Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,750
- 37,405
Nchi ya Afrika Kusini huwezi kusema ni nchi iliyo na usalama asilimia 100.
Mateso waliyopata kwao,mifumo mibovu iliyojengwa ndio inafanya kama msemo wa kichwa cha habari.
Nimebahatika kuishi kule na kugundua mambo mbalimbali ambayo kama imengua Tanzania basi IGP wetu angechoka kila siku kutangaza habari za matukio.
Tokea kuwekwa kizuizini Rais Mstaafu Zuma yania hata unaweza kujiuliza hawa watu vyombo vyao vya ulinzi vina msaada gani!