Africans are "misplaced human beings" in this planet

We unadhani kwanini Jamaa Wa awamu ya nne kwa nini alituita Sisi ni Malofa
 
Sikubaliani na hoja hiyo. Wazungu wana advantage kabla hata mtoto hajazaliwa. Mama mja mzito anakula vizuri, anakwenda kupimwa mara kwa mara, mtoto kama atakuwa na magonjwa anaanza kutibiwa toka hajazaliwa.

Mimi nilikuwa na watoto wa kambo Wazungu maskini na nilishangaa kuona kuwa hawana tofauti na Waafrika wengi tu. Shule walikuwa hawapendi, wavivu na kupenda kugombana. Kwa hiyo hamna ngozi yenye monopoly ya ubwege.
 
Hivi wewe hapo ulipo mke wako akishindwa kujifungua kwa njia ya kawaida utampeleka kwa waganga wa kienyeji?

Au mkeo kushindwa kujifungua nako kumeletwa na wazungu?

Hii net unayotumia hapa imetokana na Mwafrica?

Makampuni yanayofanya utafiti wa gas na mafuta ni ya Waafrika?

Hata kama ni ya Waafrika,utaalamu huo wameupata wapi?

Viongozi wetu leo hii wanafia katika mahospitali yaliyoko Africa au Ulaya?

Tuna mito,maziwa na mabwawa lakini mbona kila aiku tunalia njaa inayotokana na ukame?

Mizigo yako leo hii unasafirisha kwa gari au kwa Punda?

Yaakiibuka magonjwa leo hii sampuli za damu, makohozi,n.k zinapelekwa wapi kwa ajili ya uchunguzi?

Nitajie mvumbuzi wa kiafrika hata mmoja miongoni mwa wanasayansi maarufu wanaojulikana katika kufanya uvumbuzi wa kisayansi?

Newton,Eisten,Galileo,Archimedes,Boyle,,Boltzamn na wengineo wengi,kuna hata mmoja anaetoka Africa?

Angalia Ma-professor wetu mambo wanayoyafanya leo hii ndio ujie tukoje.

Tukibali tu sisi mpaka leo hii bado tunawategemea watu wa mabara mengine kuweza kuishi na ku-survive katika hii dunia.
 
Hakuna kitu kinaitwa laana. Hizo ni hadithi za kusadikika tu.
Ndio maana huwezi kumsikia mzazi wa kizungu akimpa mtoto wake laana, na mitoto yao ndio mijeuri ile ngumu. Lakini inawasaidia kwa sababu wakiwa watu wazima wameshazoea to think for themselves.
 
Kuna "Wahindi Wekundu" wa Amerika ambao walinyanyaswa na kuonewa na wao wako taabani kuliko watu weusi wengi au hata Waafrika. Amerika Kaskazini wanakaa sehemu zao ambazo ni duni kuliko Afrika. Rangi haikupi akili, ni mazingira tu.
 
mwafrika ni nani? je ni mtu mweusi, mtu mwenye asili ya afrika au mtu anayeishi bara afrika tuanzie hapa kwanza.
 
Kwa upeo mdogo tu,sisi waafrika kinachoturudisha nyuma mpaka tunajidharau na kudharaulika,tumekumbatia,uongo,ushirikina,unafiki,dhuruma,tamaa,,mwafrika akiona mwenzake anajaribu maisha japo ainuke aatafanya kila awezalo kumshusha,iwe kumu uwa kumtia uchizi,ilimrad tu asifanikiwe,yupo tayari kupoteza muda kwa waganga na gharama kumdhoofisha jirani uake au hata rafiki bila kusahau hata ndugi wa damu, kiujumla wabinafsi,starehe ndo yetu tumeumbiwa tunauwezo wa kuichambua tupendavyo
 
Unamaanisha "evolution", siyo revolution. Waafrika tusha-evolve, tunachohitaji ni uongozi bora.
 
Madhira, ugumu unaosababishwa na hali ya hewa ya huko kwao, vinawalazimisha kufikiria zaidi. But God is very fair. I'm proud and happy to be born in africa.
Magonjwa yote ya hatari yaliwatesa vibaya mno, wakatuambukiza na sisi. Na tusingekuwa na mawasiliano nao magonjwa kama plague ambayo yaliweza kukata nusu ya idadi ya population huko ulaya na America yasingefika huku kwetu.
As you think, so you are.
 
For sure you're misplaced. Now go where you belong.
 
Wamarekani na Ulaya Magharibi wana historia ndefu ya demokrasia ukilinganisha na Wazungu wengine kama Warusi. Lakini hata hao Republicans wanamwita Obama adui wa Marekani na mara mbili walisababisha serikali ifungwe. CCM ndiko wanakopata mbinu zao.
 
Kuna "Wahindi Wekundu" wa Amerika ambao walinyanyaswa na kuonewa na wao wako taabani kuliko watu weusi wengi au hata Waafrika. Amerika Kaskazini wanakaa sehemu zao ambazo ni duni kuliko Afrika. Rangi haikupi akili, ni mazingira tu.
Yanayotoa akili zaidi niyapi , mazingira magumu au mazingira mazuri?
 
Yep, katika taasisi ya utafiti ninapofanya kazi, scientists wengi na Phd zao ni wazungu. Lakini hata makarani na mechanics ni hao hao tu. Siyo uzungu somehow inakupa ujuzi fulani, inabidi uchakarike mwenyewe.
 
Yanayotoa akili zaidi niyapi , mazingira magumu au mazingira mazuri?
Inategemea. Kwenye mazingira ya joto sana kuna Waafrika, Waarabu, Wahindi na Waasia wengine kama Burma na Cambodia. Kwenye mazingira ya baridi kuna Wazungu, WaEskimo, Wahindi Wekundu, n.k. Huwezi kusema baridi tu ndio imewafanya Wazungu wachangamke, ni exposure na kama nilivyogusia, kuacha makazi yao ya awali Afrika na kuhamia sehemu nyingine. Halafu location inasaidia, ukiwa kwenye hizo trade routes inasaidia maendelo kwa sababu unakutana na watu na technology kutoka sehemu mbalimbali; baruti kutoka China, hesabu kutoka Uarabuni, n,k.
 
I was just thinking aloud
 
Hata Marekani yenyewe ilikuwa na malaria enzi hizo kwenye sehemu za kitropiki kidogo kama Louisiana na Florida. Na mpaka leo wakati wa kiangazi magari ya halmashauri za mji huwa yanapita kwenye sehemu zote za madimbwi wanamwaga dawa ya mbu. Hawakai tu na kufanya maombi.

Kwa mfano huo tu,nikisema Waafrika tumeshindwa kuyatawala mazingira tunayoishi bali tuna-survive kwa msaada wa watu kutoka mabara mengine nitakuwa nakosea?
Kwa sababu tunachagua viongozi wasio na uwezo na sisi wenyewe hatujui kujituma. Kwa sababu kusafisha mazingara na kuhakikisha hamna uchafu au maji machafu ya kulea mbu haitaji msaada kutoka kwa Wazungu
Mitishamba gani leo hii inatibu kipindupindu?Kipindupindu kingekuwa hakina dawa, leo hii bara hili lingekuwa na watu?
Shida ni kwamba tumevushwa kutoka maisha ya kijijini mpaka mjini kwa vizazi vichache. Wengine tunakaa mijini, lakini tabia zetu ni za vijijini.

Tukubali ni Mungu ndio alipanga iwe hivi na si kosa letu.
Huko sifiki, mimi naongelea mambo yanayoweza kuwa scientifically proven.
 
Kwa hiyo hao wazungu waliwaletea hilo zigo la magonjwa na kuwabwagia na nyie mmkalipokea kwa mikono miwili?mlikuwa na akili? Au mlitegemea hiyo body immunity iwasaidie kupambana na baridi,jua,mvua,na hata vijidudu vya kipindupindu vinavyotokana na uchafu?mbona wazungu nao wanadai kuwa ukimwi ulitoka afrika? Waafrika ni mabingwa wa kutafuta visingizio kwa each and every failures that floats and flows from their own heads!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…