Afisa Ugavi Wilaya ya Babati, Emmanuel Salehe apata ajali ya gari na kufariki

NDULUMESO

JF-Expert Member
Nov 21, 2013
243
177
DC wa Babati apata ajali mbaya ya gari leo asubuhi.

=============

Updates>>>

TAARIFA SAHIHI

Aliyepata ajali na kufariki dunia ni Afisa Ugavi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara, ndugu Emmanuel Salehe na sio DC(Mkuu wa Wilaya) wa Babati Ndugu Raymond Mushi kama ilivyoripotiwa hapo awali.

Ajali hiyo ilitokea eneo la mkoani karibu na zilipo ofisi za TRA Manyara.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema.

IMG-20160707-WA0008.jpg


Emma.jpg

Marehemu Emmanuel Salehe enzi za uhai wake.
 

Attachments

  • IMG-20160707-WA0010.jpg
    IMG-20160707-WA0010.jpg
    91 KB · Views: 261
  • IMG-20160707-WA0012.jpg
    IMG-20160707-WA0012.jpg
    73.6 KB · Views: 218
  • IMG-20160707-WA0011.jpg
    IMG-20160707-WA0011.jpg
    94 KB · Views: 276
Jamani ata kama kichwa na kiwiliwili vimetengana huruhusiwi kusema amefariki mpaka daktari adhibitishe.

Poleni wote na ninawatakia majeruhi afya njema
 
Huyo DC mpya anaitwa nani? Mbona humu JF kuna picha ya Mwanaume, lakini kuna mdau kaweka jina la mwanamama? Ukweli ni upi? Na je ni kweli katangulia?!
 
Jamani ata kama kichwa na kiwiliwili vimetengana huruhusiwi kusema amefariki mpaka daktari adhibitishe.

Poleni wote na ninawatakia majeruhi afya njema
Hapo katika red kunatia shaka...anyway gari imegaribika ivyo??hapo hata mkanda sijui kama utasaidia sana
 
Sio DC huyu kijana yupo halmashauri ya wilaya kitengo cha manunuzi ni kweli amefariki
Andika vizur mkuu ili tuelewe, umeunganisha mno maneno.
Umefafanua kuwa aliyefariki ni DC au ni huyo pichani? Soma tena ulichoandika halafu edit ili usomeke mkuu
 
Back
Top Bottom