MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,521
- 1,368
Egypt 1 up
Uwezekano Misri kushinda mkubwa!
Naona Fainali ni Misri na Cameroon!
Na Misri italitwaa tena kombe!
Wamisri mpira wao uko juu halafu ni wajanja sana!
Egypt 1 up
Nakubaliana na SAV na Senator hapo juu kuhusiana na matokeo ya robo fainali lakini kwenye semis mhhh!!?? Nahisi utakua mwisho wa safari kwa Waghana, Cameroon watacheza final. Na game ya Ivorians na Egypt- naiona ikienda extra time pamoja na matuta na mwishowe waarabu kuibuka kidedea.
NUSU FAINALI
GHANA V CAMEROON (Cameroon to win)
IVORY COAST V EGYPT (Hii ndo fainali, atakaeshinda hii game ndio mshindi wa AFCON 08)
Egypt ni cheaters wa kujifanya wameumia wanapoguswa kidogo tu na referee akiwa mwarabu basi wanaweza hata kupewa penalty wasiyostahili ili kuwakikishia ushindi.
Ujanja ni sehemu katika soccer
Mpira ni magoli!
Ni kitu gani kimewafika Ivory Coast leo hadi kushindwa na kupata kipigo cha mbwa??
Sasa Misri na Cameroon
Nabarishi Misr watachukua tena kikombe!
Egypt ni cheaters wa kujifanya wameumia wanapoguswa kidogo tu na referee akiwa mwarabu basi wanaweza hata kupewa penalty wasiyostahili ili kuwakikishia ushindi.
Ndugu yangu, ya nini unataka kuidhulumu timu ya wamistri, kwa kweli wana stahiki kushinda mechi hiyo, tactic zao zilikuwa bora kuliko timu ya E.coast.
katika Mpira kuna kushinda na kushindwa kwa hiyo timu inao shindwa pia lazima ikubali kuwa imeshidwa hii ndio sports. Timu ya E.Coast pia ni katika timu strong sana lakini leo imeshindwa wala sio ajabu kufungwa kwa sababu timu zote zinafungwa hata Brazili pia inafungwa
I was watching the game with 7 friends of mine who know the game of football, and both of us came to the same conclusion that they are cheaters. Most of the time when Ivory coast were ready to attack egypt player went down pretending that there was a foul, hence change of the direction from Egypt goal to their opponent. By doing so they were unfairly destroying the rythm of Ivory coast's attack. If the referee had shown them 2 or 3 yellow cards for cheating, maybe the outcome would have been different. That's why Egypt they don't have success in the World cup as compared to other African countries who were able to participate in the World cup, because they are cheaters. We want to see a fair play as well as Champion who deserves it through fair play.
I was watching the game with 7 friends of mine who know the game of football, and both of us came to the same conclusion that they are cheaters. Most of the time when Ivory coast were ready to attack egypt player went down pretending that there was a foul, hence change of the direction from Egypt goal to their opponent. By doing so they were unfairly destroying the rythm of Ivory coast's attack. If the referee had shown them 2 or 3 yellow cards for cheating, maybe the outcome would have been different. That's why Egypt they don't have success in the World cup as compared to other African countries who were able to participate in the World cup, because they are cheaters. We want to see a fair play as well as Champion who deserves it through fair play.
Ndugu yangu acha ukabila, tazama Records ya Misri ni hii hapa,
Egypt is the first African country to
participate in the World Cup when they played
in 1934. Egypt has qualified again for one
World Cup in 1990.
They have played for the Bronze Medal in the
Olympic Games twice (1928 and 1964)
Egypt are the most successful African team at
Confederation level, winning the ANC five
times: the inaugural African Nations Cup in
1957, and also won the tournament in 1959,
1986, 1998, and 2006.
