careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,646
Kama kuna maafisa masoko wa redio na tv tukutane hapa tupeane michongo maana kipindi khaaaa bila connection hupat tangazo
Biashara au?Ila redio zinazingua
Ndugu yangu, connections hazitafutwi bali zinakuja automatically kulingana na watu wanavyokuona tabia zako.bila connection hupat tangazo
Radio yako inaitwaje na ipo mkoa gani?Kama kuna maafisa masoko wa redio na tv tukutane hapa tupeane michongo maana kipindi khaaaa bila connection hupat tangazo
Hata mimi nasubiri majibu hapo,Radio yako inaitwaje na ipo mkoa gani?
Inafija wapi na wapi?
Ni radio ya kawaida/secular au ni ya dini?
Tangazo la dk. mnachaji sh.ngapi?
Jibu hayo maswali upate michongo.
ConnectionMimi sijaelewa mleta mada anataka nn