Mama tuntufye
Senior Member
- Feb 14, 2012
- 131
- 59
Kwa nini usimshauri huyo mama akaripoti kwa boss wa huyo Mume wakeAfisa wa Jeshi la Polisi mwenye cheo cha ASP Amos Aron Mwakajoka aliyehamia Dodoma Central akitokea Kizuiani(OCS) katelekeza mke na watoto watatu line police NASACO block no.8. Hii ndio nidhamu mnayofundishwa?
Au yale maadili mnayoimba katika wimbo wenu "Nikiwa afisa wa police"?
Hili linatusikitisha sana sisi majirani raia tunaoishi nje ya kambi yenu tunapomuona huyu Mama mke wa afisa wa jeshi la police kugeuka ombaomba. Kibaya zaidi hadi watoto hawasomi tena!
Jamani michepuko sio dili bakini njia kuu! Mnawatesa malaika wasiokua na hatia, ndo mnapewaga sijui madawati ya jinsia sasa huyu askari anaweza kutoa huduma gani kwa raia akipatwa na matatizo yanayohusu kutelekeza watoto?
Muwe na aibu nyote wenye hizi tabia!
Wakati huu ambao anajiandaa kurudia familia yake kwa nini asitume hela ya mahitaji anaacha familia yake inaadhirika?Atarudi kuchukua familia yake
Ni kwel kabisa, maana bila juhudi zetu sisi upinzani hapa hakitafanyika kituNdiyo maana inabidi sisi tuushupalie huu uzi mpaka mh. Raisi uone ili tuokoe hii familia
Unaona majibu huyu ndugu yetu badala ya kumtetea yule mama na watoto yeye anakebehiKwani mambo ya ndani na upolisi wa mtu kuna uhusiano gani?
Haha hahaha kama UNOKO UNOKO tuNdiyo maana inabidi sisi tuushupalie huu uzi mpaka mh. Raisi uone ili tuokoe hii familia
Akimtetea hapa Jf...inasaidia nini....wewe endelea kukwepa kodi mkuu...haya mengineUnaona majibu huyu ndugu yetu badala ya kumtetea yule mama na watoto yeye anakebehi
Punguzeni hasira kwa wakinamamaWacha waisome namba huu sio muda wa kuoneana huruma
Ila hapa tunamsaidia mama ili ujumbe ufike kwa wakubwaHaha hahaha kama UNOKO UNOKO tu
Ulikosea ulitakiwa kuchukua hatuamambo ya kifamilia waachie wenyewe mbona wwe yule demu mwenye mimba yako ulimtelekeza na hatukushtaki jamii forum
...unaanzisha uzi afu unautelekeza..watu wanabaki kupiga soga tu!Afisa wa Jeshi la Polisi mwenye cheo cha ASP Amos Aron Mwakajoka aliyehamia Dodoma Central akitokea Kizuiani(OCS) katelekeza mke na watoto watatu line police NASACO block no.8. Hii ndio nidhamu mnayofundishwa?
Au yale maadili mnayoimba katika wimbo wenu "Nikiwa afisa wa police"?
Hili linatusikitisha sana sisi majirani raia tunaoishi nje ya kambi yenu tunapomuona huyu Mama mke wa afisa wa jeshi la police kugeuka ombaomba. Kibaya zaidi hadi watoto hawasomi tena!
Jamani michepuko sio dili bakini njia kuu! Mnawatesa malaika wasiokua na hatia, ndo mnapewaga sijui madawati ya jinsia sasa huyu askari anaweza kutoa huduma gani kwa raia akipatwa na matatizo yanayohusu kutelekeza watoto?
Muwe na aibu nyote wenye hizi tabia!
Idara ya ustawi wa jamii na maendeleo ya jamii INA kazi gani mpaka uanze kulalamika humu ...nenda toa taarifa kwenye taasisi hizo jumatatu asubuhi halafu utuletee mrejeshoAfisa wa Jeshi la Polisi mwenye cheo cha ASP Amos Aron Mwakajoka aliyehamia Dodoma Central akitokea Kizuiani(OCS) katelekeza mke na watoto watatu line police NASACO block no.8. Hii ndio nidhamu mnayofundishwa?
Au yale maadili mnayoimba katika wimbo wenu "Nikiwa afisa wa police"?
Hili linatusikitisha sana sisi majirani raia tunaoishi nje ya kambi yenu tunapomuona huyu Mama mke wa afisa wa jeshi la police kugeuka ombaomba. Kibaya zaidi hadi watoto hawasomi tena!
Jamani michepuko sio dili bakini njia kuu! Mnawatesa malaika wasiokua na hatia, ndo mnapewaga sijui madawati ya jinsia sasa huyu askari anaweza kutoa huduma gani kwa raia akipatwa na matatizo yanayohusu kutelekeza watoto?
Muwe na aibu nyote wenye hizi tabia!
Aendelee kuisoma no. Huyu Mama?Wacha waisome namba huu sio muda wa kuoneana huruma