MAWEED
Platinum Member
- Oct 11, 2016
- 4,572
- 16,180
Mexico umemuna lini akicheza mpira au unaleta majuaji yako ya chatgpt.Huyo SA ana mpira gani na akina Mokoena wake? Au unafikiri hatukumuona Afcon pale Morocco?
Mexico umemuna lini akicheza mpira au unaleta majuaji yako ya chatgpt.Huyo SA ana mpira gani na akina Mokoena wake? Au unafikiri hatukumuona Afcon pale Morocco?
wewe ni mtu mzima unaweza kuamua kipi cha kufanya.Kwahiyo wewe unashauri nini kifanyike Mkuu?
Kama huwa huangalii mechi za America basi kausha. Ila SA anachapika leo.Mexico umemuna lini akicheza mpira au unaleta majuaji yako ya chatgpt.
ni kweli mkuu.Hata tuki focus, hatuna uwezo wa kupambana na watawala.
Last time y'all tried, Wadogo zetu wa kwenye foolish age wengi sana walipoteza maisha.
Let us enjoy our adulthood in peace, turidhike na hiki kidogo tunachopata, waiting for our D-day.
Mkuu maisha hayapo hivyo,wewe ni mtu mzima unaweza kuamua kipi cha kufanya.
kwa kuongezea tu Wakati tabaka tawala likipitisha sheria ngumu, mikataba mibovu, au kupandisha kodi, jamii inakuwa bize kujadili nani kashinda mechi, nani kanunuliwa, au kadi nyekundu iliyotolewa kimakosa. Hasira na nguvu za wananchi zinasukumwa kwenye michezo badala ya kuelekezwa kwenye uwajibikaji wa viongozi.
Mexico wagumu sana mkuuAchana na mapungufu yote ila mpira anaoukanyaga SA mexico hawez...
wewe wapambe mexico na ukitaka kaishi guadarajala ila leo kazi wataiona
Wagumu nakubali lakn hii mechi SA sio underdogMexico wagumu sana mkuu
Ok ngoja tusubiri gemu Mexico hata mechi ya hapa 2010 walishambulia sana kama unakumbuka mechi vizuri walitoka 1:1Wagumu nakubali lakn hii mechi SA sio underdog
South Africa wapo vizuri,hii naungana na weweWagumu nakubali lakn hii mechi SA sio underdog
Uwajibikaji ni mindset brother, its not about rules and regulations.wewe ni mtu mzima unaweza kuamua kipi cha kufanya.
kwa kuongezea tu Wakati tabaka tawala likipitisha sheria ngumu, mikataba mibovu, au kupandisha kodi, jamii inakuwa bize kujadili nani kashinda mechi, nani kanunuliwa, au kadi nyekundu iliyotolewa kimakosa. Hasira na nguvu za wananchi zinasukumwa kwenye michezo badala ya kuelekezwa kwenye uwajibikaji wa viongozi.
Go MEXICO GoooooooSouth Africa wapo vizuri,hii naungana na wewe
Ila tuna simama na team Mexico.
Its a trending discussion allover Africa past these two days, SA are on their own in this, washenzi sana hawa.
We're goin' goin 🔥🔥🔥Go MEXICO Gooooooo
sahihi lakini wengine hawasafishiki, mfano Trump, World cup hii yeye na nchi yake wana host lakini Dunia nzima tunasimama nyuma ya Iran in football wise sababu hatuhitaji politics kabisa kwenye maswala ya football. Nadhani Iran inaweza kuwa team pendwa sana kwa kitu ambacho Trump anawafanyia.ni kweli mkuu.
Watawala wengi duniani kote—kuanzia madikteta wa zamani hadi serikali za kidemokrasia za sasa—wamekuwa wakifadhili, kujipendekeza, au kutumia matukio makubwa ya soka (kama Kombe la Dunia au ligi za ndani) ili kusafisha taswira zao na kutuliza dhoruba za kisiasa.
upo sahihi kabisa kiongozi wangusahihi lakini wengine hawasafishiki, mfano Trump, World cup hii yeye na nchi yake wana host lakini Dunia nzima tunasimama nyuma ya Iran in football wise sababu hatuhitaji politics kabisa kwenye maswala ya football. Nadhani Iran inaweza kuwa team pendwa sana kwa kitu ambacho Trump anawafanyia.
Ukiangalia kwa umakini, sheria, kanuni, na katiba ni makaratasi tu; hazina uzima ndani yake zenyewe. Kama kiongozi hana ile mindset (mtazamo wa ndani) wa kutumikia watu na kuwa na hofu ya kushindwa kuwajibika, atatafuta kila namna ya kupenya katikati ya hizo sheria au atazipuuza kabisa. Huwezi kuongoza kwa ufanisi kwa kutumia "fimbo ya sheria" pekee kama ndani ya moyo wa kiongozi hakuna uzalendo au utu.Uwajibikaji ni mindset brother, its not about rules and regulations.
Unadhani mwananchi wa kawaida nawezaje ku enforce uwajibikaji kama its not on the leaders mindset at all?
All day discussion on mabaya ya viongozi as umeyataja hapo juu, yanasaidia nini on the long run?