Africa's 100 top universities 2012

Knowlegde for what? Elimu si ndio itakufanya uwe na maisha mazuri. Au unapenda kuwa profesa wa sifa. Kalaghabaho, Knowledge sio lazima UDSM hata Modern college inasaidia. Ngojeni mkimaliza mje uraiani na visifa vya mlimani mkipewa kazi mshindwe kufanya.
 
Sikujua kuwa kuna Kenyatta University na Jomo Kenyatta University. (Angalia kwenye African Universities namba 53 na 70)
 
Yaaaaani kairuki inaishinda muhimbili?, au muhimbili siyo registered/ enlisted?, na SUA je?
 
Yaaaaani kairuki inaishinda muhimbili?, au muhimbili siyo registered/ enlisted?, na SUA je?

hii kitu itakuwa imewekwa na mbongo naweza kumhusisha na wamiliki wa kairuki. Chuo hakina hata teaching hospital unambie kina ubora gani? Malecturer wa kuazima, kutakuwa na ubora?
 
hicho cha kwanza cha UCT yaani ninajuta kwanini sikwenda kusoma huko maana fees zao kwa raia wa tanzania ni sawa na wazawa wa southafrica ni rahisi kidogo hatulipi internationa fees kama nchi nyingine nilishangaa waliponitumia fees zao watu tunahangaika kwenda kwenye machuo ya gharama na huku tuna opportunity tulikuwa wala hatuijui duh,
 
According to a new ranking released by Africa.com, University of Dar es Salaam is the 6th best University in Africa. Cairo University is the still the best University in Africa.
See the top 10 best Universities in Africa below…

1. Cairo University – Egypt

2. American University in Cairo – Egypt

3. Mansoura University – Egypt

4. Makerere University – Uganda

5. University of Nairobi – Kenya

6. University of Dar es Salaam – Tanzania

7. University of Botswana – Botswana

8. University of Ghana – Ghana

9. University of Lagos – Nigeria

10.Ashesi University - Ghana
 
hahahahahahahahahahahhahahah you guys mwataka kuprove nn hapa jukwaani???
 
Mhh...tumevi beat hata vya South Africa?? Wametumia vigezo gani?
Na mimi nilikuwa najiuliza swali hilohilo! Bado sijaziamini hizi takwimu mpaka nitakapoona vigezo vilivyopimwa.
 
hiyo source itakuwa inatoka UK au USA maana wanapenda kutumpumbaza kumbe wengine wanapiga hatua kwa kwenda mbele tusilewe sifa tufanyeni research zaidi tutafanikisha sana na sikuja na dhana za uongo kama hizi may be kwa ubora wa ngono sawa
 
hapo wamechakachuwa tu.sio kweli.yaani ktk vyuo 10 bora visiwepo pretolia university,kwazuru natal university wala darban university?hapana jamani tusipotoshe watu namna hiyo
 
hiyo source itakuwa inatoka UK au USA maana wanapenda kutumpumbaza kumbe wengine wanapiga hatua kwa kwenda mbele tusilewe sifa tufanyeni research zaidi tutafanikisha sana na sikuja na dhana za uongo kama hizi may be kwa ubora wa ngono sawa

Waombe radhi wanafunzi wa UDSM mkuu, kwani pale wanafuata ngono?

 
Wapi university of cape town, maana kule 'duniani' ndo university wanayoikubali kwa afrika
 
Back
Top Bottom