African Cup of Nations 2008

Dk 37 zimeenda Cameroon 2 Zambia 0 Zambia defensi inakatika sana na bao la pili uzembe wa beki! Wazimbia wasipokuwa makini watafungwa!
 
RESULT- Cameroon 5-1 Zambia. Huu kama msiba kwa wazambia, wacameroon naona walikua na machungu ya kichapo cha Egypt.
 
Haya mabao ya Cameroon sii ya kishujaa yaani defensi ilipwaya- foward ya Zambia ni nzuri sema defensi hawakuwa makini!

Zambia wakirekebisha makosa ya defesi- wazuri!

Sasa Ngumu je Zambia inaweza kumfunga Misri?

Kwa utabiri wangu ktk Kundi hili- Misri na Cameroon wataingia 2nd round!
 
Kusini mwa Jangwa la sahara lazima waangalie kulikoni katika soka.
1994 Zambia walikuwa ni wazuri sana kisoka... naona kadili miaka inavyokwenda soka lao linazidi kupwaya!
 
Zambia bye bye.. .Egypt,Cameroon and Ivory Cost hapa katika timu tatu hizi ndipo tutakapopata bingwa wa Afrika kwa utabiri wangu!
 
Haya mabao ya Cameroon sii ya kishujaa yaani defensi ilipwaya- foward ya Zambia ni nzuri sema defensi hawakuwa makini!

Zambia wakirekebisha makosa ya defesi- wazuri!

Sasa Ngumu je Zambia inaweza kumfunga Misri?

Kwa utabiri wangu ktk Kundi hili- Misri na Cameroon wataingia 2nd round!

Its obvious hao magiant wawili wanasonga mbele zambia ilitakiwa ikaze msuli jana wakaja kuzinduka ishakuwa asubuhi..magoli mengi yametokana na poor defensi ya zambia...kwa kusini mwa jangwa la sahara labda tuwasikilizie Angola leo tuone mambo yao
 
Hii nimeichota kwenye BBC online live updates dakika chache kabla ya game ya Senegal na Angola na sikusita kujiuliza- Are they taking the p..s? watakuwa ni wazungu tu na nafikiri kuna haja ya mashindano haya kutangazwa na waafrika wenyewe.

1701: Our man in the stadium has informed us that the Senegal team coach got stuck in a pot-hole en route to the stadium. But hang on...conflicting reports are coming in that the coach driver actually reversed into a drain.

1656: The stadium announcer announces the Senegal national anthem, only for the Angolan one to be played instead. A good start to today's proceeding's.

Did they really need to say this to the world? whats the motive? hata hizo allegations za corruption mimi binafsi nahisi ni undercover journalist wanawapima wadau wa soka la Afrika ili wapate kuchonga.
 
Its real a shock to senegalese..bravo vijana wetu wa kusini mwa africa nimependa sana game ya leo.Kutakuwa na kazi nzito kwenye mechi ya mwisho kati ta senegal na sauzi huenda pereira akapoteza kibarua ingawa timu inacheza mpira mzuri wa kufundishika kama samba la wa brazil..Na ndio itakuwa do or die kwa senegal
 
South Africa 1 Tunisia 3

Taabu ya SA ni defensi ni makosa ya mabeki kama yale ya Zambia jana!

Matumaini ya SA 2nd Round kidogo sana!

Angola na Tunisia wanaweza kuingia 2nd round- wote wana point 4, Senegal na SA wana point moja each!

Angola wako juu -wanakipiga kisawasawa!
 
Wakati mashindano yanakaribia kuanza, nilikua natarajia Ghana (sababu ya uenyeji), Nigeria , Cameroun, Senegal na Ivory Coast ndio wana na nafsi kubwa ya kutwa ubingwa.
Lakini siku ziendanavyo, naona wale wakongwe wanachemsha sana...nadhani Nigeria, Senegal zinaishia kwenye makundi. Ghana wana nafasi lakini si kubwa. Kati ya wale magiant imebaki Ivory Coast tu, inayecheza vizuri.
Timu za Africa zinapanda kisha zinashuka haraka mno... Nigeria, Cameroun, South Africa, Morocco, Senegal huwezi kuamini kwamba walitisha sana kisoka.
 
Its either The Elephants or The Pharaos lakini nataka vijana wetu wa gunners ,hasa Toure, warudi mapema kabla hatujacheza na Man U kwenye FA cup tarehe 16/02, bila yeye tunaweza pigwa bao nyingi sana, that means naomba Ivory coast watolewe mapema lakini sidhani kama hii itatokea.
 
Hii itakuwa ndoto ya mchana au kama sio hivyo basi Bukassa utakuwa na asili ya kimakonde. Angola ikichukuwa Africa cup na South Korea itachukuwa World Cup.

Very true indeed Paku, I can bet all on my money on this- It will never happen! Hizi timu mbili zikijipinda sana labda zinawezafika semi final tu.
 
Its either The Elephants or The Pharaos lakini nataka vijana wetu wa gunners ,hasa Toure, warudi mapema kabla hatujacheza na Man U kwenye FA cup tarehe 16/02, bila yeye tunaweza pigwa bao nyingi sana, that means naomba Ivory coast watolewe mapema lakini sidhani kama hii itatokea.

Yaani wewe unaipenda hio Arsenali jitimu la kizungu kuliko timu la Kiaafrica Ivory Coast. anyway Man U, tunaweza tukairespond hiyo mechi ya Arsenal mpaka wachezaji wote wa Arsenal warudi ili kusiwe na Excuse tukishakuwapiga mabao, lakini taabu yenyewe Arsenal mkifungwa huwa mwasema "kufungwa twafungwa lakini chenga twawala"
 
Timu yangu ya Afrika ni Tanzania tu, our time will come one day- we just need to be patient. Arsenal hakuna chenga- ni mwendo wa gonga tu- the best passers and exhibitionists in the world, so attractive to watch.
 
Kwanza nawapa hongera Angola kwa kuwaliza wasenego na kwa habari nilizo nazo sasa hivi kocha wa Senegal amejiuzulu baada ya kichapo asichokitegemea.
Vijana wametumia wembamba wao na kuwaendesha puta mijibaba ya senego mpaka dakika ya mwisho kama kasi niliyoiona wataendelea nayo basi mijibaba mingi itaangushwa kwa kishindo.
 
Back
Top Bottom