MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,521
- 1,368
Dk 37 zimeenda Cameroon 2 Zambia 0 Zambia defensi inakatika sana na bao la pili uzembe wa beki! Wazimbia wasipokuwa makini watafungwa!
Haya mabao ya Cameroon sii ya kishujaa yaani defensi ilipwaya- foward ya Zambia ni nzuri sema defensi hawakuwa makini!
Zambia wakirekebisha makosa ya defesi- wazuri!
Sasa Ngumu je Zambia inaweza kumfunga Misri?
Kwa utabiri wangu ktk Kundi hili- Misri na Cameroon wataingia 2nd round!
Fainali Angola Vs Mali
Bingwa: Angola
Hii itakuwa ndoto ya mchana au kama sio hivyo basi Bukassa utakuwa na asili ya kimakonde. Angola ikichukuwa Africa cup na South Korea itachukuwa World Cup.
Its either The Elephants or The Pharaos lakini nataka vijana wetu wa gunners ,hasa Toure, warudi mapema kabla hatujacheza na Man U kwenye FA cup tarehe 16/02, bila yeye tunaweza pigwa bao nyingi sana, that means naomba Ivory coast watolewe mapema lakini sidhani kama hii itatokea.
Yaani wewe unaipenda hio Arsenali jitimu la kizungu kuliko timu la Kiaafrica Ivory Coast. anyway Man U, tunaweza tukairespond hiyo mechi ya Arsenal mpaka wachezaji wote wa Arsenal warudi ili kusiwe na Excuse tukishakuwapiga mabao, lakini taabu yenyewe Arsenal mkifungwa huwa mwasema "kufungwa twafungwa lakini chenga twawala"