Zambotti
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,961
- 3,592
Kwani unadhani hayo makelele yatabadilisha chochote. Wazungu ubaguzi hawajaanza jana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
White trailer park trash vs Black affluent middle class. Darasa la watoto 21, tatu tu ni Weusi. Hapo Whitey is trying to send a message watoto Weusi hawatakiwi. Wakome kujipendekeza kwa Wazungu.
Sio kanisani Mkuu. Ni tabia tu. Hakuna dini inayofundisha maovu.Tatizo la hawa viumbe hawana kauli nzuri, kuna mmoja hapo juu kanitusia mama yangu tusi baya sana. Hawa watu wa ajabu sana mkuu, cjui ndivyo wanafundishwa kule kanisani.
“Oh men! Behold, We have created you all out of a male and a female, and have made you into nations and tribes, so that you might come to know one another. Verily, the noblest of you in the sight of Allah is the one who is most deeply conscious of Him. Behold, Allah is All-Knowing, All-Aware” (Quran 49:13).Kwanini mungu alituumba rangi tofaut? Tatizo linaanzia hapo kabla ya kuwalaum wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili kama hizi ndio maisha zitamfanya mwafrika awe mtegemezi mpaka atakufa. Mzungu/mwarabu/mchina/mhindi wamewezaje ata mwafrika ashindwe?Wazungu wamekuja kuturahisishia Maisha hebu fikirieni leo Wasingekuja Afrika..sorry kwa kusema hivi tungekuwa tunatemba kwa miguu Dar hadi Mbeya
Ukweli huwa ni mchungu!..angalia Nigeria Wanamafuta sawa na Kuwait lakini Mnigeria utamkuta ukimbizini South AfrikaAkili kama hizi ndio maisha zitamfanya mwafrika awe mtegemezi mpaka atakufa. Mzungu/mwarabu/mchina/mhindi wamewezaje ata mwafrika ashindwe?
Hayo ni matokeo ya mentality ya Muafrika, Kusema kuwa bila Mzungu tusingekuwa na gari. Waafrika tunanyanyasana wenyewe kwa wenyewe. Ingekuwa tunapendana, nakuhakikishia, si mzungu, si mwarabu, si mhindi, si mchina, wangekuwa wanatupigia magoti.Ukweli huwa ni mchungu!..angalia Nigeria Wanamafuta sawa na Kuwait lakini Mnigeria utamkuta ukimbizini South Afrika
Wamefanya correction....wapuuzi tu
Sasa unatulaumu au unajilaumu au unalaumu...Ukweli ni Mchungu!..Sisi waafrika ndio jamii pekee ambayo utakuta Usiku kucha tunakesha Kurogana Kijiji kinaroga Kinawaroga Kijiji cha Jirani jirani anamroga Jirani mwenzake..Bara limejaaliwa kila aina ya natural resources, ardhi iliyojaa rutu