Ile miamba karibia kumi ya South Africa iko wapi?Aisee siyo kweli
Second, we made a determination to create two distinct lists: a) Africa, excluding South Africa, and b) South Africa. If we were not to have made this distinction, our Top 10 List would be dominated by South African universities, and would not be useful to those seeking a pan-African perspective. At the same time, we wish to acknowledge the strength of South Africa's many world-class universities, so we decided to dedicate a list that features just South African institutions.
Na mimi nilikuwa najiuliza swali hilohilo! Bado sijaziamini hizi takwimu mpaka nitakapoona vigezo vilivyopimwa.
Mhh...tumevi beat hata vya South Africa?? Wametumia vigezo gani?
Wapi university of cape town, maana kule 'duniani' ndo university wanayoikubali kwa afrika
Ile miamba karibia kumi ya South Africa iko wapi?Aisee siyo kweli
Uksiyo kweli hakuna kitu kama hicho naona mkuu unaota mchana kweupe
Soma hapa 'from source:
Uk
weli uko wapi? Unaposema kitu sio cha kweli inabidi kwanza uonyeshe uongo halafu wewe utuletee ukweli. Back to the topic kwanza mleta mada kachemka badala ya kuweka kwenye jukwaa la elimu anatuwekea kwenye jukwaa la stress i.e siasa. Mimi kwangu sio kama hizi ranking zinaakisi uhalisia wa maisha na ubora uliopo kwenye vyuo husika. UDSM ya sasa nadhani ina changamoto nyingi sana kuliko ilivyokuwa miaka ya 2000 kurudi nyuma. Pamoja na ujenzi wa miundo mbinu mpya kama vile kumbi za mihadhara, cafeteria, kituo cha wanafunzi na kuwa na idadi kubwa ya wahadhiri wenye sifa i.e wenye shahada za Uzamivu bado kuna changamoto kubwa sana. Wanafunzi wengi wanaotoka UDSM sasa hivi wanatoka patupu...kwa sababu ya staili iliyopo sasa ya madesa. Lecture inayopaswa kuwa ya saa 1 inatumia dakika 45, semina wanafunzi hawapati muda wa kutossha wa kujadiliana na kuelewa vizuri yale wanayofundishwa wakati wa mihadhara...kiufupi...bado tuna safari ndefu
Sasa imeeleweka...!METHODOLOGY
First, as with any similar list that determines which universities are best, Africa.com collected both quantitative and qualitative data to determine which universities in Africa would make our Top 10 List.
Second, we made a determination to create two distinct lists: a) Africa, excluding South Africa, and b) South Africa. If we were not to have made this distinction, our Top 10 List would be dominated by South African universities, and would not be useful to those seeking a pan-African perspective. At the same time, we wish to acknowledge the strength of South Africas many world-class universities, so we decided to dedicate a list that features just South African institutions.
Of course nakubaliana na wewe...matatizo yapo kwa kila Chuo...nilikuwa najaribu pia kutoa changamoto kwamba nbado tuna safari ndefu...Hili la Jukwaa husika nadhani linajijibu lenyewe baada ya mods kuhamishia huku jukwaa la elimuMkuu suala la elimu ni suala mtambuka , limo kwenye siasa na limo kwenye elimu. Kwa maana hiyo basi, kwenye hili jukwaa la siasa pia ni mahala pake na hakuna uchemfu wowote. Matatizo hayawezi kukosekana , haya hivyo vilivyokuwa ranked mwanzoni navyo vina matatizo vile vile.
Hivi havijulikani huko duniani....labda tuvishindanishe vyenyewe nani atakuwa juu...natania tu usinichape na jiwembona tumaini na mzumbe havipo jamani.
Jamani hacheni kujidanganya,i dont trust this list,kila watu huja na list yao,je ni kweli wanafanya research kabla ya kupublish na kama wangefanya research blv me udsm haistahili kuwa pale,nimesoma pale yani ilikuwa ni aibu tunakutana na watoto wa DIT wako full than us,afu tunajiita eti tuko best university in TANZANIA,Kule UDBS ndo usiseme watu siku za test wanaandaa mabomu usiku kucha,si nimeishi nao HALL 5 ROOM 1327 na HALL 2 ROOM 641,JAMANI UDSM UNALAZIMISHA KUKARIRI YANI U MIGHT NOT KNW THE REASONS BT UMEFANIKIWA KUKARIRI,ufundishaji wenyewe niwa kibabe yani ukiwa na akili kidogo then unadisco cz of hila za walimu jamani wale tunaomkumbuka T.O wa 2006 (ELIAS KIHOMBO) JAMAA ALIONDOLEWA HATUKUAMINI,HATA KAMA NAKULA MSHAHARA NOW COZ OF UDSM BT TRUST ME HAIPO ATA TOP 40 IN AFRICA (Sorry wanaudsm wenzangu mi sipendi UONGO wala SIFA AMBAZO HAZINIFAI NAONA LIST HIZI WANAZITOA JUST COZ YA UZEE WA CHUO NOT OTHERWISE)
HULAZIMISHWI KUKUBALI AU KUKATAAA.NAWASILISHA