They are the 5 Times Champion of World
Military Cup (1993, 1996, 2001, 2005 & 2007)
Bronze Medalist at World Youth Cup (2001)
Mediterranean Games :
1 Time Gold Medalist
1 Time Silver Medalist
1 Time Bronze Medalist
African Competitions :
5 Times Champion of African Cup of Nations
(1957/59/86/98/2006)
3 Times Champion of African Youth Championship
(1981& 1991& 2003)
1 Time Champion of African Under-17
Championship (1997)
2 Times Gold Medalist at All Africa Games
(Kenya 1987 / Zimbabwe 1995)
2 Times Champion of African Futsal Cup of
Nations (Indoor Soccer) (Egypt 1996 & 2000)
1 Time Champion of African Military Cup of
Nations (Indoor Soccer) (Guinea 1998)
Afro-Asian Cup of Nations :
1 Time Runners-Up
Arab Competitions :
3 Times Gold Medalist at the Pan Arab Games
(1953, 1965, 2007)
1 Time Champion of Arab Cup of Nations (1992)
1 Time Champion of Arab Futsal Cup of Nations
(Indoor) (Egypt 1998)
[edit] International Achievements
World Cups :
2 Participations in World Cups 1934& 1990 (1st
round)
5 Participations in World Youth Cups 1981 (1/4
final), 1991 (1st Round), 2001 (Bronze Medal),
2003 (2nd Round) & 2005 (1st Round).
2 Participations in World Junior Cups 1987
(10th) & 1997(Host-8th)
2 Participations in World Fustal Cup (Indoor)
1996 (1st round) & 2000 1/4 Final)
Olympic :
10 Participations in Olympic Games (4th Place
in 1928 & 1964) & (Quarter Finals in 1984)
3 times gold medal winners in the pan Arab
games (1953, 1965 and 2007)
[edit] Egyptian Club Achievements
African :
11 Times Champions of African Champions League
(1970/82/84/86/87/93/96/2001/2002/2005/2006)
8 Times Champions of African Cup Winners' Cup
(1982/83/84/85/86/93/96/2000)
5 Times Champions of African Super Cup
(1994/97/2001/2002/2005)
3 Times Champions of Afro-Asian Cup
(1987/88/97)
Arab :
1 Time Champions of Arab Champions League
(1996)
1 Time Champions of Arab Cup Winners' Cup
(1995)
2 Times Champions of Arab Super Cup (Al-
Nokhba)(1997/1998)
[edit] African Nations Cup record
1957 - Champions
1959 - Champions
1962 - Second place
1963 - Third place
1965 - Withdrew after qualifying
1968 - Withdrew
1970 - Third place
1972 - Did not qualify
1974 - Third place
1976 - Fourth place
1978 - Did not qualify
1980 - Fourth place
1982 - Withdrew
1984 - Fourth place
1986 - Champions
1988 - Round 1
1990 - Round 1
1992 - Round 1
1994 - Quarterfinals
1996 - Quarterfinals
1998 - Champions
2000 - Quarterfinals
2002 - Quarterfinals
2004 - Round 1
2006 - Champions
2008 - Finalists
if you do not beleive me visit this Wikipedia
Encyclopedia website.
http://en.wikipedia.org/wiki/Egypt_national_football_team
Mie nakwambia kombe la dunia wewe unanipa rekodi ya kombe la Afrika! Kushiriki kwenye kombe la dunia mwaka 34 hakusemi chochote kuhusiana na soka la Misri ukitilia maanani nchi nyingi za Afrika mwaka huo zilikuwa bado ni makoloni.
Kwenye kindumbwedumbwe kikubwa cha soka duniani ni kwenye kombe la dunia, huko rekodi ya Misri kwa kufika mbali katika mashindano hayo haifikii ya Cameroun ambao kama sikosei waliwahi kufika quarter final au semi final na misri huwa wanatolewa hatua za mwanzo mwanzo tu. Nje ya Afrika timu ya Taifa inayojulikana sana sito Misri kwa sababu kama nilivyosema huwa haiendi mbali katika mashindano hayo makubwa. Kama utakumbuka timu za Misri zimeshacheza sana na timu za Tanzania na wachezaji wengi walioshiriki katika mechi hizo watakwambia katika Afrika kama kuna watu ambao watafanya kila uhuni ndani ya uwanja ili washinde basi misri wanaongoza kuliko nchi nyingine yoyote ya Afrika.