Africa yaendelea kuikataa Kenya, Ghana yachaguliwa kuwa makao makuu

Oii

Oii

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Messages
2,630
Points
2,000
Oii

Oii

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2017
2,630 2,000
Fara ndio nini? Kumbe ni kweli kwamba wewe ni boflo? Tena boflo mshamba? Unatakaje sasa, utaendelea na umbea wa kike au utajadili hoja? Maanake hakuna options nyingine, usinifate PM, mimi napenda papuchi na namuogopa Mungu.
I insist, acha mirungi.
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
8,288
Points
2,000
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
8,288 2,000
I insist, acha mirungi.
You can't troll pingli-nywee, for the one simple reason that he doesn't give a f¥€k! Meanwhile, rais Uhuru Kenyatta atakuwa kwenye kumbukumbu za historia kama rais wa kwanza Afrika kujiunga rasmi na wa kwanza pia kuwasilisha 'instruments' za 'ratification' ya mkataba wa AfCFTA. Baada ya mswada wake wa kuhalalisha mkataba huo kukubaliwa na bunge la Kenya mwezi wa Agosti 2018. Miezi miwili tu baada ya Kenya na nchi zingine 50 za Africa kutia saini mkataba wa AfCFTA kule Kigali, Rwanda. >>>https://www.kenyans.co.ke/news/29176-uhuru-kenyatta-becomes-first-african-president-deliver-deal
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
10,054
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
10,054 2,000
You can't troll pingli-nywee, for the simple reason that he doesn't give a f¥€k! Meanwhile rais Uhuru Kenyatta atakuwa kwenye kumbukumbu za historia kama rais wa kwanza Afrika kuwasilisha instruments za ratification ya mkataba wa AfCFTA. Baada ya mswada wake wa kuhalalisha mkataba wa AfCFTA kukubaliwa na bunge la Kenya mwezi wa Agosti 2018. Miezi miwili tu baada ya Kenya na nchi zingine 50 za Africa kutia saini mkataba wa AfCFTA kule Kigali, Rwanda. https://www.kenyans.co.ke/news/29176-uhuru-kenyatta-becomes-first-african-president-deliver-deal
Sasa hiyo ina faida gani wakati lengo lake lilikua ni kushawishi Kenya ianze kukubalika hapa Africa baada ya kutenda dhambi ya usaliti wa nchi za Africa, alidhani Africa imesahau kwa kujipitisha mbelembele katika mambo yenye maslai, lakini katika mambo ya kupigania Africa Kenya inasaliti waafrica na kushirikiana na wazungu.

Kamwe Africa haitosahau usaliti wa Kenya, na haitotokea siku Kenya ikachaguliwa na nchi za Africa kuongoza jambo lolote lile pamoja na kujipendekeza kwa viongozi wake.
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
8,288
Points
2,000
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
8,288 2,000
Sasa hiyo ina faida gani wakati lengo lake lilikua ni kushawishi Kenya ianze kukubalika hapa Africa baada ya kutenda dhambi ya usaliti wa nchi za Africa, alidhani Africa imesahau kwa kujipitisha mbelembele katika mambo yenye maslai, lakini katika mambo ya kupigania Africa Kenya inasaliti waafrica na kushirikiana na wazungu.

Kamwe Africa haitosahau usaliti wa Kenya, na haitotokea siku Kenya ikachaguliwa na nchi za Africa kuongoza jambo lolote lile pamoja na kujipendekeza kwa viongozi wake.
Najua inauma ila hamna namna. Kwamba mwishowe kwenye dakika za lala salama hamkuwa na budi ila kujiunga na AfCFTA. Mkataba ambao rais Uhuru Kenyatta alifanikisha kwa kuwa kwenye mstari wa mbele wa kuwashawishi marais wenzake wajiunge. Alizunguka Afrika nzima ila hakujisumbua kujaribu kuishawishi Tanzania. Inaitwa checkmate kwenye mchezo wa chess.
 
The Dark Father

The Dark Father

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
1,019
Points
2,000
The Dark Father

The Dark Father

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2017
1,019 2,000
Thread za Tanzania vs Kenya in disguise huwa zinabariki sana siku yangu.
Hilarious!
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
10,054
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
10,054 2,000
Najua inauma ila hamna namna. Kwamba mwishowe kwenye dakika za lala salama hamkuwa na budi ila kujiunga na AfCFTA. Mkataba ambao rais Uhuru Kenyatta alifanikisha kwa kuwa kwenye mstari wa mbele wa kuwashawishi marais wenzake wajiunge. Alizunguka Afrika nzima ila hakujisumbua kujaribu kuishawishi Tanzania. Inaitwa checkmate kwenye mchezo wa chess.
Hahahaha, akili za wavuta bhangi hizo. Kwahiyo aliweza kuwashawishi marais wa Africa kuweka saini, lakini akiwashawishi kuichagua Kenya wanamkatalia?, mlipopiteza pesa nyingi na kuzunguka Africa nzima kushawishi Amina Mohammed achaguliwe mkashindwa?. Hakuna nchi itasikiliza Kenya, kumbuka hata Uganda ilikataa kumpigia kura Amina Mohammed, ninyi hamna ushawishi wowote hapa Africa.
 
Gidbang

Gidbang

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2014
Messages
1,924
Points
2,000
Gidbang

Gidbang

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2014
1,924 2,000
Ukisikia kuwashwa ndo
AfCFTA ni mkataba wa nchi 52 kati ya nchi 55 za Afrika. Zilizosalia ni Tanzania, Benin na Eritrea. Kati ya nchi 52 kwenye mkataba huu zilizo'bid' kuwa makao makuu ni nchi saba, Kenya, Ghana, Ethiopia, Senegal, Madagascar, Swaziland na Egypt. Ghana wamefanikiwa, hongera zao. Nchi za Ghana na Kenya zina uhusiano wa karibu tangu zamani. Nina maswali mawili kwa mleta mada. Ghana wamefanikiwa na nchi sita zilizosalia, Kenya ikiwemo, zikatupiliwa mbali. Ina maana kwamba kwa akili zako nchi zote hizo sita zilizo'bid' lakini zikakosa kufanikiwa 'zimekataliwa'? Pili, inawahusu kivipi kama Tz(hampo kwenye mkataba wa AfCFTA) na makao makuu yenu mliosalia nje ya muungano huu wa Afrika yatakuwa wapi? Tanzania au kwa vibwengo wenzenu Benin na Eritrea?
Kama hii kitu hatupo kwenye hiyo kitu lakini sisi ni kwa wimbo ya Dimond the one
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
8,288
Points
2,000
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
8,288 2,000
Kenya was denied based on regional balance where it was argued the east african region already hosts the AU headquaters.
Thank you. Nice to finally see someone who knows his stuff.
 
Sherlock

Sherlock

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Messages
425
Points
500
Sherlock

Sherlock

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2018
425 500
Sasa kitu gani kinachiwafanya msumbuke kupigania uongozi wa Africa wakati mnajua wazi kwamba hakuna nchi ya Africa inayoweza kuiamini Kenya kutokana na usaliti wake dhidi ya waafrika katika nyakati za ukombozi?.

Kwanini mnafurahia biashara miongoni mwa nchi za Africa, badala ya ninyi kuomba " membership ya EU?". Africa nzima inajua kwamba Kenya ni vibaraka wa wazungu, hakuna hata siku moja Kenya itachaguliwa katika vikao vya nchi za Africa, msipoteze nguvu na pesa zenu kama mlivyofanya wakati wa Amina Mohammed.
Ukombozi gani?...most African countries had gainined independence by the end of 1960s apart from a few southern African states.
 
Sherlock

Sherlock

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Messages
425
Points
500
Sherlock

Sherlock

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2018
425 500
Tanzania ni taifa kubwa sana katika "African diplomacy", tukiamua Ku bid hatukosi, ila hivi vitu tulishavifanya zamani sana tulipohifadhi vyama vyote vya ukombozi wa Africa, sasa hivi acha zile nchi ambazo hazihawahi kuifanyia lolote lile Africa zijaribu kujitutumua.
Not unless you want to talk about Mozambique ,Nambia and South Africa
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
8,288
Points
2,000
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
8,288 2,000
Aha ha ha
Kaka huu mchezo hauhitaji hasira. Wee ngoja tuache wakati uamue.
Bado una matumaini ya Tanzania kuwa makau makuu? Mlijiunga na mkataba huu juzi juzi tu wakati bid za kuwa makao makuu tayari zilikuwa zimeshawasilishwa. Hilo eneo ambalo unasema mmelitenga kule Arusha limeni korosho au pamba.
 
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
8,040
Points
2,000
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
8,040 2,000
Bado una matumaini ya Tanzania kuwa makau makuu? Mlijiunga na mkataba huu juzi juzi tu wakati bid za kuwa makao makuu tayari zilikuwa zimeshawasilishwa. Hilo eneo ambalo unasema mmelitenga kule Arusha limeni korosho au pamba.
Aha ha ha
Mbona hasira hivyooo. kwa taarifa yako, tukienda kwa ndugu zetu wa Ghana na kuongea nao kuwa tunataka makao makuu ya huu umoja yapelekwe kule ambako Mandera ana chuo chake. Kule kwenye nchi ya Julius rafiki yake Kwame the true son of Afrika. Tunavyopendana na kuaminiana na Waghana, wee utaona tu.
 
malema 1989

malema 1989

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Messages
1,284
Points
1,500
malema 1989

malema 1989

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2012
1,284 1,500
Baada ya Kenya kushindwa katika lengo lake la kumpigia debe Balozi Amina Mohammed ili kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Africa miaka miwili iliyopita pamoja na kuweka juhudi kubwa na kutumia pesa nyingi ili kufanikisha lengo hilo, kwa Mara nyingine tena, nchi za Africa zimeonyesha kutokua na imani na Kenya baada ya kuichagua Ghana iwe ndio makao makuu ya sekretarieti ya Africa kuhusu biashara huru barani Africa.

Kenya imekua Mara kwa Mara ikijaribu kugombea nafasi mbalimbali za Africa bila mafanikio, hii ni dalili wazi kwamba nchi za Africa hazina imani na Kenya, hii ni tofauti na mashirika mbalimbali ya nje ya Africa ambayo hupendelea kufungua ofisi zao Nairobi. Je hii ni kusema kwamba Kenya inakubalika zaidi nje ya Africa kuliko ndani ya Africa?, kama jibu ni ndio, sababu gani inayosababisha Kenya isikubalike Africa?
kenya ni wanafiki na wasaliti kwa waafrika wenzao
 
N

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Messages
1,338
Points
2,000
N

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2016
1,338 2,000
Kenya haina uwezo wowote wa kuishawishi Africa kwa lolote ndio maana Africa huikwepa sana Kenya sababu ya kuwa mabeberu darling
 
IKWETA KONZO M

IKWETA KONZO M

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Messages
431
Points
1,000
IKWETA KONZO M

IKWETA KONZO M

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2013
431 1,000
Tutaelewana tu
Baada ya Kenya kushindwa katika lengo lake la kumpigia debe Balozi Amina Mohammed ili kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Africa miaka miwili iliyopita pamoja na kuweka juhudi kubwa na kutumia pesa nyingi ili kufanikisha lengo hilo, kwa Mara nyingine tena, nchi za Africa zimeonyesha kutokua na imani na Kenya baada ya kuichagua Ghana iwe ndio makao makuu ya sekretarieti ya Africa kuhusu biashara huru barani Africa.

Kenya imekua Mara kwa Mara ikijaribu kugombea nafasi mbalimbali za Africa bila mafanikio, hii ni dalili wazi kwamba nchi za Africa hazina imani na Kenya, hii ni tofauti na mashirika mbalimbali ya nje ya Africa ambayo hupendelea kufungua ofisi zao Nairobi. Je hii ni kusema kwamba Kenya inakubalika zaidi nje ya Africa kuliko ndani ya Africa?, kama jibu ni ndio, sababu gani inayosababisha Kenya isikubalike Africa?
 
Forum statistics

Threads 1,316,455
Members 505,652
Posts 31,890,972
Top