Afrika Kusini ni sawa na msemo “samaki mkunje angali mbichi”

Afrika Kusini ni sawa na msemo “samaki mkunje angali mbichi”

Nchi ya ajabu sana, utafikiri hakuna polisi. Uharibifu wa Mali uliofanyika ni mkubwa sana
Lakini tuangalie haya mambo kwa upana wake,mimi nadhani nchi ya ajabu ni ile ambayo viongozi wake hawawezi kushtakiwa pindi watokapo madarakani,eti wamewekewa Kinga,hii sheria inafaa kutumika kwenye serikali ya kwenye movie ya "Cyborg" .
 
Dawa hapo ni kumwachia zuma baasi, Ramaphosa anacheza mchezo hatari sana kujaribu ku underestimate nguvu ya zuma miongoni mwa jamii kubwa ya wazawa hasa kabila lake la wazulu, sasa aendelee kuwafurahisha makaburu ndo atajua hajui...
Kwa hiyo Ramaposa angeenda kuiambia mahakama imwachie Zuma hata kama aliiba!??
Hizo ndio siasa za kipumbavu za kiafrika!!!ulaya marekani wizi anafungwa Ila Afrika Rais aliye madarakan anamtetea kwa kuwa ni chama kimoja!!! Poor you
 
Japo vyombo vya ulinzi Tanzania viko harsh, lakini viko effective sana kudeal na mambo kama haya. Ujinga kama huo hauwezi kutokea Tz.
Vyombo vyetu havijakutana na watu waliochanganyikiwa ndugu !!! Wanakutana na watu wasio wala na makosa mfano wapinzani katika mikutano yao ya ndani ndio maana unaviona vipi fiti !!! Ila wakikutana na vidume mbona ni wachumba tuuu !!!
 
Vyombo vyetu havijakutana na watu waliochanganyikiwa ndugu !!! Wanakutana na watu wasio wala na makosa mfano wapinzani katika mikutano yao ya ndani ndio maana unaviona vipi fiti !!! Ila wakikutana na vidume mbona ni wachumba tuuu !!!
Hapa shida siyo ununda. South nguvu ya vyombo imedhibitiwa sana. Huku wanatumia risasi za moto. Kifo njenje.
 
Kuna clip polisi wanaiba vitu kwenye hizi vurugu...sauzi ni ushenzini,kuna jamaa wapo kule wanakwambia kuna mauaji ya madereva daladala wanauana kisa wivu eti mmoja akiingiza pesa kuliko mwenzake hukumu ni kumuua..
Jamaa hawana dini kabisa hawajui zambi ni kitu gani kweli bongo ni amani.
 
Kwa hiyo Ramaposa angeenda kuiambia mahakama imwachie Zuma hata kama aliiba!??
Hizo ndio siasa za kipumbavu za kiafrika!!!ulaya marekani wizi anafungwa Ila Afrika Rais aliye madarakan anamtetea kwa kuwa ni chama kimoja!!! Poor you
Apambane sasa, nani kamzuia......mbona anaanza kulialia...
 
Kuna pahala nimesoma kuwa Ramap kanyoosha mikono kwa kinachoendelea, kakubali kumuachia Zuma baada ya siku 3
Hana namna mzee, unaondoa kisingizio ili upambane na uhalifu......lakini utakuta kuna mburula humu inajaribu kumjaza upepo Ramaphosa eti mahakama ipo huru.
 
mimi namkubali sana Zuma. kuna upotoshaji mwingi kuhusu huyu mzee.
Zuma alikuwa mpambanaji dhidi ya serikali ya makaburu kipindi cha ubaguzi wa rangi, ni populist leader na kiongozi wa kimila kwenye kabila lake la wazulu, hajapitia kwenye mfumo rasmi wa elimu.......mtu kama huyo Ramaphosa ndo anaenda kupambana naye halafu asitegemee backlash kutoka kwa wazawa ambao waliweza kumwamini kuwa kiongozi wao ingawaje hakuwa na elimu rasmi.......matatizo mengine ni ya kujitafutia bila sababu zozote za msingi.
 
Nchi ya Afrika Kusini huwezi kusema ni nchi iliyo na usalama asilimia 100.

Mateso waliyopata kwao,mifumo mibovu iliyojengwa ndio inafanya kama msemo wa kichwa cha habari.

Nimebahatika kuishi kule na kugundua mambo mbalimbali ambayo kama imengua Tanzania basi IGP wetu angechoka kila siku kutangaza habari za matukio.

Tokea kuwekwa kizuizini Rais Mstaafu Zuma yania hata unaweza kujiuliza hawa watu vyombo vyao vya ulinzi vina msaada gani!

View attachment 1851396
View attachment 1851397
View attachment 1851398
View attachment 1851399
View attachment 1851400
View attachment 1851401
View attachment 1851402
View attachment 1851403
View attachment 1851404
Hivi huko polisi na jeshi wamesidiwa au inakuaje wanashindwa kudhibiti uharibifu na uporaji kiasi hiki?
 
Du! Yaan. Nchi ambayo nilikua naiona Kam iwe ndo nchi ya kuigwa inaujinga namna hi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo sio nchi haina tofauti na Nigeria,Colombia,Mexico na Brazil..nchi zilizoharibikiwa,failed shithole states
 
ufipa wanauliza je katiba yao si inwaruhusu
Na huko ndiko kwenye Katiba nzuri na bora mpaka hapo Katiba mpya imewasaidia nini?

Upumbavu hayo mambo ya Katiba,tupambane na umaskini kabla ya kupoteza mda na pesa kwenye mambo ya Katiba mpya ambayo haitabadili chochote kwenye maisha yetu ya kiuchumi
 
Japo vyombo vya ulinzi Tanzania viko harsh, lakini viko effective sana kudeal na mambo kama haya. Ujinga kama huo hauwezi kutokea Tz.
Hawa wanawalea Lea bila kuwasafisha..Lakini pia Yale magenge ya vibaka kama kule keko nk ndio huja kukua kuwa magenge ya wahalifu afu polisi wanawaona tuu
 
Back
Top Bottom