyooo kabisaa. Siku Kenya ikijitoa EAC aliyehusika kama ni Rais au Waziri Wakenya watamtandika fimbo maana kwa EAC nchi yenye njaa kubwa ni Kenya kutokana na umiliki wa ardhi kumilikiwa na makabaila/Mabwenyenye na Wananchi wa kawaida hawana maeneo. Kimbilio lao ni Tanzania.
Tanzania ni Mlezi wa Watoto wote wa Afrika Mashariki na kati because it's blessed land