Afrika Kusini ni sawa na msemo “samaki mkunje angali mbichi”

Haya yote yamesababishwa na:

1.Kuwepo kwa uongozi mbovu katika nchi,yaani kuwa na Taifa ambalo uongozi umefeli kudeliver leadership.

2.Tofauti ya kipato na maisha kati ya Tajiri na masikini kuwa kubwa sana.

3.Ukosefu wa ajiri uliopitiliza.

4.Watu kuwa na chuki pamoja na vinyongo moyoni pasipo kujua hata adui yao ni nani.

5.Mgawanyo usio sahihi wa keki ya Taifa.Wachache ndiyo wanaofaidi cake hiyo.

6.Kukosekana kwa utawala wa sheria wa walio wengi,yaani sheria zimetungwa na wahuni wachache kwa manufaa yao.

7.Watu kuwa na matatizo ya akili yaliyochangiwa na umasikini wa kutupwa.

8.Taifa kuwa na watu wengi ambao hawana cha kupoteza kwa hiyo wapo tayari kwa lolote.

9.Watu kujua ukweli kuwa wananyonywa na system za uongozi pamoja na system za kugawa utajiri

10.Dalili za awali za failure state.

My take:
Mtu mweusi ni Kima aliechangamka🐒🐒🐒
Botha alikuwa sahahi.Mtu mweusi hawezi ongoza jamii.Afrika Jamii wananchi dhooufu hali chanzo uongozi mbovu.
 
Kwani walimwambia wanahitaji msaada wake aje kuwaongoza hadi atoke kwao uholanzi, acheni kebehi hizi hao watu wamekandamizwa sana hadi leo wapo kwenye utumwa wa kiuchumi, kaburu kakamata sekta zote za kiuchumi wao wamebaki kuwa manamba kwenye nchi yao wenyewe. Na ukute hizi social disorders ni matokeo ya huu ukandamizaji, ukute kaburu asingekuwepo wangekuwa wanajiongoza vizuri tu kama nchi nyingine za kiafrika.
 
Nchi gani ya kiafrica inajiongoza vizuri.
Tabia ya hao mazulu ni SAwa na ya black american.Maisha ya waafrika weusi yanafanana.Black waliishi maisha mazuri Sana kabla ya UHURU.Matatizo yalianza baada ya uhuru vita, umasikini, ukosefu wa ajira,kupinduana,wizi, ufisadi.
Kama tuna KILA kitu na tumeshindwa kusonga shida si ipo kwenye kujiongeza.Bado miaka 40 tutafika miaka 100 ya kujitawala tungali tunaomba misaada ya kujengewa vyoo vya shule.
 
Waache wajiongoze, nchi si yao.....haya ndo mambo ya kununua ugomvi usiokuhusu, huyo kaburu aliitwa?
 
Haya yote yamesababishwa na:

1.Kuwepo kwa uongozi mbovu katika nchi,yaani kuwa na Taifa ambalo uongozi umefeli kudeliver leadership.

2.Tofauti ya kipato na maisha kati ya Tajiri na masikini kuwa kubwa sana.

3.Ukosefu wa ajiri uliopitiliza.

4.Watu kuwa na chuki pamoja na vinyongo moyoni pasipo kujua hata adui yao ni nani.

5.Mgawanyo usio sahihi wa keki ya Taifa.Wachache ndiyo wanaofaidi cake hiyo.

6.Kukosekana kwa utawala wa sheria wa walio wengi,yaani sheria zimetungwa na wahuni wachache kwa manufaa yao.

7.Watu kuwa na matatizo ya akili yaliyochangiwa na umasikini wa kutupwa.

8.Taifa kuwa na watu wengi ambao hawana cha kupoteza kwa hiyo wapo tayari kwa lolote.

9.Watu kujua ukweli kuwa wananyonywa na system za uongozi pamoja na system za kugawa utajiri

10.Dalili za awali za failure state.

My take:
Mtu mweusi ni Kima aliechangamka[emoji205][emoji205][emoji205]
Kima aliechangamkaa[emoji14][emoji14][emoji14]
 
Dawa hapo ni kumwachia zuma baasi, Ramaphosa anacheza mchezo hatari sana kujaribu ku underestimate nguvu ya zuma miongoni mwa jamii kubwa ya wazawa hasa kabila lake la wazulu, sasa aendelee kuwafurahisha makaburu ndo atajua hajui...
Hapo Ramaphosa hahusiki ni mahakama ndio imemfunga. Yaani kule Rais na mahakama ni mihimili miwili tofauti kabisa, hawaingiliani kama bongoland.
 
Siyo serious kihivyo mkuu, hata mahakama zina ka siasa ndani yake hata kama kanaonekana kwa mbali, ndo maana unakutana na watu wenye kinga ya kutoshitakiwa.......yeye Ramaphosa atakuwa na ishu binafsi na zuma au anataka kuwafurahisha makaburu, kama atakomaa na hii ishu ataishia kutengeneza taifa lisilotabirika kisiasa na kiusalama...
 
South Africa bila wazungu ni sawa na Congo DRC.

South watu hasa masikini wanaishi kwa vinyongo, yaani huwa wanatafuta kijisababu tu wanalianzisha.

Kati ya vitu Nyerere alicheza kama Pele ni kuua Makabila, uchief na kupromote kiswahili.

Vitu ambavyo ni rahisi sana kutrigger watu waingie barabarani huwa ni dini na ukabila, ila kibongo bongo imekuwa ngumu sana.
Licha ya kua Tz inamapunguf flanflan ya kisiasa ila n nchi moja ya aman sana ukitaka kuthibitisha jaribu kumshambulia mtu yoyote bila sababu uone jins watu watakavyo ungana kumtetea bila hata kuulizana n dini gan au kabila gan
 
Back
Top Bottom