Africa yaendelea kuikataa Kenya, Ghana yachaguliwa kuwa makao makuu

joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
10,054
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
10,054 2,000
Baada ya Kenya kushindwa katika lengo lake la kumpigia debe Balozi Amina Mohammed ili kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Africa miaka miwili iliyopita pamoja na kuweka juhudi kubwa na kutumia pesa nyingi ili kufanikisha lengo hilo, kwa Mara nyingine tena, nchi za Africa zimeonyesha kutokua na imani na Kenya baada ya kuichagua Ghana iwe ndio makao makuu ya sekretarieti ya Africa kuhusu biashara huru barani Africa.

Kenya imekua Mara kwa Mara ikijaribu kugombea nafasi mbalimbali za Africa bila mafanikio, hii ni dalili wazi kwamba nchi za Africa hazina imani na Kenya, hii ni tofauti na mashirika mbalimbali ya nje ya Africa ambayo hupendelea kufungua ofisi zao Nairobi. Je hii ni kusema kwamba Kenya inakubalika zaidi nje ya Africa kuliko ndani ya Africa?, kama jibu ni ndio, sababu gani inayosababisha Kenya isikubalike Africa?
 
game over

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Messages
5,169
Points
2,000
game over

game over

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2016
5,169 2,000
Kenya Ni Vibaraka wa Wazungu, hata wao wanalifahamu hilo,
Kumbuka ni Kenya pekee ilijitokeza kutetea kauli ya Trump alipoitusi Africa, pamoja na hatua ya Trump kutambua Jerusalem kama makao makuu ya Israel.
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
8,288
Points
2,000
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
8,288 2,000
AfCFTA ni mkataba wa nchi 52 kati ya nchi 55 za Afrika. Zilizosalia ni Tanzania, Benin na Eritrea. Kati ya nchi 52 kwenye mkataba huu zilizo'bid' kuwa makao makuu ni nchi saba, Kenya, Ghana, Ethiopia, Senegal, Madagascar, Swaziland na Egypt. Ghana wamefanikiwa, hongera zao. Nchi za Ghana na Kenya zina uhusiano wa karibu tangu zamani. Nina maswali mawili kwa mleta mada. Ghana wamefanikiwa na nchi sita zilizosalia, Kenya ikiwemo, zikatupiliwa mbali. Ina maana kwamba kwa akili zako nchi zote hizo sita zilizo'bid' lakini zikakosa kufanikiwa 'zimekataliwa'? Pili, inawahusu kivipi kama Tz(hampo kwenye mkataba wa AfCFTA) na makao makuu yenu mliosalia nje ya muungano huu wa Afrika yatakuwa wapi? Tanzania au kwa vibwengo wenzenu Benin na Eritrea?
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
10,054
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
10,054 2,000
AfCFTA ni mkataba wa nchi 52 kati ya nchi 55 za Afrika. Zilizosalia ni Tanzania, Benin na Eritrea tu. Kati ya nchi 52 kwenye mkataba huu zilizo'bid' kuwa makao makuu ni nchi saba, Kenya, Ghana, Ethiopia, Senegal, Madagascar, Swaziland na Egypt. Ghana wamefanikiwa, hongera zao. Nchi ya Ghana na Kenya zina uhusiano mkubwa tangu zamani. Nina maswali mawili kwa mleta mada. Ghana wamefanikiwa na nchi sita zilizosalia zikatupiliwa mbali. Ina maana kwa akili zako kwamba nchi zote hizo sita zilizo'bid' 'zimekataliwa'?
Hii inafuatia Kenya kushindwa tena mfululizo miaka miwili iliyopita baada ya kufanya kampeni kubwa na kuzunguka Africa nzima. Nchi zingine hii ni " first trial".
 
Sinister

Sinister

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
537
Points
500
Sinister

Sinister

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
537 500
AfCFTA ni mkataba wa nchi 52 kati ya nchi 55 za Afrika. Zilizosalia ni Tanzania, Benin na Eritrea tu. Kati ya nchi 52 kwenye mkataba huu zilizo'bid' kuwa makao makuu ni nchi saba, Kenya, Ghana, Ethiopia, Senegal, Madagascar, Swaziland na Egypt. Ghana wamefanikiwa, hongera zao. Nchi za Ghana na Kenya zina uhusiano mkubwa tangu zamani. Nina maswali mawili kwa mleta mada. Ghana wamefanikiwa na nchi sita zilizosalia, Kenya ikiwemo, zikatupiliwa mbali. Ina maana kwamba kwa akili zako nchi zote hizo sita zilizo'bid' lakini zikakosa kufanikiwa 'zimekataliwa'? Pili, inawahusu kivipi kama Tz(hampo kwenye mkataba wa AfCFTA) na makao makuu yenu mliosalia kwenye muungano wa Afrika yatakuwa wapi? Tanzania, Benin au Eritrea?
Bro, it's only Eritrea that has been left out. Waswazi walikubali kujiunga 😃
 
B

Bwana254

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Messages
512
Points
500
B

Bwana254

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2014
512 500
Hii inafuatia Kenya kushindwa tena mfululizo miaka miwili iliyopita baada ya kufanya kampeni kubwa na kuzunguka Africa nzima. Nchi zingine hii ni " first trial".
"A prophet is always without honour in his own place" Luke 4:16.
As long as Kenya tumekubalika na mataifa makubwa na makampuni mengi yenye uwezo mkubwa kuliko hizi nchi fukara its fine.You can't waste your time courting the mediocre .
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
8,288
Points
2,000
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
8,288 2,000
Bro, it's only Eritrea that has been left out. Waswazi walikubali kujiunga
Walijiunga lini? Sikujua! Kwahivyo baada ya kusuasua na kujikwatua mwishowe waliingiza shobo wakaamua kujiunga wakadhani makao makuu yatakuwa kwao? Alafu hata 'bid' ya kuwa makao makuu hawakuwasilisha! Ina maana kwamba hata na wao pia wamekataliwa na waafrika wenzao?
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
10,054
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
10,054 2,000
"A prophet is always without honour in his own place" Luke 4:16.
As long as Kenya tumekubalika na mataifa makubwa na makampuni mengi yenye uwezo mkubwa kuliko hizi nchi fukara its fine.You can't waste your time courting the mediocre .
Sasa kitu gani kinachiwafanya msumbuke kupigania uongozi wa Africa wakati mnajua wazi kwamba hakuna nchi ya Africa inayoweza kuiamini Kenya kutokana na usaliti wake dhidi ya waafrika katika nyakati za ukombozi?.

Kwanini mnafurahia biashara miongoni mwa nchi za Africa, badala ya ninyi kuomba " membership ya EU?". Africa nzima inajua kwamba Kenya ni vibaraka wa wazungu, hakuna hata siku moja Kenya itachaguliwa katika vikao vya nchi za Africa, msipoteze nguvu na pesa zenu kama mlivyofanya wakati wa Amina Mohammed.
 
Oii

Oii

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Messages
2,630
Points
2,000
Oii

Oii

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2017
2,630 2,000
Walijiunga lini? Sikujua! Kwahivyo baada ya kusuasua na kujikwatua mwishowe waliingiza shobo wakaamua kujiunga wakadhani makao makuu yatakuwa kwao? Alafu hata 'bid' ya kuwa makao makuu hawakuwasilisha! Ina maana kwamba hata na wao pia wamekataliwa na waafrika wenzao?
Una akili fupi, yani unajua bid hatujatuma, yet unasema wametukataa. Nishakwambiaga, acha miraa.
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
8,288
Points
2,000
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
8,288 2,000
Hii inafuatia Kenya kushindwa tena mfululizo miaka miwili iliyopita kubwa. Nchi zingine hii ni " first trial".
Kenya Ni Vibaraka wa Wazungu, hata wao wanalifahamu hilo, pamoja na hatua ya Trump kutambua Jerusalem kama makao makuu ya Israel.
Hamna tofauti yeyote kati yenu na wale 'mashabiki' wa soka ambao huwa wanauliza maswali ya kilofa wakati wa mechi. Zinacheza timu gani?..... Kenya wamevaa jezi zipi?..... Tanzania wanafunga upande upi?..... Huyo aliye na kipenga shingoni na jezi tofauti ni nani? Ashakum si matusi wajomba zangu, lakini kutoka leo nitakuwa nawaita 'The 3 Idiots'. Ni wazi kabisa kwamba hamjui lolote kuhusu mkataba wa AfCFTA ila mnataka kuonekana wajuaji. Rais Uhuru Kenyatta aliwaongoza marais wa nchi 22 za Afrika kwenye shughuli za kuwashawishi wenzao wajiunge na AfCFTA.
 
mwaswast

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Messages
9,811
Points
2,000
mwaswast

mwaswast

JF-Expert Member
Joined May 12, 2014
9,811 2,000
Baada ya Kenya kushindwa katika lengo lake la kumpigia debe Balozi Amina Mohammed ili kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Africa miaka miwili iliyopita pamoja na kuweka juhudi kubwa na kutumia pesa nyingi ili kufanikisha lengo hilo, kwa Mara nyingine tena, nchi za Africa zimeonyesha kutokua na imani na Kenya baada ya kuichagua Ghana iwe ndio makao makuu ya sekretarieti ya Africa kuhusu biashara huru barani Africa.

Kenya imekua Mara kwa Mara ikijaribu kugombea nafasi mbalimbali za Africa bila mafanikio, hii ni dalili wazi kwamba nchi za Africa hazina imani na Kenya, hii ni tofauti na mashirika mbalimbali ya nje ya Africa ambayo hupendelea kufungua ofisi zao Nairobi. Je hii ni kusema kwamba Kenya inakubalika zaidi nje ya Africa kuliko ndani ya Africa?, kama jibu ni ndio, sababu gani inayosababisha Kenya isikubalike Africa?
Nilifikiri wameikataa Kenya wakaichukua Tanzagiza? Bure kabisa.
 
mwaswast

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Messages
9,811
Points
2,000
mwaswast

mwaswast

JF-Expert Member
Joined May 12, 2014
9,811 2,000
Kenya kama crown colony ina features ambazo haziendani na uswahili swahili wa waafrika wengi ndio maana wengi wanaigwaya.
Sisi Tanzania tuko wapi??? Kazi yetu no ushabiki wa kijinga huku tumeibeba CCM mgongoni.
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
8,288
Points
2,000
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
8,288 2,000
Una akili fupi, yani unajua bid hatujatuma, yet unasema wametukataa. Nishakwambiaga, acha miraa.
Nilishakwambiaga uache ushoga. Hapo nimeamua kutumia akili za mleta mada. Kwa kiingereza wanaita 'pun'. Kama hujaelewa jua kwamba hayakuhusu na unawashwawashwa bure tu.
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
10,054
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
10,054 2,000
Sisi Tanzania tuko wapi??? Kazi yetu no ushabiki wa kijinga huku tumeibeba CCM mgongoni.
Sisi tumeshakua na ofisi nyingi za Africa na kikanda, tulishaongoza OAU kwa miaka 12 mfululizo, Salum Ahmed Salum alipokua katibu MKUU wa OAU, sasa hivi katibu MKUU SADC ni mtanzania kwa miaka 6 sasa, hatuhitaji tena.
 
mwaswast

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Messages
9,811
Points
2,000
mwaswast

mwaswast

JF-Expert Member
Joined May 12, 2014
9,811 2,000
Sisi tumeshakua na ofisi nyingi za Africa na kikanda, tulishaongoza OAU kwa miaka 12 mfululizo, Salum Ahmed Salum alipokua katibu MKUU wa OAU, sasa hivi katibu MKUU SADC ni mtanzania kwa miaka 6 sasa, hatuhitaji tena.
Senegal, Swaziland, Madagascar na Egypt je?
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
10,054
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
10,054 2,000
Walijiunga lini? Sikujua! Kwahivyo baada ya kusuasua na kujikwatua mwishowe waliingiza shobo wakaamua kujiunga wakadhani makao makuu yatakuwa kwao? Alafu hata 'bid' ya kuwa makao makuu hawakuwasilisha! Ina maana kwamba hata na wao pia wamekataliwa na waafrika wenzao?
Tanzania ni taifa kubwa sana katika "African diplomacy", tukiamua Ku bid hatukosi, ila hivi vitu tulishavifanya zamani sana tulipohifadhi vyama vyote vya ukombozi wa Africa, sasa hivi acha zile nchi ambazo hazihawahi kuifanyia lolote lile Africa zijaribu kujitutumua.
 
Forum statistics

Threads 1,316,455
Members 505,652
Posts 31,890,972
Top