Kenya ni nchi ya tatu Sub-Saharan Africa kwa kupokea remittance. Inapigwa na Nigeria na Ghana pekee

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Kwenye kupokea remittance barani Africa, Kenya inashindwa na Nigeria na Ghana pekee. Kenya ilipokea remittance ya $3.7 billion last year. Najua soon tunapita Ghana kwa speed tunayokuja nayo inaishinda ile ya Usain Bolt. Tanzania haipo kwenye top ten kwa sababu wamejifungia ndani ya nchi yao. Ujamaa umewalemaza ubongo sana. Mnaogopa kutoka nje ya nchi yenu kutafuta opportunities.

It should be noted that Nigeria has, over the years, continued to receive the largest portions of total remittance inflows into Sub-Saharan Africa. This is due to the fact that Nigeria, which is the most populous in Africa, also has a significantly sizable diaspora base.
Below are the 10 highest recipients of remittance inflows in Africa, according to available figures for 2021.
READ: These 6 countries have the highest unemployment rates in Africa
  1. Nigeria: $19.2 billion
  2. Ghana: $4.5 billion
  3. Kenya: $3.7 billion
  4. Senegal: $2.7 billion
  5. Zimbabwe: $2.0 billion
  6. Democratic Republic of Congo: $1.3 billion
  7. Uganda: $1.1 billion
  8. Mali: $1.1 billion
  9. South Africa: $900 million
  10. Togo: $700 million

Na Togo yenye watu 8 million kwa nini inashinda Tanzania kwenye remittance na nyie mko watu 60 million?
Screenshot_20220604-140428.jpg
 
Humo kuna pesa yetu ya paypal tunayopitisha huko nyingo tu kwa kenya
 
Na Togo yenye watu 8 million kwa nini inashinda Tanzania kwenye remittance na nyie mko watu 60 million?
View attachment 2250346
Ukichunguza sana utaona nchi nyingi zilizo kwenye top 10 zimepitia vipindi vigumu sana vya shida kama vita, utawala wa kidikteta na kila aina ya masaibu. Hili lilifanya wananchi wengi wakimbie nchi zao kwenda kuishi nje. Tanzania ndiyo maana watu wanasema Nyerere alikuwa kiongozi mzuri sana. Aliweza kuifanya nchi yetu kuwa ya upendo amani na umoja, vitu ambavyo ni muhimu sana kwenye maisha. Ingekuwa ni mtu kama Magufuli aliyetawala muda wote wa Nyerere tena ile miaka ya ''giza'' ambayo marais wengi walikuwa wauaji, nadhani ungekuta watanzania wengi wamekimbilia nje.
 
Kwenye kupokea remittance barani Africa, Kenya inashindwa na Nigeria na Ghana pekee. Kenya ilipokea remittance ya $3.7 billion last year. Najua soon tunapita Ghana kwa speed tunayokuja nayo inaishinda ile ya Usain Bolt. Tanzania haipo kwenye top ten kwa sababu wamejifungia ndani ya nchi yao. Ujamaa umewalemaza ubongo sana. Mnaogopa kutoka nje ya nchi yenu kutafuta opportunities.

It should be noted that Nigeria has, over the years, continued to receive the largest portions of total remittance inflows into Sub-Saharan Africa. This is due to the fact that Nigeria, which is the most populous in Africa, also has a significantly sizable diaspora base.
Below are the 10 highest recipients of remittance inflows in Africa, according to available figures for 2021.
READ: These 6 countries have the highest unemployment rates in Africa
  1. Nigeria: $19.2 billion
  2. Ghana: $4.5 billion
  3. Kenya: $3.7 billion
  4. Senegal: $2.7 billion
  5. Zimbabwe: $2.0 billion
  6. Democratic Republic of Congo: $1.3 billion
  7. Uganda: $1.1 billion
  8. Mali: $1.1 billion
  9. South Africa: $900 million
  10. Togo: $700 million

Kwa hiyo wewe hizo unaona nazo ni hela kwa Taifa kama Tanzania? Duh, kweli inabidi turudi dhule za Zkayumba tulikotokea!
 
Humo kuna pesa yetu ya paypal tunayopitisha huko nyingo tu kwa kenya
Pamoja na hilo lakini Kenya ughaibuni wako wengi sana. Unajua Kenya kwa muda mrefu imekuwa ni nchi ya ''unyama unyama'' na sehemu kubwa ya ardhi nzuri iko mikononi mwa matajiri wachache. Pia marais wao kama Jomo Kenyata na Moi walikuwa madiktekta na wauaji kitu kilichofanya watu wengi kukimbia.
 
