Africa's 100 top universities 2012

Ungeorodhesha na criteria za ku rank hivyo vyuo ni zipi.Maana website nyingi zinatofautiana kwenye rank ya vyuo bora.
 
Naomba Kama Kuna Mwenyekujua Kwamba Ni Vigezo Gani Wanazingatia Kuona Kama Chuo Kina Ubora Gani Anieleze.udsm Oyeeeeeeeeeee,i Say Oyeeeeeee! Kama Ukipata Digr Chuo Kama Hiki Na Kahiruk Memorial Wewe Utakuwa Na Soko La Kimataifa Asilani. Pole Ye2 Kwa Kuwa Na Idadi Ndogo Ya Vyuo Bora Kulinganisha Na Egypt,algeria Na S.africa.pia 2lie Sana Vyuo Vye2 Kama Mzumbe Na Udom Kuonekana Vimefulia Kiasi Hcho!

wewe utaajiriwa wap na degree kmataifa hapo master inahusu hlo unalolsema n sawa na kat ya wa2 m1 kamalza kata 4m 4 na mwengne kamalza feza/malian lakn wate wamekutana form 5.
 
from what i knw nothing last forever...and when u go up then u should be ready to come down again...udsm is at the climax and we expect anything to happen there after...but the truth will always be there that udsm is the best but not the best of all(generally and not particulary)....

SUA hakipo?
 
hubert kairuki kwa vigezo vp ila ni kweli maana lectures wa kukodi wa Muhas wakienda huku wapole sana wakiwa chuoni kwao..kuwapa sana c wanafunzi wao..eti muhas ndo cream ya tanzania na unajuta ata kuwepo
 
hUKO URAIani hakuna best university kuna best pay. Study to earn money and be among forbes guys.
who told you studying gets u to the forbes list? most forbes listers are school drop outs....Boss......
 
Jamani hacheni kujidanganya,i dont trust this list,kila watu huja na list yao,je ni kweli wanafanya research kabla ya kupublish na kama wangefanya research blv me udsm haistahili kuwa pale,nimesoma pale yani ilikuwa ni aibu tunakutana na watoto wa DIT wako full than us,afu tunajiita eti tuko best university in TANZANIA,Kule UDBS ndo usiseme watu siku za test wanaandaa mabomu usiku kucha,si nimeishi nao HALL 5 ROOM 1327 na HALL 2 ROOM 641,JAMANI UDSM UNALAZIMISHA KUKARIRI YANI U MIGHT NOT KNW THE REASONS BT UMEFANIKIWA KUKARIRI,ufundishaji wenyewe niwa kibabe yani ukiwa na akili kidogo then unadisco cz of hila za walimu jamani wale tunaomkumbuka T.O wa 2006 (ELIAS KIHOMBO) JAMAA ALIONDOLEWA HATUKUAMINI,HATA KAMA NAKULA MSHAHARA NOW COZ OF UDSM BT TRUST ME HAIPO ATA TOP 40 IN AFRICA (Sorry wanaudsm wenzangu mi sipendi UONGO wala SIFA AMBAZO HAZINIFAI NAONA LIST HIZI WANAZITOA JUST COZ YA UZEE WA CHUO NOT OTHERWISE)
HULAZIMISHWI KUKUBALI AU KUKATAAA.NAWASILISHA
 
kuna jamaa walikuwa na wamekuwa na tabia ya kuponda UDSM kwa hili natumai wameona na watajitaid kuwa wakweli safari nyingine....UDSM oyeeee na nawapa hii wote waliomaliza na GOLDEN JUBILEE October 2011!
 
NAONA LIST HIZI WANAZITOA JUST COZ YA UZEE WA CHUO NOT OTHERWISE)
HULAZIMISHWI KUKUBALI AU KUKATAAA.NAWASILISHA[/QUOTE]

Kairuki na mzumbe ni kipi kikongwe mkuu??
 
ni kwel hata mimi nakubali lakin hatutaki ubora wa kwenye website tunataka ubora wa chuo katika maendeleo ya nchi na jamii kwa ujumla......

Hurbet kairuki imeingia afu muhimbili haijawekwa....
 
kinacho angaliwa ni uwezo wa kufanya research kimataifa na kitaifa, uhusiano wake na vyuo vingine kimataifa, knowledge itolewayo, mchango wake katika summits na conference mbali2 kimataifa na kitaifa, mchango wake katika kutoa ushauri katika summits na confrnce mbali2 kitaifa na kimataifa. pamoja na mambo ya academic. n.k
 
muhimbili haitambuliki kimataifa, ila inafahamika kuwa ni moja ya campus za UDSM
 
Jamani hacheni kujidanganya,i dont trust this list,kila watu huja na list yao,je ni kweli wanafanya research kabla ya kupublish na kama wangefanya research blv me udsm haistahili kuwa pale,nimesoma pale yani ilikuwa ni aibu tunakutana na watoto wa DIT wako full than us,afu tunajiita eti tuko best university in TANZANIA,Kule UDBS ndo usiseme watu siku za test wanaandaa mabomu usiku kucha,si nimeishi nao HALL 5 ROOM 1327 na HALL 2 ROOM 641,JAMANI UDSM UNALAZIMISHA KUKARIRI YANI U MIGHT NOT KNW THE REASONS BT UMEFANIKIWA KUKARIRI,ufundishaji wenyewe niwa kibabe yani ukiwa na akili kidogo then unadisco cz of hila za walimu jamani wale tunaomkumbuka T.O wa 2006 (ELIAS KIHOMBO) JAMAA ALIONDOLEWA HATUKUAMINI,HATA KAMA NAKULA MSHAHARA NOW COZ OF UDSM BT TRUST ME HAIPO ATA TOP 40 IN AFRICA (Sorry wanaudsm wenzangu mi sipendi UONGO wala SIFA AMBAZO HAZINIFAI NAONA LIST HIZI WANAZITOA JUST COZ YA UZEE WA CHUO NOT OTHERWISE)
HULAZIMISHWI KUKUBALI AU KUKATAAA.NAWASILISHA

siwezi bisha wa siwezi kukataa....ILA BORA WEWE UMENENA UKWELI....
 
kuna jamaa walikuwa na wamekuwa na tabia ya kuponda UDSM kwa hili natumai wameona na watajitaid kuwa wakweli safari nyingine....UDSM oyeeee na nawapa hii wote waliomaliza na GOLDEN JUBILEE October 2011!
mimi sina mengi kijana...refer hii mambo...
Jamani hacheni kujidanganya,i dont trust this list,kila watu huja na list yao,je ni kweli wanafanya research kabla ya kupublish na kama wangefanya research blv me udsm haistahili kuwa pale,nimesoma pale yani ilikuwa ni aibu tunakutana na watoto wa DIT wako full than us,afu tunajiita eti tuko best university in TANZANIA,Kule UDBS ndo usiseme watu siku za test wanaandaa mabomu usiku kucha,si nimeishi nao HALL 5 ROOM 1327 na HALL 2 ROOM 641,JAMANI UDSM UNALAZIMISHA KUKARIRI YANI U MIGHT NOT KNW THE REASONS BT UMEFANIKIWA KUKARIRI,ufundishaji wenyewe niwa kibabe yani ukiwa na akili kidogo then unadisco cz of hila za walimu jamani wale tunaomkumbuka T.O wa 2006 (ELIAS KIHOMBO) JAMAA ALIONDOLEWA HATUKUAMINI,HATA KAMA NAKULA MSHAHARA NOW COZ OF UDSM BT TRUST ME HAIPO ATA TOP 40 IN AFRICA (Sorry wanaudsm wenzangu mi sipendi UONGO wala SIFA AMBAZO HAZINIFAI NAONA LIST HIZI WANAZITOA JUST COZ YA UZEE WA CHUO NOT OTHERWISE)
HULAZIMISHWI KUKUBALI AU KUKATAAA.NAWASILISHA
 
south africa is the only country in southern sahara with better universities than UDSM.

tell me...why shouldn't i be a proud man, having collected all the my degrees from this amazing university?
 
Back
Top Bottom