Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,400
- 5,003
Dr wa Manesi
Kichapo cha mama
Kichapo cha mama
SA alizidiwa Kila kitu...Achana na mapungufu yote ila mpira anaoukanyaga SA mexico hawez...
wewe wapambe mexico na ukitaka kaishi guadarajala ila leo kazi wataiona
Comment ya jamaa ilinishangaza sana kabla ya mechi.SA alizidiwa Kila kitu...
Mbona hukunikataa jana ileile mkuu?Comment ya jamaa ilinishangaza sana kabla ya mechi.
wewe football discussion usiwe unachangia.Achana na mapungufu yote ila mpira anaoukanyaga SA mexico hawez...
wewe wapambe mexico na ukitaka kaishi guadarajala ila leo kazi wataiona
Comment yangu ndo imekufanya urudi ku reply leo,me co mwoga wa kuamini ninachokijuawewe football discussion usiwe unachangia.
Siku hitaji mabishano, maana ni jambo la kushangaza tu.Mbona hukunikataa jana ileile mkuu?
kuhusu kutokuwa muoga, nimeamini.Comment yangu ndo imekufanya urudi ku reply leo,me co mwoga wa kuamini ninachokijua
Maisha ndo haya haya! Tukitoka kwenye kupambania haki zetu tunajiliwaza na soka!! Hapo nguvu ya kupambania haki na kupinga udhalimu inakuwa endelevu. Vinginevyo tutaishia kwenye presha na vidonda vya tumbo! Soka ni muhimu!wewe ni mtu mzima unaweza kuamua kipi cha kufanya.
kwa kuongezea tu Wakati tabaka tawala likipitisha sheria ngumu, mikataba mibovu, au kupandisha kodi, jamii inakuwa bize kujadili nani kashinda mechi, nani kanunuliwa, au kadi nyekundu iliyotolewa kimakosa. Hasira na nguvu za wananchi zinasukumwa kwenye michezo badala ya kuelekezwa kwenye uwajibikaji wa viongozi.
Wewe utakuwa Abdul bila shaka! Unafanya kuuwa mtu ni jambo jepesi tu! Yaani kwa kosa la kuzamia kifo kinakuwa halali si ndiyo!Waliokuja kutafta msaada wa ukombozi ni viongozi wao,na hawakuja kuloea huku,walikuja na kurudi kwao,sasa kwann sisi tunakuwa vinga'nganizi kwenye nchi yao? Na hata hao waliokwenda huko,wengi ni wazamiaji hawakufuata sheria,leo hii unataka waafrika kusini wafuate sheria kwa kuwaondoa? Waondoke kama walivyokuja kwa kuzamia.
Kwa hiyo mtu asipoelewa kifo ni halali yake au? Wewe hapo unaelewa mambo yote? Kwa hiyo kwa kutokuelewa kwako kwa baadhi ya mambo, uko hai kwa makosa maana ilibidi uuawe! Vipi hapo?Ulitaka wafsnysje kama wstu hawaelewi
Hapo wana silaha zao za jadi mapanga, upinde, fimbo nk wakiwawinda waafrika wenzao wawatimue na kuwaua baadhi! Kisa: eti wanachukua kazi zao. Si wangeiomba serikali yao itoe tangazo la kuwataka waafrika wote watoke afrika ya kusini ndani ya masaa kadhaa badala ya kuwavamia na kuwashambulia kinyama hivyo!Hawa ndo walitegemea Afrika iwaunge mkono:
View attachment 3606147
NyokooAchana na mapungufu yote ila mpira anaoukanyaga SA mexico hawez...
wewe wapambe mexico na ukitaka kaishi guadarajala ila leo kazi wataiona
Sbdul ndio nani? Alsfu kwann unatunga uongo kama shangingi la kike?Wewe utakuwa Abdul bila shaka! Unafanya kuuwa mtu ni jambo jepesi tu! Yaani kwa kosa la kuzamia kifo kinakuwa halali si ndiyo!
Hawa wazamiaji wanapoenda SA,hukaba,na kuuwa na kuwanyanganya wenyeji vitu,sasa wao wakijibu ww unaumia nn?Kwa hiyo mtu asipoelewa kifo ni halali yake au? Wewe hapo unaelewa mambo yote? Kwa hiyo kwa kutokuelewa kwako kwa baadhi ya mambo, uko hai kwa makosa maana ilibidi uuawe! Vipi hapo?