Africans are "misplaced human beings" in this planet

Brilliant, absolute correct!!
Lakini ni kweli sisi Ndiyo tuko nyuma kuliko Wote. Asians wametuacha. Very far away, so you agree ? Korea Na Ghana walikuwa Sawa mwaka 1960. Singapore Na Tanganyika Na Thailand walikuwa Sawa mwaka 1961. Lee kuanye founder of Singapore was a classmate to Julius Nyerere at Edinburgh university. All were founding fathers of their countries.
The western media was brutal to all Asia and Africa, hawana utani. Media inavyo depict Asia Na coverage no Sawa kabisa lakini wankubali kuwa Asia has done a lot. Africans at least do what Asia has done by itself. Just try to be peaceful so that investors can come and invest.

Dictators yes Putin, Assaad number them! But in Africa you have all countries full of dictators.
 
Wapi Afrika?

India inaongoza kwa umaskini na omba omba.


Mashariki ya Kati kuna vita visivyoisha.
Putin ni mtu mweusi? Na yeye si dictator? Au Kim Jong Il..
India, Syria, Russia unasahahu kuwa hizo Ni nchi 3 Africa ni nchi 54.

Umaskini kwa vigezo vipi?
The poorest country in Asia is richer than Tanzania
 

Uko sahihi kabisa.....

Kitu ambacho sisi watu kinazidi kutudidimiza ni kuwa tumechelewa kujitambua na kujitoa kwenye utumwa kutoka ndani ya akili zetu......

Weusi wengi ni watumwa kwa watu weupe kutoka ndani ya mioyo yao....

Hao wote uliowa mention kama ulivyosema kuwa tulikuwa nao level moja lakini wakatuacha ni kutokana na wao kuwahi kujitambua.....

Kujitambua kunaenda mbali sana....kama vile kujiuliza wewe ni nani na unafanya nini...!!?? Utamaduni wako ni upi...!?? Nchi yako inahitaji nini ili kuendelea.....na ili ujitegemee unahitaji nini kama taifa......!!??

Hayo ni baadhi ya mambo waliyajua mapema na kuyafanyia kazi.....na matunda ndio hayo tunayoyaona leo.....huko mashariki ya mbali na kati.....,

Kikubwa kinachotuangamiza sisi wa Afrika ni uongozi mbovu wa watawala wasioku wa wazalendo na waroho wa madaraka......yaani mtawala yupo tayari kufanya jambo lolote ili tu aendelee kubaki madarakani.......
 
Kwa sababu mzungu, "Caucasian" inajumuisha Mwarabu, Mhindi, Mturuki na Mzungu kama tunavyomjua. Wote hao wana tabaka tofauti za maendeleo.
Asante ila hapo panazidi kuchanganya.Je Mzungu wa Africa kusini ni mwafirika au Caucasian?mtu wa misri,Morocco au Algerian ni mwafirika au Caucasian? Kwa mtizamo uliotoa Mzungu ni race.Je tunaweza mchanganua mwafirika kama ulivyomchanganua Mzungu?sina uhakika lakini labda tukienda ki genetic tunaweza mchanganua mwafirika ni nani?
 
Tuache maneno mengi tujadili huu mfano mdogo tu hapa:

Nchi za kiafrika tumezungukwa na mito,maziwa na vyanzo vingine vingi tu vya maji.Lakini jiulize uwezo wetu wa kumudu kutumia vyanzo hivi vya maji kwa kilimo cha umwagiliaji ukoje kulinganisha na watu katika mabara mengine?

Kwanini kila siku sisi tu ndo tunaolia njaa na ukame?Mbona wenzetu wanazalisha mpaka ziada kwa kutumia kilimo hikii cha umwagiliaji na kutusaidia sisi Waafrika?

Unahitaji ushahidi gani kusema mwafrika ana tatizo katika kumudu mazingira yake yake ili aweze ku-survive?

Kwanini Haiti(nchi ya watu weusi huko Amerika ya Kaskazini) ndio wanaokufa na kipindindupindu tu?
 
Uko Na very constructive argument!!! Excellent

Swali, Sasa kwa nini Subsaharan Africa irrespective of countries we are all poor. Dictatorial, bad governance, corrupt, violent and all sorts of issues.

Again collectively Asian countries and Latin American countries have advanced? Nigeria and Tanzania ni nchi tofauti lakini maendeleo Sawa Hakuna tofauti. Tanzania
Hakuna vita Afghanistan Na Syria Au Yemen kuna vita, mbona standard of living iko juu than majority subsaharan Africa? Kwetu amani, Au mafuriko zote Sawa.

Of course you have answered most!!
 

Kuna vitu sana huvifahamu kuhusu ulimwengu.....na bahati mbaya elimu yako ya darasani...ambayo mtaala wake umeandaliwa na mtu anayeamua ujifunze nini....ndio unazidi kudidimia shimoni.....

Lakini bado hujafika mbali huko shimoni ulipodondokea....bado una muda wa kupata elimu uliypokonywa na elimu hiyo itakufanya ufahamu mengi yaliyonyuma ya panzia na kukuacha ukistaajabu.....

MAMBO UNAVYOYAONA SIVYO YALIVYO....NA YALIVYO SI RAHISI KUYAONA.......

SAFISHA AKILI YAKO ILI UPATE.....ELIMU.....

Huwezi kuelewa namaanisha nini...!!?
 
Haaaaaaaa
Mzungu wa afrika kusini - Caucasian - Afrikaans Ndiyo wengi since 1632

North Africa Saudi, Iraq, Syria etc all other except Iran, Wanaitwa Arabs.

Iran Wanaitwa alien (Caucasians
Mwafrika ?
 
Great thinker
 
Fafanua hapa tukuelewa.

Mfano mwingine:

Hivi hata wanasayansi kama kina Newton,Galileo Galilei,Eisten,Faraday,na wengine wengi maarufu kuna hata mmoja mwenye asili ya Africa?

Alafu hata hawa Wamisri tunaowatajataja hapa wana rangi kama ya kwetu?
 

Tofauti kubwa iliyopo baina yetu na wao watu wa asia....na kupelekea kutofautiana na wao ni uzalendo........sisi watu weusi ukoloni ulitugawa sana hadi kupelekea kujiona tofauti hata ni jirani yako....na ndio maana huku afrika mtu akiwa kabila tofauti na kabila la mwenzake anamuona kama adui yake......

Mabara mengine ukoloni haukuwagawa sana kwa hiyo waliwaacha na life style yao na tamaduni zao....huku wao wakoloni wakibaki kama watawala tu....na hiyo iliwarahisishia hata harakati zao za kupigania uhuru wao.....kwani walikuwa na umoja wenye nguvu kama taifa........ukichanganya uzalendo walionao kwenye mataifa yao....ari ya kujitegemea.....ndio maana wakafika mbali kama tunavyoona leo....India inakuja kasi kwenye ulimwengu wa teknolojia.....huku China speed yake ya kiuchumi ikiwa haishikiki...( sijui sasa hivi rekodi zipoje).......

Sisi wa Afrika hiyo hali ya makundi mpaka leo bado unatuathiri....ndio maana mpaka leo mhutu haoni kama anastahili kuongozwa na mtusi......hali hii inapelekea kupotea kwa amani hivyo kuzolotesha shughuli za maendeleo.....kwa kuzaliwa na makundi ya waasi....yanayowafanya wananchi washindwe kufanya shughuli za maendeleo na kuishi kwa hofu.....katika hali kama hivyo ni ngumu kusonga mbele kama taifa.....

Pia waafrika mifumo ya elimu yetu ni mibovu sana inayomuandaa mwanafunzi kuwa tegemezi badala ya kujitegemea....

Elimu tuliyorithi kwa wakoloni inaatufunga kimawazo na kifikra....

Na mataifa yote yaliyotoka kwenye ukoloni na kupiga hatua kimaendeleo hili waliligundua mapema sana....na wakalifanyia kazi......sisi bado tunao ufahari kwa kuonyesha umahiri wa kuongea kingereza....wakati hatuna skills za maisha....
 
Fafanua hapa tukuelewa.

Mfano mwingine:

Hivi hata wanasayansi kama kina Newton,Galileo Galilei,Eisten,Faraday,na wengine wengi maarufu kuna hata mmoja mwenye asili ya Africa?

Alafu hata hawa Wamisri tunaowatajataja hapa wana rangi kama ya kwetu?

Ustaarabu wa mtu mweusi umeanzia mbali sana.....miaka mingi iliyopita....kwani hata ujio wa wakoloni uliwakuta wakiwa na mifumo yao kimaisha na uzalishaji......

Historia ya nyuma ya pazia inaonyesha wazi kuwa yale mapiramidi yamejengwa na watu weusi....zipo evidence kibao kusapoti hilo.....ujenzi ambao mpaka leo unawaacha mdomo wazi watu weupe....kwani michoro ya vitu mbali waivyovikuta humo ndani bado vinazidi kuwa shangaza.....inAsemekana kuwa mchoro wa injini ya roketi ulipatikana kule.......

Mifumo hii ya elimu tuliyorithishwa na wakoloni unatufanya tunakuwa wajinga na wapumbavu....inatufungia ndani ya box.....na ndio lengo la wazungu......
 
Chifu umeandika jambo la maana sana. Tatizo ni historia ya waafrika kuandikwa na wageni. Mababu zetu hawakuwa na tamaduni ya ku-account matukio, namna walivyoishi n.k. Well, tunaweza kujiuliza kwanini hawakufanya hivyo? Ni kitu gani kiliwazuia? N.k. Na hata sasa, wengi wetu hatuna historia ya ku-account matukio ya zamani kwa watoto wetu. Hata vijijini, vijana hawana tena muda wa kukaa na kuwasikiliza wazee. Inasikitisha sana.
Lakini mtoa mada katoa mada ya kufikirisha sana.
 
Yaani hata lugha unayoitumia nayo ni ya wale jamaa1
 
Brilliant, absolute correct!!
Lakini ni kweli sisi Ndiyo tuko nyuma kuliko Wote. Asians wametuacha. Very far away, so you agree ? Korea Na Ghana walikuwa Sawa mwaka 1960.
Korea Kaskazini na Korea Kusini walikuwa sawa mwaka 1960. Tofauti ni nini? US military.

Singapore Na Tanganyika Na Thailand walikuwa Sawa mwaka 1961. Lee kuanye founder of Singapore was a classmate to Julius Nyerere at Edinburgh university. All were founding fathers of their countries.
Ni kweli. Lakini hiyo ni sababu ya genes zao au policies zao? Hamna nchi yoyote ya Dunia ya Tatu iliyokumbatia ujamaa ambayo imefanya vizuri. Kama kuwa tu MAsia kunafanya nchi tajiri, kuna kuna nchi nyingi tu zinasota, Burma, Sri-Lanka, Bangladesh, Philippines,nk

Dictators yes Putin, Assaad number them! But in Africa you have all countries full of dictators.
Kuanzia Afrika Kaskazini, ukaingia Mashariki ya Kati, Asia ya Kati mpaka Mashariki ya Mbali nchi zisizokuwa na madikteta ni chache tu kama India na Japan.
 
India, Syria, Russia unasahahu kuwa hizo Ni nchi 3 Africa ni nchi 54.

Umaskini kwa vigezo vipi?
The poorest country in Asia is richer than Tanzania

Okaaay.....
The World Bank reviewed and proposed revisions in May 2014, to its poverty calculation methodology and purchasing power parity basis for measuring poverty worldwide, including India. According to this revised methodology, the world had 872.3 million people below the new poverty line, of which 179.6 million people lived in India. In other words, India with 17.5% of total world's population, had 20.6% share of world's poorest in 2011.[9][18] As of 2014, 58% of the total population were living on less than $3.10 per day .

Kuna Wahindi wengi masikini kuliko mara nne population ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…