Afrika Kusini niijuavyo mimi

Kama bado yupo hai
 
Hilo la ukahaba ni uzushi mkubwa. SA wenyewe wameridhia ushoga, afu wanyoshee kidole wengine!! Suala la drugs kwani hawana vyombo vya usalama? Mbona wageni kibao hukamatwa China lakini hawafukuzi wahamiaji? Hizo ni excuses tu, ukweli ni zaidi ya hilo.

Unajua kuwa 13% ya wasauzi ni weupe na ndio wameshika 85% ya uchumi? Hawa washenzi wameshindwa kuelewa adui yao wa kweli ni yupi, badala yake wameanza kutuhumu kila mtu. Wakimaliza wahamiaji watakuja wao kwa wao, wenye nacho na wasio nacho. Hii ni kwa sababu wameshajijengea mtazamo wa kulaumu wengine kwa kushindwa kwao.

Uchumi wa Zimbabwe ulimilikiwa na 10% ambao walikuwa walowezi weupe, nionyeshe ni kwa vipi hii iko tofauti na SA. Huu ni uhuru wa bendera, tofauti pekee ni namna walivyoamua kukabili hii hali. Zimbabwe walilaumu wazungu, SA wanalaumu wahamiaji. Zimbabwe walililia kumiliki ardhi, SA wanalilia kuajiriwa kama vibarua,kwani kazi nzuri za ujuzi naamini kuwa zinashikwa na wasauzi wenyewe.
 
Duh nami nimekumbuka nimeanzia mbali sana kikazi. Sasa enzi hizo ndiyo nilikuwa kuleee kama junior staff hahaha, unanielewa.
Nimekupata vema hasa uliponitajia doctor... Nitakutafuta... [emoji3][emoji3][emoji3]tuna mengi ya kushare
 
Mungu wangu
 
Duh aisee haya maisha.....
 
Dah huo uzi umenivutia zaidi ngoja niusabusiklaibu niko interested sana na mambo ya Budhism hadi huku mtaani wananiita Mbudha[emoji5][emoji5]
 
Samahani mshana jr kwa swali hili, hv una miaka mingapi? Yaan naona kwenye kila jambo una experience
 
Mungu akupe maisha marefu. Una vingi wewe mtu vya kutusimulia wadogo zako
 
Pole sana,
Ila serikali ililala sana,hawa watu wa chini wanatakiwa kusaidiwa,lazima mipango ya muda mrefu iwekwe.
Na hili swala la kuchukia wahamiaji,halipo SA tu.
Tumeona "white suplimist" huko ulaya na USA,wanachowafanyia weusi.
Swali la kujiuliza,kwanini wahamiaji wanakuwa wengi wanaomiminika SA?wengi wao wanatafuta ajira!huko kwao hazipo!Zambia,Zimbabwe!msumbiji.
SA inabidi idhibiti wahamiaji wanaosaka ajira!hata kama SA uchumi ni mzuri,hauwezi kusuport Africa nzima.
Hebu fikiria nusu ya wakenya kama milioni 25,wakihamia Bongo!itakuwaje,wanataka ajira!makazi! Chakula!
Hari itakuwa mbaya sana.
Viongozi wa kisiasa,wajenge uchumi wa nchi zao,ili RAIA wasiwe na sababu ya kukimbia.
Wahamiaji bora,ni wale wanaokuja kuwekeza.
Hebu fikiria ukiwa na watu kama Dangote,Bakhresa,Kama mia hivi!wote waje SA kuwekeza,kuna mwenyeji ataleta kelele!
Lakini una watu kama laki hivi,wanapiga mishe za uber,maduka ya rejareja,walinzi,madereva!hawa hawaleti kitu,wanachukua kitu,lazima mwenyeji atamind tu!
 
R. I. P mwanangu njugu rado
R. I. P ndugu Ali mpemba
R. I. P ndugu makavii
R. I. P mku wetu Rama wa mwanza
R. I. P kaka mkubwa wa zenji
Na wengi ambao nimewasahau, lkn tunasema kama mabaharia tusostushwa na mawimbi wa baharini mapambano bdo yanaendelea haturudi nyuma
 
In deed you were left to tell

Weusi SA hawaitambui historia yao wamejawa na visasi bila kutambua kujikimu kwao ni juhudi zao sio kwa njia ya kunung'unika tuuuuuu
Hawa watu wavivu sana
Biashara ya sembe imeiharibu sana Hii nchi

Natumaini nightmares zitakuwa zimeanza kupotea pole sana kwa majaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…