Afisa huyu kalitia aibu Jeshi la Polisi kwa kutelekeza mke na watoto

Status
Not open for further replies.
Kwani mambo ya ndani na upolisi wa mtu kuna uhusiano gani?
Si hua mnajiita usalama wa raia na mali zake yeye kashindwa kuwapa Usalama watu wa nyumba yake! kibaya zaidi watoto wanaelekea kukosa elimu.
Nasikia wapo washkaji zake kibao wanakuja kumtetea, mteteeni tu ila hadi Magu aione hii!
 
Uwenda unazungumzia polisi wa kabla ya uhuru....si umesikia Tido alivyokuwa anabwabwaja mdomo eti kwa nini polisi wawe na Magari mazuri.......Tatizo unaishi maisha ya kukalili sana..

Uwenda unazungumzia polisi wa kabla ya uhuru....si umesikia Tido alivyokuwa anabwabwaja mdomo eti kwa nini polisi wawe na Magari mazuri.......Tatizo unaishi maisha ya kukalili sana..
Nilikuwa Ibadani wakati Tido anamhoji IGP. Ntatazama Marudio saa 12 jioni. Huyo askari aliyetelekeza familia in principle busara ameikopesha mahali. Hata kama ana mgogoro na Mkewe, hastahili kuumiza watoto. Mleta mada amezungumza kwa habari ya upande mmoja lakini amesukumwa na tatizo la watoto. Askari na yeye akisikilizwa utagundua kuwa ujinga wa huyu Askari ni kutelekeza watoto tu.
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza...
 
Logically thread ni nzuri but you as a matured person kwanini usinge-communicate na ASP Amon?try to think twice for the purposes of rescuing his family.
 
Afisa wa Jeshi la Polisi mwenye cheo cha ASP Amos Aron Mwakajoka aliyehamia Dodoma Central akitokea Kizuiani(OCS) katelekeza mke na watoto watatu line police NASACO block no.8. Hii ndio nidhamu mnayofundishwa?
Au yale maadili mnayoimba katika wimbo wenu "Nikiwa afisa wa police"?

Hili linatusikitisha sana sisi majirani raia tunaoishi nje ya kambi yenu tunapomuona huyu Mama mke wa afisa wa jeshi la police kugeuka ombaomba. Kibaya zaidi hadi watoto hawasomi tena!

Jamani michepuko sio dili bakini njia kuu! Mnawatesa malaika wasiokua na hatia, ndo mnapewaga sijui madawati ya jinsia sasa huyu askari anaweza kutoa huduma gani kwa raia akipatwa na matatizo yanayohusu kutelekeza watoto?

Muwe na aibu nyote wenye hizi tabia!
Kiherehere ! Huyo mama amekutuma umsemee? Unajua wanatofautiana kitu gani?! Msipende kujifanya mnajua sana kuingilia mambo ya watu, ukweli Wa visa vyao unaweza kuwa chumbani kwao. Wewe unakuwepo..!? Unafikiri Huyo askari ni mwendawazimu..!! Yeye hajui utamu Wa familia..au hapendi kuwa na amani na nyumba na ndoa yake?! You better think twice kabla hujawa na kiherehere na mambo ya watu... Kama una huruma sana mshauri huyo mama arudi kwao. Over.!!
 
Kwanza nimesha Sema hakuna justification ya kutelekeza watoto we Bibi!!!!!!! Hata ikiwa yeye na mkewe wana ugomvi wao watoto wanahusikaje hadi washindwe kusoma? Ukisha leta watoto Duniani hilo ni jukumu lako no way! sio kuwasumbua majirani.
 
Ahahahaha umekuja kumsaidia, ww hauna uchungu na wale watoto hata kuzaa haujazaa so funga domo lako , michepuko!
Akili tegemezi enzi za kukaa utegemee kulishwa na kuvishwa zimepita miaka mingi sana! Hugo Mume angekuwa amekufa je?! Angeendelea kulia lia na kuomba omba... Ukiona mtu anamkimbia mtu,lazima muwe na akili ya kujiongeza.! Mnataka akae hapo ili afe au..??? Naamini Huyo mwanamke sio kiwete wala chizi atakuwa ana akili timamu na mzima . ila ubongo wake umejazwa na akili za " Mume wangu" nyambafu jiongeze..
 
Mama tuntufye
Endelea kumtia ujinga mwanamke mwenzio!!!! Hata Mimi sihitaji kubishana na wambeya wasiojua yao ila kushupalia wenzao. Kwa taarifa yako siri ya mtoto Wa nani anaijua mama wa mtoto. Mpaka baba aamue kuondoka kaisha vumilia mengi..!! Chumba walalacho wawili kina changamoto zake... !! Ajifunze kufungua akili atafute hela atunze watoto wake watakuja kumtunza baadae, biashara ya kutelekezwa sijui nini,na nini its nonsense!
Ajipange maisha ya Leo sio ya Jana.
 
Kwanza nimesha Sema hakuna justification ya kutelekeza watoto we Bibi!!!!!!! Hata ikiwa yeye na mkewe wana ugomvi wao watoto wanahusikaje hadi washindwe kusoma? Ukisha leta watoto Duniani hilo ni jukumu lako no way! sio kuwasumbua majirani.
Magufuli kesha tangaza shule buree! So biashara sijui za holly cross sijui nini ji mbwembwe! Tu, hawezi wapeleka awapeleke govt school..!! Kwa upande wako unayejiita sijui mama tuntufye nina shaka sana na tabia yako yaweza kuwa moja ya wanawake wanaosutwa kila siku mtaani. Kwa uzushi na umbeya ningekuwa Mimi umetupia picha zangu humu lazima kingewaka ili siku nyingine ujifunze... Na hili ndilo ninalolitaraji kutoka kwa Afande Amos ni lazima akushikishe adabu....ili siku nyingine ujue ukomo Wa udaku,na umbeya wako....huenda pia asili yako inashabihiana na tabia yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom