African Cup of Nations 2008

Uuuwii Uwiiiiiiiiii nimeipata African cup of nation. Uuuuuuwii jamani naangalia live hapa S3 baada ya kuhangaika siku nzima.
 
nenda hapa kwenye hii site dowlod TVants

http://www.toggle.com/lv/software/download/kl44484.htm

Baada ya kudowlod nenda kwenye site hii hapa chini angalia supersport freee wanangu wa soka.

http://www.myp2p.eu/broadcast.php?matchid=5036&part=sports

Angalia hapo palipoandikwa CHANEL 3

nenda kwenye TVants click play na enjoy live game. Hii ni zawadi kwa footbola lava wote.
Mkuu tunashukuru sana kamanda.Ila hizi site uki download kuna kidudu TROJAN kinavinjari nimeshindwa kui download anti virus yangu ime ditect....labda kama kuna altenative
 
Kana-Kansungu Upoooooooooooooooo?.

Nimerudi kaka, nilienda sehemu kupiga boksi kidogo. Im happy for you and all who are in Mashariki ya Mbali- enjoy!!!. Kwa upande mwingine nashukuru hatukwalifai kwenye haya mashindano, I went to work and everyone was talking about it. Just imagine kama hii zahama inayowakumba wanamibia ingekua inatutokea saa hizi and I think that would have been the case, I dont think we were ready.
 
:confused:Mtoto wa Mkulima upo mkuu? wengine tuna mzuka na soka nashindwa kui download software kuna kirusi Trojan.Vipi Kuna njia mbadala?
 
Mkuu tunashukuru sana kamanda.Ila hizi site uki download kuna kidudu TROJAN kinavinjari nimeshindwa kui download anti virus yangu ime ditect....labda kama kuna altenative

Mkuu nipo nilikuwa busy na kuangalia hii mechi ya Nigeria na Ivory cost ni mech nzuri sana.

Aisee mimi nimedowlod bila tatizo.
Ingia kwa Google andica TVant Free downlod mkuu. Ukishamaliza wewe fungua kwenye hii site hapo hudowlod chochote bali unachagua Chanel3 hiyo ni supersport 3 unaclik play kwenye TVants.


Njia nyingine mkuu ni kudownlod sopcast hapo pia unaweza kuichek live mech mkuu. Sorry kwa kuchelewa kujibu kaka.

Jamaa sasa 44dk hamna bao. Wanamibia wameniumiza sana kupigwa bao 5
 
Just imagine kama hii zahama inayowakumba wanamibia ingekua inatutokea saa hizi and I think that would have been the case, I dont think we were ready.

Wanatia huruma, na kuzidi kuonyesha kuwa soka ya south of sahara bado ipo nyuma...
 
Aibu, noma, shame!! The whole world is watching and this happens- umeme umekatika wajameni!!!
 
Aibu, noma, shame!! The whole world is watching and this happens- umeme umekatika wajameni!!!
Ghana na gold zao zote wana tatizo kubwa sana la umeme! Tena ni sugu, hata wakati wa kusherehekea miaka yao 50 umeme uliwatia aibu...
 
Ghana na gold zao zote wana tatizo kubwa sana la umeme! Tena ni sugu, hata wakati wa kusherehekea miaka yao 50 umeme uliwatia aibu...

Mimi naona tuwaunganishe na mkenge wa Richmond, au mnaonaje? Lakini najua hii pia ita raise another question kama kweli Africa is ready to host a big occasion like world cup. Wengi mtasema tatizo la umeme haliwezi kutokea South Africa lakini msisahau kuwa huko nako kuna rushwa, inawezekana kabisa wazee wa 'tanesco' ya huko wakauzima umeme kama wakidakishwa mshiko wa maana na watu wenye interest zao.Jamaa wa mafia wanafanya betting kwa amounts kubwa za hela na wana influence matokeo kwenye michezo mingi nowadays.
 
Back
Top Bottom