Afrika Mashariki inarudi nyuma kidemokrasia

Afrika Mashariki inarudi nyuma kidemokrasia

Kwamba uongozi ni sisi tu, wengine hawafai wataharibu!
Ni mpaka tutakapo vuka hicho kizingiti ndiyo tutauona mwangaza. Mawazo hayo anayo Trump pia. Haamini kama Democrats wanastahili kuiongoza marekani
 
Lugha kama hizi za afadhali ya mkoloni zilisikika pia kule Libya, Iraq, Bolivia, Sudan, Zimbabwe, Syria, na kwengineko ambako wazungu walitumia wananchi wenye maoni kama hayo kujipenyeza ndani ya nchi hizo.

Gaddafi aliifanyia mengi sana Libya na walibya lakini aliambulia kile alichoambulia, Syria ni magofu matupu, vurugu zimekula flyovers, Barabara, viwanda, ndege na madaraja na majengo mazurimazuri yote.
Binadamu ana hulka ya kupenda kuwa huru. Ukimminya sana hata umpe chakula kitamu mamna gani, atakuona hufai.

Huu ni ukweli ambao baadhi ya watu kwasababu hawawezi guswa na hali ambayo wanannchi huilalamikia wanaona ni maisha sahihi.

Lakini kama viongozi ni lazima mtathmini yale mnnayoyasikia, kwasababu hakuna furaha kwenye kutesa watu wako mwenyewe na siku zote matokeo yake ni mabaya kama kwenye nchi ulizozitaja hapo juu.

Kwani wakenya wamewezaje hata sisi tutake kumuiga kagame?
 
kama bado unadhani Tanzania ulifanyika uchaguzi basi unapaswa kupimwa akili .
Kaeni hivyo hivyo sindano ya dawa iwaingie vizuri.

Viongozi wako Wakubwa wamekukimbia wapo beach za ulaya wanakula maisha wakati huo wewe ukiendelea kulialia hapa Jf.

Narudia kusema Tena pole sana mkuu tunajua unapitia katika kipindi kigumu Sana maana maumivu ya kutelekezwa hakuna asie yajua.
 
Binadamu ana hulka ya kupenda kuwa huru. Ukimminya sana hata umpe chakula kitamu mamna gani, atakuona hufai.
Huu ni ukweli ambao baadhi ya watu kwasababu hawawezi guswa na hali ambayo wanannchi huilalamikia wanaona ni maisha sahihi.
Lakini kama viongozi ni lazima mtathmini yale mnnayoyasikia, kwasababu hakuna furaha kwenye kutesa watu wako mwenyewe na siku zote matokeo yake ni mabaya kama kwenye nchi ulizozitaja hapo juu.

Kwani wakenya wamewezaje hata sisi tutake kumuiga kagame?
Hakuna MTU duniani ambae atamwaga damu za watu wake akanusurika na laana. Laana linaweza likamponya yeye na likatua juu ya vichwa vya watoto na wajukuu wake.
 
Kaeni hivyo hivyo sindano ya dawa iwaingie vizuri.

Viongozi wako Wakubwa wamekukimbia wapo beach za ulaya wanakula maisha wakati huo wewe ukiendelea kulialia hapa Jf.

Narudia kusema Tena pole sana mkuu tunajua unapitia katika kipindi kigumu Sana maana maumivu ya kutelekezwa hakuna asie yajua.
Museven anaona eti ni sawa vijana wadogo waganda kindakindaki zaidi ya 40 wafe ili yeye Mzee wa miaka 80 aendelee kusalia madarakani. Tukishakuwa na vision kama hii sioni mwanga mbele ukiisogelea Africa. Hata hayo maendeleo madogo yaliyopatikana ya barabara na madaraja yako hatarini kuharibiwa na vurugu.
 
Simply... we are not civilized
Polisi wetu hawana muda wa kufikiria juu ya uhai wa waafrika wenzao linapokuja suala la vyama vya siasa vya upinzani. Bila kujali umri, jinsia, dini wala elimu ukiwa mpinzani unaweza kupoteza uhai wako tarehe na muda wowote, kitu ambacho kilikuwa cha kawaida sana hata kwa wakoloni, tena inawezakusema hata mkoloni akawa na ahueni kidogo, maana hakuwadhuru akina nyerere, Obote, Kenyatta, Mandela na wengine hadi tukapata uhuru kutoka kwao. Ilikuwa rahisi kwa mwafrika kuchukuwa utawala wa dola kutoka kwa wakoloni kuliko mwafrika kuchua uongozi wa dola kutoka kwa watawala wa kiafrika.
 
Ma- white watarudi maana watu wameanza kulinganisha utawala wa wazungu na utawala wa weusi, na kuonekana hakuna tofauti. Wengine wanasema tena ni afadhali kidogo wazungu.

Hili linawapa urahisi wazungu kurudi kuzitawala tena nchi za Afrika.

wachukulie tu kama wananwake walio kwenye sku zao hao, ndo maaana waliitisha maandamano wakabaki wenyewe barabaran!
 
Askari hawaoni tabu kumuua Raia mwenzao ambae hana silaha mwenye mawazo tofauti na watawala. Hiyo imegeuka kuwa fasheni yetu sasa Afrika Mashariki...
Tena hii sii kwa kasi ya kawaida ila kwa kasi ya 6G.
 
wachukulie tu kama wananwake walio kwenye sku zao hao, ndo maaana waliitisha maandamano wakabaki wenyewe barabaran!
Mmmh!! Walibaki wwnyewe barabarani au walihofia maisha yao. Mitandao ya mawasiliano ililemazwa yote wajanja wachache wakabakia na VPN.
 
Mmmh!! Walibaki wwnyewe barabarani au walihofia maisha yao. Mitandao ya mawasiliano ililemazwa yote wajanja wachache wakabakia na VPN.

and that concludes everything, movement ya kitoto hio! ccm wanafanya movement ya kuwapa nchi za afrika kupata uhuru kutoka wakoloni alafu wako tayar kwa lolote, sasa hawa movement wanafanya ya kitoto namna hii
 
Actually you cannot argue with many Tanzanians these days because majority who are benefiting from the system are not logical any more!
 
Ukiona nchi inarudi nyuma kidemokrasia unue inapiga hatua kubwa kimaendeleo kwani hiyo demokrasia ni pana na ni njia ya mataifa makubwa kuyadhibiti mataifa madogo.
Askari hawaoni tabu kumuua Raia mwenzao ambae hana silaha mwenye mawazo tofauti na watawala. Hiyo imegeuka kuwa fasheni yetu sasa Afrika Mashariki...
 
Askari hawaoni tabu kumuua Raia mwenzao ambae hana silaha mwenye mawazo tofauti na watawala. Hiyo imegeuka kuwa fasheni yetu sasa Afrika Mashariki...
Kuna kipengere muhimu sana kwenye katiba yetu hakipo , wagombea urais wote wawe wanapimwa akili kabla ya kuruhusiwa kugombea . Hapo ndipo tutaepukana na wagonjwa wa bipolar disorder .
 
My friend,you have got a frozen brain. Your thinking capacity is very low.

kama hio ndo low thinking capacity but makes me enjoy life then i am proud of it, lets see what you can achieve with your intelligent brain
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom