African Cup of Nations 2008

Mpira ni magoli!

Ni kitu gani kimewafika Ivory Coast leo hadi kushindwa na kupata kipigo cha mbwa??

Sasa Misri na Cameroon

Nabarishi Misr watachukua tena kikombe!
 
Nakubaliana na SAV na Senator hapo juu kuhusiana na matokeo ya robo fainali lakini kwenye semis mhhh!!?? Nahisi utakua mwisho wa safari kwa Waghana, Cameroon watacheza final. Na game ya Ivorians na Egypt- naiona ikienda extra time pamoja na matuta na mwishowe waarabu kuibuka kidedea.

UTABIRI WANGU HAUKUWA MBAYA SANA, WENGI HUMU MLITABIRI GHANA NA IVORY COAST KUSHINDA GAME ZAO ZA SEMI FINAL.
 
Egypt ni cheaters wa kujifanya wameumia wanapoguswa kidogo tu na referee akiwa mwarabu basi wanaweza hata kupewa penalty wasiyostahili ili kuwakikishia ushindi.
 
NUSU FAINALI
GHANA V CAMEROON (Cameroon to win)
IVORY COAST V EGYPT (Hii ndo fainali, atakaeshinda hii game ndio mshindi wa AFCON 08)

I will stick with these words, baada ya ile game ya kwenye groups kati ya Cameroon na Egypt ambapo waarabu walishinda 4-2, nadhana kitakachopungua jumapili ni idadi tu ya magoli.
 
Ujanja ni sehemu katika soccer

Ujanja na kucheat katika soka ni vitu viwili tofauti, ndio maana kuna sheria ya kuwaonyesha kadi wale wanaopretend kuangushwa hasa katika penalty area ili wapewe penalty. Hakukuwa na penalty leo lakini jamaa walikuwa wakiguswa kidogo tu wanavyopiga kelele na kujigarazagaraza utafikiri wamepigwa chuma ugokoni. Angalia final match j'pili utaona ninachozungumza. I hope referee wa siku hiyo atakuwa makini ili kutoruhusu hali hiyo. We want to see a fair play.
 
Mpira ni magoli!

Ni kitu gani kimewafika Ivory Coast leo hadi kushindwa na kupata kipigo cha mbwa??

Sasa Misri na Cameroon

Nabarishi Misr watachukua tena kikombe!

Possibly Misri wakatetea ubingwa wa ACN!
Mie mwenyewe nashangaa nini kimewanyong'onyeza akina Toure, Kalou, Drogba, Eboue na wenzake leo hadi wakapigwa magoli yote hayo!
Tuisubirie Cameroon tuone kama watafurukuta!
 
Mafarao nuksi wale, Cameroon watalizwa kama mwanzo..Ivory Coast wamenichanganya kweli, maana nilijua wangekata ngebe za Mafarao.

Kombe linarudi kwa Egypt tena.Period!
 
Egypt ni cheaters wa kujifanya wameumia wanapoguswa kidogo tu na referee akiwa mwarabu basi wanaweza hata kupewa penalty wasiyostahili ili kuwakikishia ushindi.

Ndugu yangu, ya nini unataka kuidhulumu timu ya wamistri, kwa kweli wana stahiki kushinda mechi hiyo, tactic zao zilikuwa bora kuliko timu ya E.coast.
katika Mpira kuna kushinda na kushindwa kwa hiyo timu inao shindwa pia lazima ikubali kuwa imeshidwa hii ndio sports. Timu ya E.Coast pia ni katika timu strong sana lakini leo imeshindwa wala sio ajabu kufungwa kwa sababu timu zote zinafungwa hata Brazili pia inafungwa
 
I was watching the game with 7 friends of mine who know the game of football, and both of us came to the same conclusion that they are cheaters. Most of the time when Ivory coast were ready to attack egypt player went down pretending that there was a foul, hence change of the direction from Egypt goal to their opponent. By doing so they were unfairly destroying the rythm of Ivory coast's attack. If the referee had shown them 2 or 3 yellow cards for cheating, maybe the outcome would have been different. That's why Egypt they don't have success in the World cup as compared to other African countries who were able to participate in the World cup, because they are cheaters. We want to see a fair play as well as Champion who deserves it through fair play.
 
naam leo ni ile Alkhamis tulio tukiisubiri na sasa mpira umeanza kati ya cameroun na Ghana na hadi sasa dakika kumi tayari mambo draw tunaendelea
 
I was watching the game with 7 friends of mine who know the game of football, and both of us came to the same conclusion that they are cheaters. Most of the time when Ivory coast were ready to attack egypt player went down pretending that there was a foul, hence change of the direction from Egypt goal to their opponent. By doing so they were unfairly destroying the rythm of Ivory coast's attack. If the referee had shown them 2 or 3 yellow cards for cheating, maybe the outcome would have been different. That's why Egypt they don't have success in the World cup as compared to other African countries who were able to participate in the World cup, because they are cheaters. We want to see a fair play as well as Champion who deserves it through fair play.

Ndugu yangu acha ukabila, tazama Records ya Misri ni hii hapa,

Egypt is the first African country to
participate in the World Cup when they played
in 1934. Egypt has qualified again for another
World Cup in 1990.
They have played for the Bronze Medal in the
Olympic Games twice (1928 and 1964)
Egypt are the most successful African team at
Confederation level, winning the ANC five
times: the inaugural African Nations Cup in
1957, and also won the tournament in 1959,
1986, 1998, and 2006.
They are the 5 Times Champion of World
Military Cup (1993, 1996, 2001, 2005 & 2007)
Bronze Medalist at World Youth Cup (2001)
Mediterranean Games :
1 Time Gold Medalist
1 Time Silver Medalist
1 Time Bronze Medalist
African Competitions :
5 Times Champion of African Cup of Nations
(1957/59/86/98/2006)
3 Times Champion of African Youth Championship
(1981& 1991& 2003)
1 Time Champion of African Under-17
Championship (1997)
2 Times Gold Medalist at All Africa Games
(Kenya 1987 / Zimbabwe 1995)
2 Times Champion of African Futsal Cup of
Nations (Indoor Soccer) (Egypt 1996 & 2000)
1 Time Champion of African Military Cup of
Nations (Indoor Soccer) (Guinea 1998)
Afro-Asian Cup of Nations :
1 Time Runners-Up
Arab Competitions :
3 Times Gold Medalist at the Pan Arab Games
(1953, 1965, 2007)
1 Time Champion of Arab Cup of Nations (1992)
1 Time Champion of Arab Futsal Cup of Nations
(Indoor) (Egypt 1998)
[edit] International Achievements
World Cups :
2 Participations in World Cups 1934& 1990 (1st
round)
5 Participations in World Youth Cups 1981 (1/4
final), 1991 (1st Round), 2001 (Bronze Medal),
2003 (2nd Round) & 2005 (1st Round).
2 Participations in World Junior Cups 1987
(10th) & 1997(Host-8th)
2 Participations in World Fustal Cup (Indoor)
1996 (1st round) & 2000 1/4 Final)
Olympic :
10 Participations in Olympic Games (4th Place
in 1928 & 1964) & (Quarter Finals in 1984)
3 times gold medal winners in the pan Arab
games (1953, 1965 and 2007)
[edit] Egyptian Club Achievements
African :
11 Times Champions of African Champions League
(1970/82/84/86/87/93/96/2001/2002/2005/2006)
8 Times Champions of African Cup Winners' Cup
(1982/83/84/85/86/93/96/2000)
5 Times Champions of African Super Cup
(1994/97/2001/2002/2005)
3 Times Champions of Afro-Asian Cup
(1987/88/97)
Arab :
1 Time Champions of Arab Champions League
(1996)
1 Time Champions of Arab Cup Winners' Cup
(1995)
2 Times Champions of Arab Super Cup (Al-
Nokhba)(1997/1998)
[edit] African Nations Cup record
1957 - Champions
1959 - Champions
1962 - Second place
1963 - Third place
1965 - Withdrew after qualifying
1968 - Withdrew
1970 - Third place
1972 - Did not qualify
1974 - Third place
1976 - Fourth place
1978 - Did not qualify
1980 - Fourth place
1982 - Withdrew
1984 - Fourth place
1986 - Champions
1988 - Round 1
1990 - Round 1
1992 - Round 1
1994 - Quarterfinals
1996 - Quarterfinals
1998 - Champions
2000 - Quarterfinals
2002 - Quarterfinals
2004 - Round 1
2006 - Champions
2008 - Finalists

if you do not beleive me visit this Wikipedia
Encyclopedia website.

http://en.wikipedia.org/wiki/Egypt_national_football_team
 
Hizi ni kasumba za kibaguzi, baada ya kushindwa kujua tatizo liko wapi, hawa ndugu zetu wa kiafrika(Egyptian) kiwango chao cha mpira kiukweli kiko juu kabisa. Lakini usishangae fainali unaweza ukafurahi kuwakuta Cameroun kushinda kutokana na uzoefu wao
Japokuwa statistic ya kiwango cha mpira ya mashindano haya mpaka sasa wamisri hawa hawakamatiki kiufundi, kiutalamu Egyt wanashinda fainali lakini mpira duara.
 
Ndugu yangu acha ukabila, tazama Records ya Misri ni hii hapa,

Egypt is the first African country to
participate in the World Cup when they played
in 1934. Egypt has qualified again for one
World Cup in 1990.
They have played for the Bronze Medal in the
Olympic Games twice (1928 and 1964)
Egypt are the most successful African team at
Confederation level, winning the ANC five
times: the inaugural African Nations Cup in
1957, and also won the tournament in 1959,
1986, 1998, and 2006.
They are the 5 Times Champion of World
Military Cup (1993, 1996, 2001, 2005 & 2007)
Bronze Medalist at World Youth Cup (2001)
Mediterranean Games :
1 Time Gold Medalist
1 Time Silver Medalist
1 Time Bronze Medalist
African Competitions :
5 Times Champion of African Cup of Nations
(1957/59/86/98/2006)
3 Times Champion of African Youth Championship
(1981& 1991& 2003)
1 Time Champion of African Under-17
Championship (1997)
2 Times Gold Medalist at All Africa Games
(Kenya 1987 / Zimbabwe 1995)
2 Times Champion of African Futsal Cup of
Nations (Indoor Soccer) (Egypt 1996 & 2000)
1 Time Champion of African Military Cup of
Nations (Indoor Soccer) (Guinea 1998)
Afro-Asian Cup of Nations :
1 Time Runners-Up
Arab Competitions :
3 Times Gold Medalist at the Pan Arab Games
(1953, 1965, 2007)
1 Time Champion of Arab Cup of Nations (1992)
1 Time Champion of Arab Futsal Cup of Nations
(Indoor) (Egypt 1998)
[edit] International Achievements
World Cups :
2 Participations in World Cups 1934& 1990 (1st
round)
5 Participations in World Youth Cups 1981 (1/4
final), 1991 (1st Round), 2001 (Bronze Medal),
2003 (2nd Round) & 2005 (1st Round).
2 Participations in World Junior Cups 1987
(10th) & 1997(Host-8th)
2 Participations in World Fustal Cup (Indoor)
1996 (1st round) & 2000 1/4 Final)
Olympic :
10 Participations in Olympic Games (4th Place
in 1928 & 1964) & (Quarter Finals in 1984)
3 times gold medal winners in the pan Arab
games (1953, 1965 and 2007)
[edit] Egyptian Club Achievements
African :
11 Times Champions of African Champions League
(1970/82/84/86/87/93/96/2001/2002/2005/2006)
8 Times Champions of African Cup Winners' Cup
(1982/83/84/85/86/93/96/2000)
5 Times Champions of African Super Cup
(1994/97/2001/2002/2005)
3 Times Champions of Afro-Asian Cup
(1987/88/97)
Arab :
1 Time Champions of Arab Champions League
(1996)
1 Time Champions of Arab Cup Winners' Cup
(1995)
2 Times Champions of Arab Super Cup (Al-
Nokhba)(1997/1998)
[edit] African Nations Cup record
1957 - Champions
1959 - Champions
1962 - Second place
1963 - Third place
1965 - Withdrew after qualifying
1968 - Withdrew
1970 - Third place
1972 - Did not qualify
1974 - Third place
1976 - Fourth place
1978 - Did not qualify
1980 - Fourth place
1982 - Withdrew
1984 - Fourth place
1986 - Champions
1988 - Round 1
1990 - Round 1
1992 - Round 1
1994 - Quarterfinals
1996 - Quarterfinals
1998 - Champions
2000 - Quarterfinals
2002 - Quarterfinals
2004 - Round 1
2006 - Champions
2008 - Finalists

if you do not beleive me visit this Wikipedia
Encyclopedia website.

http://en.wikipedia.org/wiki/Egypt_national_football_team

Mie nakwambia kombe la dunia wewe unanipa rekodi ya kombe la Afrika! Kushiriki kwenye kombe la dunia mwaka 34 hakusemi chochote kuhusiana na soka la Misri ukitilia maanani nchi nyingi za Afrika mwaka huo zilikuwa bado ni makoloni.

Kwenye kindumbwedumbwe kikubwa cha soka duniani ni kwenye kombe la dunia, huko rekodi ya Misri kwa kufika mbali katika mashindano hayo haifikii ya Cameroun ambao kama sikosei waliwahi kufika quarter final au semi final na misri huwa wanatolewa hatua za mwanzo mwanzo tu. Nje ya Afrika timu ya Taifa inayojulikana sana sito Misri kwa sababu kama nilivyosema huwa haiendi mbali katika mashindano hayo makubwa. Kama utakumbuka timu za Misri zimeshacheza sana na timu za Tanzania na wachezaji wengi walioshiriki katika mechi hizo watakwambia katika Afrika kama kuna watu ambao watafanya kila uhuni ndani ya uwanja ili washinde basi misri wanaongoza kuliko nchi nyingine yoyote ya Afrika.
 
Nimekupa rekodi zote hata kombe la dunia pia nimeandika, usisahau kuwa sisi hapa tunaongelea kombe la Africa sio la dunia.

Eti wamisri wanafanya uhuni uwanjani, Uhuni gani bwana wee!! kwani hakuna marefarii uwanjani ? marefarii wanajua kanuni za mchezo kuliko mimi na wewe.

sasa wewe unafikiri kuwa timu zingine hazitaki kushinda katika kombe la Africa zinataka kushiriki kwenye world cup tu?

Brother usitudanganye.

acha ukabila ndugu yangu hii sio vita hii ni Sports.

Timu elio shinda ipe haki yake hata kama hauipendi.

Nadhani wewe ungekuwa Refarii wa mechi hiyo baina ya E.Coast na Egypt ungewapa wamisri red card timu nzima.
 
Hakuna cha uhuni Wamisri wana mpira mzuri- na wako makini!

Wanafanya few attacks- ila kati ya hizo watapata magoli- ni hatari sana ktk counter attack!

Call a spade a spade- and not a big spoon!
 
Back
Top Bottom