Afisa Utawala anahitajika Waja Hospital Geita

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Jan 9, 2022
449
1,009
Habari Jf , kuna nafasi ya kazi kwa upande wa afisa utawala Waja Hospital, wenye vigezo hivyo au vinavyo karibiana na hivyo mna karibishwa .
Screenshot_20240303-084654.png
 
Wewe ndio unasema hivyo, ila ukweli haubadiliki. Maisha ni Dar.
• Ukweli gani.....? Dar hakuna maisha mkuu... Unapoteza mda tu huko...

• Dar 90% watu mnaishi maisha magumu sana, hata ndugu zenu wakitaka kuwatembelea mnaishia kuzima simu... ( njaa kali, hela hawana, jua kali,) stress ndo kibao ukiwaangalia hivi, unaweza dhani mmepungukiwa maji mwilini.
 
Maisha ni magumu, ila fursa zipo nyingi mkuu. Ila kwa upande wa kijijini, maisha magumu na fursa hakuna. Hujawahi kuishi kijijini hivyo huwezi kuelewa.
 
• Wengi tumezaliwa vijijini, ila mfano pale kijijini kwetu, wengi walienda dar walidhani watatoboa life.. lakini hakuna aliyetoboa maisha, zaidi ya kukondeana tu.

• Mkuu Dar ni kwa wenye vipato vikubwa hasa waliopo kwenye taasisi za kiserikali na wanao miliki mikwanjwa mirefu(kampuni)

• Dar ni mkoa wa kwenda kuwekeza lakini siyo wa kutafuta maisha.
 
Kama huna connection inabidi uzitafute na ujitengenezee connection na watu wanaoeleweka

Mimi nimezaliwa kijijini, ila wlimu ya msingi na sekondari nimesoma Dar

Katika maisha yangu yote ya Dar nina rafiki mmoja tu naye huyu kuwasiliana mpaka kuwe na taarifa ya msiba au kuwe jambo muhimu la kifamilia

Kinyume cha hapo kwa mwezi tunaweza kuchart mara moja tu kisha kila mtu anaendelea na michongo yake

Dar ukitaka utoboe usiishi maisha ya vijijini (maana vijijini wengi wanatabia ya kufuatiliana)

Kuwa na rafiki ambaye wewe huwezi kuwa mzigo kwake wala yeye hawezi kuwa mzigo kwake

Fanya mishe zako bila kujiuliza fulani akiniona atanichukuliaje ila hakikisha humuumizi wala kumkwaza mtu

Dar fursa zipo nyingi na ukitaka kutoboa usichague kazi haswa kipindi hiki kama unakula na kushiba unaweza kupiga kazi za saidia fundi

Huko vijijini hakuna ishu, pesa ni ya msimu, wanaamini sana ushirikina
 
Tofauti ya kutafuta maisha na kuwekeza ni ipi?

Dar ndio sehemu ya kutafutia maisha mkuu, maana hela inazunguka kwa kasi sana, ila huko vijijini mzunguko ni mdogo sana, na hata hiyo hela yenyewe haionekani kabisa.
 
Kijijini ni pagumu sana, maana hela hakuna alafu kufatiliana ni kwingi sana
 
• Yani nitoke Mbeya, njombe, kahama, alafu niende kutafuta maisha Dar? 🤔🤔..

• Au unaangalia population ya watu?, population ya watu haiwezi kukufanya mtu kuwa Tajiri au kuwa na maisha maisha, maisha maziri mpaka uwe na secret weapon. Tofauti na hapo utabaki kuwa msindikizaji tu milele na milele....

• Kuhusu ushirikina kila sehemu upo, huwezi kuona ushirikina kama unatafuta hela ya kula tu( change). Ndo maana tunasema mtu anaye tafuta pesa kwa nguvu zake bila kutegemea system ya serikali uchawi ni lazima kwenye utafutaji wake.

• Dar ni kazi ipi ya maana ambayo naweza kuifanya mimi mtafutaji?
. Kubeba mzigo ?
. Kuuza maji stendi ?
. Uchuuzi feri?
. Machinga?
. Baba/mama ntilie?
. Kuuza duka la mtu?
. Kusukuma tolori?
. Baharini kuvua samaki?
. Udalali stendi?
. Kupaka kucha rangi?

Kwa sababu najua kabisa mtu unayetoka mkoani huwezi kukwepa hizo kazi hapo! Labda uwe na mnyororo wa ukwasi hapo DSM..
 
Tofauti ya kutafuta maisha na kuwekeza ni ipi?

Dar ndio sehemu ya kutafutia maisha mkuu, maana hela inazunguka kwa kasi sana, ila huko vijijini mzunguko ni mdogo sana, na hata hiyo hela yenyewe haionekani kabisa.
Kutafuta maisha na kuwekeza ni mbinu mbili tofauti ambazo zinaweza kusaidia kuboresha hali ya kifedha ya mtu au kufikia malengo ya kifedha.

|• Kutafuta Maisha,
Kutafuta maisha hizo ni jitihada za mwanzo za mtu kupata mapato ya kutosha ili kufikia mahitaji yake ya msingi na kufurahia maisha, kama chakula, malazi, afya, elimu, na burudani.
Watu wengi hufanya kazi kwa mshahara au kuanzisha biashara ndogo ndogo ili kujipatia kipato na kukidhi mahitaji yao ya kila siku.( huu unaitwa utafutaji)

||• Kuwekeza,
Kuwekeza hurejelea kuweka fedha au rasilimali katika miradi au mali zenye uwezo wa kuzalisha faida au kurudisha mapato ya baadaye.
Kwa kawaida, lengo la kuwekeza ni kujenga utajiri wa kifedha kwa muda mrefu au kufikia malengo ya kifedha kama vile kustaafu, kununua mali, au kufadhili elimu.

…… Aina za uwekezaji zinaweza kujumuisha kuwekeza katika hisa, dhamana, mali isiyohamishika, au biashara.

Kwa ufupi, wakati kutafuta maisha kunahusisha kujipatia mapato ya kutosha ili kukidhi mahitaji ya kila siku, kuwekeza kunahusisha kutumia fedha kwa matumaini ya kupata faida au mapato ya baadaye.

Bila shaka utakuwa umeelewa maana ya kuwekeza na kutafuta maisha

Dar ndio sehemu ya kutafutia maisha mkuu, maana hela inazunguka kwa kasi sana

Hiyo hela inazunguka vipi mkuu, ebu nipe protocol hapa nielewe...
 
Asante,nawe ni Mhusika hapo WAJA Hospital??hao wanaosema maisha ni Dar tu ukute ndio kutwa wanashinda vijiweni kuongelea mambo ya kina Diamond,Aziz Ki nk,kula ni nyumbani kwa Wazazi wao au kwa Dada zao walikoolewa. Wanachojuaga wao ni kuvaa hereni tu masikioni na kubadili style za nywele
Ajira yangu ya kwanza Serikalini ilikuwa Dar,nilipohamishiwa Mkoani kwa kweli Dar huwa naenda kikazi tu na Kikao kikiisha tu ni Airport narudi zangu Mkoani.
Huku Mkoani mpaka sasa nina Eka 245 nimelima Mpunga, Parachichi, Ndizi, Mahindi na Maharage,ninafuga Mbuzi, Ng'ombe, Kondoo, Kuku mpaka Nguruwe maana huwa wanakijiji wananiletea wenyewe kuniuzia kwa bei rafiki. NATHIBITISHA bila kuhama Dar naamini nisingekuwa na wazo wala akili ya kufanya yote haya
Vijana wa Dar akishakuwa na ka Crown kake na uwezo wa kwenda Element na Kitambaa Cheupe kutafuta papuchi basi wanaonaga wameyapatia na Dar ndio kila kitu
Thread closed 📌📌📌📌📌📌
 
• Ukweli gani.....? Dar hakuna maisha mkuu... Unapoteza mda tu huko...

• Dar 90% watu mnaishi maisha magumu sana, hata ndugu zenu wakitaka kuwatembelea mnaishia kuzima simu... ( njaa kali, hela hawana, jua kali,) stress ndo kibao ukiwaangalia hivi, unaweza dhani mmepungukiwa maji mwilini.
Wewe utakuwa haujaishi DAR au kufika kabisa ..kule kuna mzunguko mkubwa sana wa pesa ..yaan hata ukisema uuze nyanya Tu...unatoboa kule..mm natamani Sana nikaishi DAR...sema basi Tu sina connection...unaambiwa 3billion zipo mitaani kwa siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom