rtuwey
Senior Member
- Apr 2, 2013
- 115
- 28
Same here.E! Entertainment channel on 12562 V 2866 @ 68.5E seems to have disappeared from my setup. Is it general? Please let me know before I climb the roof.
Same here.E! Entertainment channel on 12562 V 2866 @ 68.5E seems to have disappeared from my setup. Is it general? Please let me know before I climb the roof.
Could be gone forever after disappearance on 78e cband alsohorn channels at 57e disapear is it general?
smooth as silk,HD quality on my kaninety.waiting for chelsea arse europa finalhorn channels at 57e disapear is it general?
has the freezing stopped?smooth as silk,HD quality on my kaninety.waiting for chelsea arse europa final
v 2.53Is starsato ex still rolling Jeshi?
Which software is doing the magic?
Watu wa dstv ni kukauka tu..smooth as silk,HD quality on my kaninety.waiting for chelsea arse europa final
The channels are standing stronghorn channels at 57e disapear is it general?
horn channels at 57e disapear is it general?
Karibu katika jukwaa, jitahidi kuisoma thread hii page after page utajifunza mambo mengi maana watu wamekuwa wakiuliza maswali na kujibiwa.marafiki habari?
naomba kuuliza
Je nawezaje kupata receivers zenye zile channels za SONY HD na Bein sports HD
Lengo ni kuachana na dstv kabisa
Kama hujawahi kabisa kufunga dishi kwa mikono yako ,Unahitaji kupitia huu uzi taratibu ili ujifunze mambo mbalimbali yanayo husiana na ulimwengu wa sattelite, kama Skew, Elevation, Azimuth, aina mbalimbali za Low Noise Block Converters (LNB) na performance zake , Beam and coverage za satellites mbalimbali, aina za satellite dishes na ukubwa wake nk. Vyote hivi vimo ndani ya huu uzi.Ahsante sana Bennick
oh samahanini kwa kutochanganya alama na namba ktk majina!
Binafsi sina uzoefu huo na huwa natumia mafundi ktk kufunga madish
Kama hujawahi kabisa kufunga dishi kwa mikono yako ,Unahitaji kupitia huu uzi taratibu ili ujifunze mambo mbalimbali yanayo husiana na ulimwengu wa sattelite, kama Skew, Elevation, Azimuth, aina mbalimbali za Low Noise Block Converters (LNB) na performance zake , Beam and coverage za satellites mbalimbali, aina za satellite dishes na ukubwa wake nk. Vyote hivi vimo ndani ya huu uzi.
Sina uhakika kuhusu location yako ila kama upo TZ, ili ufaidi chaneli za S@Ny hD kwa mfano unahitaji dishi kubwa la kuanzi futi 6 hadi nane maana hizi zinapatikana kwa c band kwenye nyuzi 66£ast na 68.5£ast. utaelekezea dishi lako kule tunakopata local channels na utahitaji kingamuzi kama vitakavyo ainishwa hapo chini vyenye uwezo wa kufungu chane1 zilizofungwa.
Kuhusiana na Be1n sina uhakika kama kuna dikoda ina uwezo wa kufungua zile vitu isipokuwa kuna kitu kinaitwa Cccam jaribu ku search vizuri mtandaoni utaelewa kinavo fanya kazi. Lakini pia satellite nyingi zinazorusha masafa ya Be1n zimelenga mashariki ya kati na Afrika kaskazini, kwa wenzetu kenya wanazipata kwa urahisi kwa beam ya MENA (Middle East and North Africa) ila kwa bongo nadhani utahitaji dish kubwa sana ili kupata MENA beam kama utabahatika. Unless unapatikana Northern/Eastern TZ.
Nawasilisha.View attachment 1112334View attachment 1112335View attachment 1112336View attachment 1112337
bei ya starsat????na wapi naweza ipata?Kama hujawahi kabisa kufunga dishi kwa mikono yako ,Unahitaji kupitia huu uzi taratibu ili ujifunze mambo mbalimbali yanayo husiana na ulimwengu wa sattelite, kama Skew, Elevation, Azimuth, aina mbalimbali za Low Noise Block Converters (LNB) na performance zake , Beam and coverage za satellites mbalimbali, aina za satellite dishes na ukubwa wake nk. Vyote hivi vimo ndani ya huu uzi.
Sina uhakika kuhusu location yako ila kama upo TZ, ili ufaidi chaneli za S@Ny hD kwa mfano unahitaji dishi kubwa la kuanzi futi 6 hadi nane maana hizi zinapatikana kwa c band kwenye nyuzi 66£ast na 68.5£ast. utaelekezea dishi lako kule tunakopata local channels na utahitaji kingamuzi kama vitakavyo ainishwa hapo chini vyenye uwezo wa kufungu chane1 zilizofungwa.
Kuhusiana na Be1n sina uhakika kama kuna dikoda ina uwezo wa kufungua zile vitu isipokuwa kuna kitu kinaitwa Cccam jaribu ku search vizuri mtandaoni utaelewa kinavo fanya kazi. Lakini pia satellite nyingi zinazorusha masafa ya Be1n zimelenga mashariki ya kati na Afrika kaskazini, kwa wenzetu kenya wanazipata kwa urahisi kwa beam ya MENA (Middle East and North Africa) ila kwa bongo nadhani utahitaji dish kubwa sana ili kupata MENA beam kama utabahatika. Unless unapatikana Northern/Eastern TZ.
Nawasilisha.View attachment 1112334View attachment 1112335View attachment 1112336View attachment 1112337
Sijawahi miliki hii mkuu, ila wasiliana na GIDEN mwana jukwaa mwenzetu kutoka +254 nadhani atakuwa nazo. Nimeona pia Amazon na eBoy unaweza ukapatabei ya starsat????na wapi naweza ipata?