Kwani kenya wana uraia pacha? Ukweli ni kwamba watanzania wengi hawatoki nje ya mipaka ya nchi yao
Some of the African countries that allow dual citizenship include:

CountryRecent Amendment
Algeria
2005
Angola2007
Benin
Burundi
Ivory Coast
Comoros2013
Cape Verde2003
Tunisia
Djibouti
Egypt2004
Ghana2002
Kenya2011
Malawi
Sudan
Somalia
Senegal
South Africa2004
Nigeria
Morocco2005
Mauritius2012
Lesotho
Libya2014
Uganda
Zambia2017
Sierra Leone
Madagascar
 
Mbona SA yupo chini, sisi tunajitosheleza
SA Blacks wamekandamizwa sana halafu hawajasoma sana so wao kutoka nje ya nchi yao ni vigumu. Kimsingi bila masomo mazuri na skills au work experience au scholarship, kutoka nje ya nchi za Afrika ni ngumu sana. Waafrika wengi huenda ulaya kwa ajili ya masomo halafu wanabaki huko, kisha wanapata kazi na kuanza kutuma pesa nyumbani.
 
Remittance nini mtumishi
Remittance ni pesa ambazo raia wanaofanya kazi nje ya nchi hutuma nyumbani ili kulipia gharama za kawaida za familia zao au hata kwa sababu ya kuwekeza katika ardhi na kujenga majumba na kadhalika.
 
sababu wamejifungia ndani ya nchi yao. Ujamaa umewalemaza ubongo sana. Mnaogopa kutoka nje ya nchi yenu kutafuta opportunities.
Nijibu bila ya mpangilio maalum...

Ujamaa ndio nguvu yetu. Tofauti na Ujamaa unaotaka tuamini kuwa ni mbaya, ukweli ni kuwa Nguvu zetu ndio zilitupa Amani na utulivu Barani. Vilevile, ni Nguvu hizi unatupeleka kuwa na mshikamano unaoigizwa na kupongezwa! Watanzania hawaogopi kuondoka, Watanzania ndio Bongo ya Afrika.
Tanzania haipo kwenye top ten kwa sababu wamejifungia ndani ya nchi yao. Ujamaa umewalemaza ubongo sana. Mnaogopa kutoka nje ya nchi yenu kutafuta opportunities.
Sababu zako hazina msingi wowote zaidi ya shutumu na uhasama hasi kwenye jamii yetu ya Ujamaa. Ujamaa sio ulemavu ni Nguvu.
Hatuogopi kwenda nje kwani hakuna sababu au ulazima kwenda nchi za utumwa ilimradi tu turudishe pesa Nchini.Ilimradi tu tuonekane kwenye ripoti za wanyonyaji!

Na Uhakika, data zilizopo?? zinaonyesha kuwa wageni waliokuwa hapa Tanzania kwenye "opportunity" bwelele wanafanya hizo "remittance" kwao zaidi ya atleast $10B mpaka kunakuwa na 'deficit' kubwa ya fedha ngeni...we, supposedly are
the donor country(unofficialy).

Wacha tujifungie, ndio nguvu yetu na ndio ishara tosha ya ushikamano madhubuti wa kuujenga uchumi wetu bila ya kuwa na tegemezi za watolewa jasho na makaburu. Kutoka kwenda kufanya kazi nje ya nchi sio sera za kiuchumi,(niko tayari kusahihishwa)ni hasi na hazina faida ...not sustainable!
 
Nijibu bila ya mpangilio maalum...

Ujamaa ndio nguvu yetu. Tofauti na Ujamaa unaotaka tuamini kuwa ni mbaya, ukweli ni kuwa Nguvu zetu ndio zilitupa Amani na utulivu Barani. Vilevile, ni Nguvu hizi unatupeleka kuwa na mshikamano unaoigizwa na kupongezwa! Watanzania hawaogopi kuondoka, Watanzania ndio Bongo ya Afrika.

Sababu zako hazina msingi wowote zaidi ya shutumu na uhasama hasi kwenye jamii yetu ya Ujamaa. Ujamaa sio ulemavu ni Nguvu.
Hatuogopi kwenda nje kwani hakuna sababu au ulazima kwenda nchi za utumwa ilimradi tu turudishe pesa Nchini.Ilimradi tu tuonekane kwenye ripoti za wanyonyaji!

Na Uhakika, data zilizopo?? zinaonyesha kuwa wageni waliokuwa hapa Tanzania kwenye "opportunity" bwelele wanafanya hizo "remittance" kwao zaidi ya atleast $10B mpaka kunakuwa na 'deficit' kubwa ya fedha ngeni...we, supposedly are
the donor country(unofficialy).

Wacha tujifungie, ndio nguvu yetu na ndio ishara tosha ya ushikamano madhubuti wa kuujenga uchumi wetu bila ya kuwa na tegemezi za watolewa jasho na makaburu. Kutoka kwenda kufanya kazi nje ya nchi sio sera za kiuchumi,(niko tayari kusahihishwa)ni hasi na hazina faida ...not sustainable!
Endeleeni kujifungia kabisa na mchukue godoro na blanketi na muendelee kulala usingizi wa pono. Ni haki yenu kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom