Afisa Ugavi Wilaya ya Babati, Emmanuel Salehe apata ajali ya gari na kufariki

Jamii forum kuweni makini sana na kila habari zinaletwa hapa jamvini..

Mtu akileta habari za uongo apewe adhabu yakutoshiri mijadara ya humu ndani,kabla ya kupost thread ichujwe kwanza na wataalam wa habari hata nyinyi mod's wekeni jamvi la pending thread kwanza,thread ikithibitika ni ya kweli ndo itambae kwenye jukwaa.....!!!
Wewe ni mgeni wa JF?
Usimeze kitu kwanza gapa JF hadi kithibitishwe.. Hiki sio gazeti mkuu wala sio redio.. Utaumiaa..
 
Jamii forums wanaotoa habari ni mimi na wewe, usiseme muwe makini, sema tuwe makini. Halafu lazima uwe unajiongeza sio post inarushwa na ww unaiamin 100% bila hata kufuatilia kwenye vyanzo vya uhakika zaidi.
Hao watoto ndio wale vilaza wa dom wa Magu
 
IST ama Corolla hivi...
Hayo magari yako kwenye sheria au kanuni ipi ya utumishi wa umma?

Labda tu nikufumbue macho kutokana na uteuzi wa wakuu wa wilaya (ambao bado unarekebishwa) kuna watu ambao wameteuliwa kutoka sekta ya binafsi ambao wanapata mshiko mrefu sana na wana mali nyingi.

Sasa kwa maoni yako wasizitumie au kuzimiliki kisa tu wameteuliwa wakuu wa wilaya?

Range yenyewe ina umri wa zaidi ya miaka 15. Mtumba wa hali ya juu.
 
Namba "B" hilo kwa mtumishi linanunulika..... hadi ukiwa na 25m unaweza kulipata hapa town
 
Back
Top Bottom