Afisa masoko wa tv&redio

Kama kuna maafisa masoko wa redio na tv tukutane hapa tupeane michongo maana kipindi khaaaa bila connection hupat tangazo
Radio yako inaitwaje na ipo mkoa gani?

Inafija wapi na wapi?

Ni radio ya kawaida/secular au ni ya dini?

Tangazo la dk. mnachaji sh.ngapi?

Jibu hayo maswali upate michongo.
 
Radio yako inaitwaje na ipo mkoa gani?

Inafija wapi na wapi?

Ni radio ya kawaida/secular au ni ya dini?

Tangazo la dk. mnachaji sh.ngapi?

Jibu hayo maswali upate michongo.
Hata mimi nasubiri majibu hapo,
Hasa kwenye coverage na bei ya matangazo hapo make ndo hatari inapoanzia
 
Back
Top Bottom