African Cup of Nations 2008

Mwishoni mwa mashindano haya tutakua na kazi nzito sana ya kuchagua JF goal of the tournament. Kila siku hadi sasa napata new contender, there have been some amazing goals so far and lets hope theres more to come....
 
GQ,
mambo ya mwambao hayo,nipe anwani yako nitakutumia kwa DHL si jui kama mbilimbi watakubali kusafirisha lakini nitajaribu.
vipi juice ya mabungo inapatikana lakini ?
haya vipi mechi ya leo naona nambia wanaaga rasimi leo pamoja na ginne kama tunguli zangu zipo sawa.
 
Final score- Guinea 3- Morocco 2. On paper, the Atlas lions are out coz they have to face the hosts Ghana kwenye game yao ya mwisho wakati Guinea watacheza na wachovu Namibia.
 
Guinea 3 Morocoo 2

Poa hawa Wamoroko watolewe waliidhaliliza sana Namibya!

Ngoma bado nzito ktk hili kundi!
 
Paschal Feindouno- a two goal hero who turned himself into ZERO. Simply Guinea's best player and they are surely going to miss him due to his suspension, he could have cost his team a win today.
 
Pia maamuzi ya Refa leo ni wasi2 mtupu! Kama vile aliipendelea Guinea!

Pia Red card Paschal Feindouno sii yeye aliyefanya dhambi ni yule jamaa wa Moroko!

Huyu Refa ni Togolese?
 
Pia maamuzi ya Refa leo ni wasi2 mtupu! Kama vile aliipendelea Guinea!

Pia Red card Paschal Feindouno sii yeye aliyefanya dhambi ni yule jamaa wa Moroko!

Huyu Refa ni Togolese?

Mzalendo, retaliation ni straight red, hakuna mjadala na I think Paschal will be disappointed with himself.
 
Mzalendo, retaliation ni straight red, hakuna mjadala na I think Paschal will be disappointed with himself.

Jamaa wa Gunea alifanya sily mistake sana. Nadhani alijilaumu sana kwa kosa alilolifamya. Ila nimefurahi kwa huu ushindi. Gunea watawafunga Namibia japo wasiwaunder rate Namibia. Na Morocco na Ghana mechi yao itakuja kuwa ngumu sana.
 
Ufisadi nao haupo nyuma huko Ghana

Benin coach Reinhard Fabisch says he was asked before the Squirrels' Africa Cup of Nations match against Mali if he would help fix the game's outcome.
Benin lost the Group B match 1-0 after conceding a penalty at the start of the second half.

"He wanted to find out from me if there was any possibility of manipulating the match," Fabisch said of the approach.

"I told him: 'Look, you have two minutes to leave the hotel or I will call the police'."

Fabisch was approached by a man who spoke to him at the team's hotel on Saturday, two days before Benin's opening match against Mali in Sekondi.

"I cut him short and told him to leave. It doesn't help football.

"I assume that if someone approaches you like that, then they have that (money) in mind."

Subsequently Fabisch warned his players to tell him if they were approached.

Benin next play Ivory Coast in Sekondi on Friday.
 
Nigeri 0 Mali 0, half time score. Nigerians need a win to keep alive their hopes of advancing to the next step vinginevyo wameondoka na kibarua cha Bert Vorgs ndo kitakua kimeota nyasi.

Ivory kashida 4-1 leo kama wanigeria hawatashinda ndo itakuwa bye bye kwao ila mali nao wazuri natabiri vigogo kuondolewa katka mashindano haya kama kwenye tenis walivyotolewa wakongwe9 fed na Nadal)..ni mtazamo wangu tu
 
Nigeria 0 Mali 0

Nigeria wana piont 1 sasa itabidi wamfunge Benin bao nyingi na waombe Ivory Coast Iwafunge Mali!

Ivory Coast tayari amefuzu 2nd Round!

Nigeria leo wamecheza sana sema hawana bahati na marembesho kibao wanapofika golini!

My take Nigeria will be out! Codivaa na Mali watasonga mbele!

Kesho Zambia na Cameroon-- vipi utabiri???
 
Kibarua kizito kwa Nigeria, they have to win their last game against Benin while praying that Mali succumbs to a defeat against the Ivorians.Mali wanahitaji point moja tu na kuna uwezekano mkubwa Ivory Coast wakapumzisha mastaa wao kwenye hiyo game.
 
Back
Top Bottom